NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
hii nilichukua last week hiyo yako niliipost siku tatu baada ya vita kuanzaKiswahili kigumu kumbe, majukwaa ya kurushia makombora sijajua ni nini. Labda ni artillery pieces, howitzers au rocket launchers. Anayejua aniambie
Ukishaona kwenye mjadala humu mtu anaandika maandishi marefu Sana. Ana copy habari kwa urefu kama ilivyo na kuiweka hapa jua hamna kila kitu.Hivi unakielewa ata unachokizungumza vizuri????
Hivi ata tofauti ya GDP capita na GDP nominal inaijua?????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hichi kirefu cha PPP kwe jedwali ya kwanza unakijua????
Ukiambia GDP per Capita (Nominal) na GDP per Capita (PPP) unaelewa????
Em tupunguzeni ujuaji jaman sio lazima tujue kila kitu [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] hakuna tuzo apa JF...
Mngeanzisha jukwaa la uchumi maana mnatuchanganyaHivi unakielewa ata unachokizungumza vizuri????
Hivi ata tofauti ya GDP capita na GDP nominal inaijua?????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hichi kirefu cha PPP kwe jedwali ya kwanza unakijua????
Ukiambia GDP per Capita (Nominal) na GDP per Capita (PPP) unaelewa????
Em tupunguzeni ujuaji jaman sio lazima tujue kila kitu [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] hakuna tuzo apa JF...
Hivi kwanini nchi yenye uchumi mkubwa kama Ujerumani ananunua F-35 idadi ya 35 tu?nilidhani kabda angetoa oda hata ya ndege 100+ shida ni gharama au nini?naomba ufafanuzi zaidiNyuzi nyingi huwa nasema kuna Germany na Japan siku wakiamini kwamba usalama wao uko hatarini wakiamua kufufua majeshi yao ndani ya mwaka wanafikia mbali sana. Wana uchumi wa kutosha na teknolojia. Hapo ananunua F-35 ila anaweza ongeza production ya Eurofighter Typhoon kwenye consoltium ya Ulaya na akazidisha zana zake kama Leopard 2 MBT
Unauliza kama nilichoeleza nakijua, ndio nakijua ndio maana hakuna ulichopinga. Kuna kitu sio sahihi pale?Hivi unakielewa ata unachokizungumza vizuri????
Hivi ata tofauti ya GDP capita na GDP nominal inaijua?????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hichi kirefu cha PPP kwe jedwali ya kwanza unakijua????
Ukiambia GDP per Capita (Nominal) na GDP per Capita (PPP) unaelewa????
Em tupunguzeni ujuaji jaman sio lazima tujue kila kitu [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] hakuna tuzo apa JF...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au kwamba ana teknolojia kali kwann astengeneze mwenyewe...Hivi kwanini nchi yenye uchumi mkubwa kama Ujerumani ananunua F-35 idadi ya 35 tu?nilidhani kabda angetoa oda hata ya ndege 100+ shida ni gharama au nini?naomba ufafanuzi zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we ngoja nikuache tu... Hongera kwa kujua kila kitu.Unauliza kama nilichoeleza nakijua, ndio nakijua ndio maana hakuna ulichopinga. Kuna kitu sio sahihi pale?
Inabidi uniseme sijui kwa kupinga nilichosema kisha utoe kilicho sahihi. Useme kwamba Luxembourg na Macao zinaweza muwekea vikwazo Marekani, ili uoneshe kuwa na GDP per capita kubwa kunavyokufanya uwe na maamuzi makubwa kiuchumi duniani. Otherwise unaungana na mimi, GDP per capita kubwa haikufanyi utishie yeyote duniani kiuchumi, kama vipi mtoe yeyote top 10 hapo amuwekee vikwazo Marekani aliye namba 13
U.S ndio mzalishaji wa kwanza wa mafuta kwasasa Duniani.Us anachimba mafuta kwa dunia anashika no8. Ila ana reserve kubwa si libya Bomba limeenda direct Us sijajua saudi arabia anatumia njia gani. Us ana reserve tu napo hzo data zinatoka west sina iman nazo.
Much obliged.Anha basi ndo maana, kuhusu media kufungiwa hiyo ya pili kwangu ndo jibu... Kubana taarifa kabla ata ya vikwazo.
Kwa apa JF taarifa kwa usawa zipo chache... Ambae analeta taarifa kutoka vyanzo vingi na tofauti bila kujali kazungumziwa nani ni huyu NYUNDO YA MOTO ....
Taarifa za upande wa Russia msikilize huyu Sikirimimimasikini anajaribu kuja na vyanzo vya habari kutoka kwenye vyombo vya habari vinavotambulika kwa kila mtu.
Taarifa za upande Ukraine utazipata hasa kwa Omary - Msamalia na wengineo japo nyingi tweets ila kama huna mahaba unaeza ukawa unazichuja kupata ukweli...
Bt reliable haswa haswa kwe huu uzi ni huyo niliyetangulia kumtaja.... NYUNDO YA MOTO
Mchina amekanushaHili la Urusi kuomba msaada wa kijeshi China mbona halina washabiki humu...
Marekani aliomba Silaha gani akiwa Vitani?Mkuu kwani tatizo liko wapi kwa Urusi kuomba silaha anazo ona zinamfaa kwenye vita tena kutoka kwa mshirika wake wa kijeshi ,kiuchumi na kisiasa?
Kwann kila anacho kifanya Russia kinaonekana ni kitu cha ajabu wakati ni kitu cha kawaida kwa washirika kusaidiana vitani hata Marekani huwa anafanya hivyo?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Ajabu ni Vladimir Putin kujiingiza mweyeww 'ghetto' la mwanaume.Hakuna ajabu kwenye Russia kuomba silaha, kuna ajabu pale watu wanapokataa kwamba Russia hawezi omba silaha