Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mbona Russia hamalizi hii operation kwa haraka,nini tatizo Mkuu?
Kwa sababu wameandaa vibaya (hivyo vifari vilikwama bila mafuta na askari walipaswa kuiba madukani maana chakula kilikwisha),
Kwa sababu hawakuandaa wanajeshi walioamini wanaenda mazoezi kumbe wanaona wanatumwa kumvamia jirani
kwa sababu wameota ndoto Waukraine Warusi (yaani raia wa Ukraine wanaosema Kirusi badala ya Kiukraine) watawapokea kwa maua,
kwa sababu waliamini nchi kama Ukraione haiwezi kitu,
kwa sababu safari iliyopita walipovamia Crimea hawakupata upinzani mkali,
kwa sababu wana rais dume kabisa ambaye hapendi kusikia maoni yanayompinga na hivyo hasikii ukweli na jenerali waliogopa kumwambia mpango ni kijinga
kwa sababu hawapokelewi kwa maua bali kwa upinzani wa raia wengi wa Ukraine
kwa sababu tangu kuvamiwa na Urusi mwaka 2014 (Crimea) jeshi la Ukraine walifanya masahihisho mengi
kwa sababu bilioni ambazo Putin aliweka katika jeshi hazikufika maana sehemu kubwa imeibiwa inapatikana kwa umbo la mayacht (meli za fahari) kule Cyprus na nyumbe nzuri pale Roma na London

Subiri, nipumzuike, kuna sababu za ziada...
 
US anamuonya urusi kama nani?yeye alipomsaidia ukraine alionywa na nani?china najua hataki vita ila atampa msaada wa siraha kama ni kweli na sio west propaganda.putin kinukishe dunia yetu wote sio ya siafu wachache wa west
US anamuonya China kama nani😅 fala mmoja wakati yeye anatuma silaha Ukraine kisirisiri
 
Nahii ndio pantisr morden ya sasa. Sasa hizo zilizoenda Ukraine uone kabsa Ni old model haipingiki kwahyo mjipange Sana pro NATO. Russia sio level yao

View attachment 2150139
1647265678955.png

HILO HAPO UKRAIN WAMELITEKA NA WAMELIWEKA BENDERA YAO..
 
Kwa sababu wameandaa vibaya (hivyo vifari vilikwama bila mafuta na askari walipaswa kuiba madukani maana chakula kilikwisha),
Kwa sababu hawakuandaa wanajeshi walioamini wanaenda mazoezi kumbe wanaona wanatumwa kumvamia jirani
kwa sababu wameota ndoto Waukraine Warusi (yaani raia wa Ukraine wanaosema Kirusi badala ya Kiukraine) watawapokea kwa maua,
kwa sababu waliamini nchi kama Ukraione haiwezi kitu,
kwa sababu safari iliyopita walipovamia Crimea hawakupata upinzani mkali,
kwa sababu wana rais dume kabisa ambaye hapendi kusikia maoni yanayompinga na hivyo hasikii ukweli na jenerali waliogopa kumwambia mpango ni kijinga
kwa sababu hawapokelewi kwa maua bali kwa upinzani wa raia wengi wa Ukraine
kwa sababu tangu kuvamiwa na Urusi mwaka 2014 (Crimea) jeshi la Ukraine walifanya masahihisho mengi
kwa sababu bilioni nyingi ambazo Putin aliweka katika jeshi haziufika maana sehemu kubwa imeibiwa inapatikana kwa umbo la mayacht (meli za fahari) kule Cyprus na nyumbe nzuri pale Roma na London

Subiri, nipumzuike, kuna sababu za ziada...
Ahsante sana Mkuu,walau wewe umekwenda straight kwenye point,hizi nyingine zimebaki story za vijiweni tu ilimradi kusogeza uzi utembee.
 
mnataka kusema Russia kwa sasa analazimika kuomba msaada kutoka "ChenChen" ili kumaliza hii special operation 🙂
Nyamiz Kiev hapaingiliki kirahisi sasa Putin imebidi awaite mamluki kutokea Chechen na Syria leo siku ya 18 ngoma bado mbichi kila siku twaambiwa wapo km kadhaa lakini imekuwa ngumu kuitwaa Kiev, huku raisi wa Yukrain bado yupo nchini mwake mpaka anatembelea majeruhi wa vita. Aisee ila vita mbaya sana 👇👇👇👇👇

A pregnant woman wounded in the Russian bombing of a Ukrainian maternity hospital has died along with her baby, reports say.
aljazeera.jpg
 
View attachment 2150247
Mkuu watu waliwadharau sana Ukraine,ingekuwa tu ni maneno ya hapa JF ndiyo yanamfanya Putin ashinde hii vita wenyewe wanaiita special operation,basi Russia alikuwa anamaliza hii kitu kwa siku tatu tu.Lakini kwakuwa maneno ya hapa JF ni soga za kusogeza muda,kwenye uhalisia hali ndiyo hiyo 'wako km 25 nnje ya Kiev" leo week ya tatu inasogea
 
Nikadhani hizi siku tatu nitakuta Ukraine keshachakazwa hata hapumui na Zelenskyy yuko mezani kwa Putin anapiga magoti,kumbe bado yupo yupo sana anaendeleza mapambano.
Urusi watashinda mwazoni (mzunguko wa kwanza), wanaweza hata kuingusha serikali ya Ukrain, Lakini watarudisha virago kama walivyorudisha Afghanistan..
Ukrain ni nchi kubwa ki eneo. Urusi itahitaji jeshi la askari zaidi ya laki moja na nusu kulinda vibaraka watakaowaweka..Hawana uwezo wa kuwaweka askari hao na kuwalipa ugenini kulinda maslahi yao.:

Weka kumbukumbu hapa.
 
Mbona Russia hamalizi hii operation kwa haraka,nini tatizo Mkuu?
Sababu zipo nyingi lakini sio kwamba wanashindwa

Wanajitahidi kwa kadiri wawezavyo kupunguza kuua raia na kufanya uharibifu mkubwa wa miundombinu na haswa ikizingatiwa kwamba wapiganaji wa Ukraine wanatumia makazi ya watu na mahospitali na shule kama kambi zao za kujifichia na kushambulia

Russia wakiamua kutia full mziki kama USA anvyofanya anakovamia basi mida hii angekwisha maliza kazi ila maafa yangekua ni balaa kwa raia na miundombinu
 
Back
Top Bottom