lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Mdo Hawa Dadaangu.Oooh Asante,nawasikia Sana hao chenchen hapa uwanjani kumbe ndio hawa!hatari
Mdo Hawa Dadaangu.Oooh Asante,nawasikia Sana hao chenchen hapa uwanjani kumbe ndio hawa!hatari
Wapiiii!wapo tu wanambwekambwela wanaomba mamluki kutoka nchi za mashariki huko!Wana vitisho Hawa jamaa!Nikadhani hizi siku tatu nitakuta Ukraine keshachakazwa hata hapumui na Zelenskyy yuko mezani kwa Putin anapiga magoti,kumbe bado yupo yupo sana anaendeleza mapambano.
Ndoto hizo...Kabisa
Sijawahi sikia kama US ana bomba la mafuta kutokea Libya. Hii nimeipata kwako
Nafikiri umepewa wrong information.Hivi ana nini huyu!?hajui hii Ni 2022?atakuwa ana calendar sio bure
Nakubaliana na wewe,ndiyo maana Tsh kila siku anasema,anasubiri vita hii iishe halafu tuone what Next kwa Russia ndani ya Ukraine? Hapo ndipo vita halisi ilipo,hii ya sasa yeye adondoshe tu mabomu kadri apendavyoUrusi watashinda mwazoni (mzunguko wa kwanza), wanaweza hata kuingusha serikali ya Ukrain, Lakini watarudisha virago kama walivyorudisha Afghanistan..
Ukrain ni nchi kubwa ki eneo. Urusi itahitaji jeshi la askari zaidi ya laki moja na nusu kulinda vibaraka watakaowaweka..Hawana uwezo wa kuwaweka askari hao na kuwalipa ugenini kulinda maslahi yao.:
Weka kumbukumbu hapa.
Sawasawa mkuu..Nakubaliana na wewe,ndiyo maana Tsh kila siku anasema,anasubiri vita hii iishe halafu tuone what Next kwa Russia ndani ya Ukraine? Hapo ndipo vita halisi ilipo,hii ya sasa yeye adondoshe tu mabomu kadri apendavyo
Yaani wasimame waziwazi kumuunga Russia!! HAWAJITAKI AU!!!Urusi yupo wima mwenyewe akiwa front kuwakabili Ukraine wanaosaidiwa na West. Marafiki wa Urusi na nchi zisizo za kibepari hawajatoka wazi kusimama na Urusi wakati wenzao wametoka wazi wanaweka vikwazo na kutoa silaha. Kwangu mimi naona kuna woga ambao umesababisha. Najua wapenzi wa Urusi mnaweza nishambulia ila na nyinyi mjiulize, Why?
Mkuu hizi ni 4 or 5 generation?Nahii ndio pantisr morden ya sasa. Sasa hizo zilizoenda Ukraine uone kabsa Ni old model haipingiki kwahyo mjipange Sana pro NATO. Russia sio level yao
View attachment 2150139
Mkuu uko sawa, Tukiondoa Nyuklia zinazomuweka mbele kijeshi na kutisha Dunia, Urusi hawezi hata kuipiga UK...................Yaani wasimame waziwazi kumuunga Russia!! HAWAJITAKI AU!!!
China yenyewe na ukubwa wake ona wanavyoongea kwa kunong'ona chini ili jamaa asisikie.
Ukweli uliomchungu ni kwamba Marekani ana nguvu sana na anatisha. Walau kungekuwa na uwezekano kwa Russia kuibuka Mshindi japo kwa 30% wanaomuunga mkono wangejitokeza wazi kusimama naye. Ingawa hata akishinda vita vya makombora na bunduki bado hatakuwa na ushawishi mkubwa sababu hana nguvu za kiuchumi za kuvuka mipaka yake.
Tusione nchi kama Uingereza, German, France nk zimemkumbatia na kumuamkia " SHIKAMOO BRO" Ni kwasababu USA ni DUBWANA MOJA HIVI KUBWA SANA.
🔥🔥Alichowafanya kwa ku boost morale ya wapiganaji wake hamna hamu nae kabisa 😄😄Huyu kenge siku zake zinahesabika
Kwa maneno machache Ni hivi Putin yatamshinda!Urusi watashinda mwazoni (mzunguko wa kwanza), wanaweza hata kuingusha serikali ya Ukrain, Lakini watarudisha virago kama walivyorudisha Afghanistan..
Ukrain ni nchi kubwa ki eneo. Urusi itahitaji jeshi la askari zaidi ya laki moja na nusu kulinda vibaraka watakaowaweka..Hawana uwezo wa kuwaweka askari hao na kuwalipa ugenini kulinda maslahi yao.:
Weka kumbukumbu hapa.
Mwambie na Putin aigize maana askari wake wanakaribia kughairi kwa wanachofanyiwa huko Frontline.Hahaha huyo ni muigizaji mkuu bwana masanja
Majeshi mengine ya Russia yafanya mazoezi ya kijeshi ya siku 5 ndani ya Tajikistan. Zana kibao zipo na askari wa kumwaga.
Halafu Marekani aleta uvumi ati Russia imeomba msaada wa silaha toka China kwenda kutumika Ukraine. Silaha zipo kibao hadi nyingine zatumika kwenye mazoezi tu (sio vitani)
View attachment 2150059
View attachment 2150060
Kama vile Urusi anavyolialia kuomba msaada kwa mchina, eti.wameua askari 5000 wa urusi ila kila siku ndo wao wanalialia kuombewa huruma...................propaganda tamu sana
🤣🤣🤣🤣🤣jirani punguza jazba!huyo president Ni very charismatic,Wananchi wake hawamuelewi Mr ZeroHuyu kenge siku zake zinahesabika