Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu hizi ni 4 or 5 generation?
Cover area ya hiyo makitu asogei hata huyo f22/35. Maana hizi Ni mobile system na inauwezo wa kutembea huku inafanya kazi. Ndio Kama ulifatilia mgogoro wa Syria wakati wanafanya installation ya s300 hizo zilikua zina defence mpaka ikamilike ndio inapunguziwa majukumu. Na popote uikutapo s400 Basi huyo jamaa na yeye hukaa pembeni kwaajili ya short and medium range. Sehemu zilipo hizo syria huko hata Israel haijawahi kugusa
 
Hapana,nimesoma huu Uzi tangu umeanza page one,nimejifunza mengi kuhusu hii Vita hata niliyokuwa siyajui,nimeyajua hapa,lakini bado siwezi kuwa upande wa Putin,Hana busara!dunia ya Sasa tunajitaji Sana peace keeping and conflict resolution through mediation kuliko Vita!Anakuja kutuletea Hali ngumu Sana mifumuko ya bei za ajabuajabu hapo miezi kadhaa mbele...Kazingua sana huyu Mr Zero

Kwenye peace umepuyanga hao NATO ndo wachonganishi wakubwa duniani kule libya walifanya nini? Palestine kule vipi dada? Kule iran? Afghanistan?
 
Zelensk anawaza namna ya kuandika Wosia na Mirathi maana moja aikai mbili aikai jinsi Wa Chechinyia watakavyo mchakata na mafuta nazi [emoji1787]
Screenshot_20220314-170622~3.jpg
 
Tukiacha ushabiki, Atashindwa. mwacha atandaze makombora anavyoweza mwishowe njaa itamuondoa,..hao wachache watakaobaki Ukrain watawakimbiza Warusi kwao...
USSR LILIKWA DUBWANA KUBWA SANA ENZI YA VITA BARIDI, LIKAGAWANYIKA KAMA WALIVYOTAKA WA ULAYA MAGHARIBI.,

View attachment 2150266
A column of Soviet BTR armored personnel carriers departing from Afghanistan.
View attachment 2150267
CGen of 40th Army, Boris Gromov, announcing the withdrawal of Soviet contingent forces
Kweli? habari hii umepata wapi? Yale niliyoona watu walichoka ukomunisti na udikteta wake mnamo mwaka 1990/91. Bila shaka walikuwa pia na ndoto ya paradiso inayokuja wakipokea ubepari (ambayo haikuja,jinsi ilivyo kawaida kuhusu paradiso duniani),
Pia watu wa Kazakhstan, Turkmenistan, Armenia, Georgia, Ukraine, lithuania, Estonia na kadhalika walichoka kutawaliwa na Warusi na kunyimwa haki za kutiumia lugha na utamaduni jinsi walivyoona wenyewe.
Kwa yote niliyoona ugawaji haukufuata matakwa ya "magharibi" au "mashariki" bali mipaka ya ndani kulingana na Katiba ya Umoja wa Kisovyeti - jamhuri 15 zilizounda shirikisho la Umoja wa Kisovyeti ziliachana.
Au una habari nyingine?? Tuonyeshe!
 
Russia accuses Ukraine of missile strike on Donetsk, Ukraine denies
Russia’s defence ministry has said 20 people have been killed and 28 wounded by a Ukrainian missile with a cluster charge in the city of Donetsk in eastern Ukraine.

Russia analia nini
 
Ndege Vita ya kwanza kufika bagdad ilikua rafale ya ufaransa. Mnatoa Habari kwenye media huku na Wikipedia isiyojua hata Tanzania inamiliki AH115/125 ngapi na Ni mali ya west block. Kwasisi tunao elewa masuala ya kivita bado tunamuona Russia Ni Moto wa kuotea mbali. Just imagine hizo Bm old mortar series zinavyo kiwasha.
Yaaani kwa nchi Kama bongolala bado tutaendelea Sana kuagiza mavyuma huko. Maana kwa jinsi nijuavyo Mimi hizo piece za 40 Barrow's 100 tu tunauwezo wa kuiteka East & centre Africa bila shida. Alafu nikujuze America anapoenda kuvamia anaenda na washi ika you are woote Tena Kila mmoja wao akiwa full weapons Tena modeling.
Ivi unafikiri yakipigwa ma iskander matano tu hapo Ukraine kutakua na Vita Tena. Mawili Kiev mawili karkiev na jingine Odessa hapo. Acheni utani wandugu Russia nikama anaongeza namba ya experienced veterans kwenye service yake.
Vijana wapo mazoezi kwa. Itendo wakiludi hao watakua wameongeza namba ya askali went experience ya kivita. Alafu askali Kama hao uje uwakabizi silaha za kizazi hiki. Mbona mtaimba hallelujah
Maneno mazito sana haya.
Kweli USA akienda vitani atahakikisha kwanza nchi hiyo anenda pigana nayo kwanza imewekewa vikwazo,imedhoofika kiuchumi,halafu anaondoka na mashoga zake,ambao wote ni NATO na wapambe wengine,Tena baada ya nchi kuwa imepelelezwa na watu wa Nguvu za atomic akina Mohamed El baradei na kuwapa Siri zote za maeneo yenye silaha.ndipo Marekani huvamia.
Hii ilifanyika kwa Iraq.
Asante Mkuu Mwana taaluma.
 
Kwenye peace umepuyanga hao NATO ndo wachonganishi wakubwa duniani kule libya walifanya nini? Palestine kule vipi dada? Kule iran? Afghanistan?
Sasa Kama kesi Ni NATO angepambana na NATO, mwenyewe asiweke hizo military base hapo!kumrukia Ukraine Ni kutafuta chambo tu,hapo Ni Sawa na li Sangara kivamia kidagaa alijua atakimeza kiwe mfano wa vitisho vyake,kwa wababe wake NATO,matokeo kidagaa chenyewe kumbe kina miba ya sumu Sangara anahaha..
 
Urusi watashinda mwazoni (mzunguko wa kwanza), wanaweza hata kuingusha serikali ya Ukrain, Lakini watarudisha virago kama walivyorudisha Afghanistan..
Ukrain ni nchi kubwa ki eneo. Urusi itahitaji jeshi la askari zaidi ya laki moja na nusu kulinda vibaraka watakaowaweka..Hawana uwezo wa kuwaweka askari hao na kuwalipa ugenini kulinda maslahi yao.:

Weka kumbukumbu hapa.
Inajulikana hivo, na kwa hali ilivo hata wakimweka mtu wao atafurushwa na wananchi. Kwa Waukraine utaifa ni kama dini na hiyo ipo kwa Slavic countries nyingi. Wanaipenda nchi yao kushinda maelezo.
 
Back
Top Bottom