Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Mkuu niwie radhi kuita hoja zako ni za KIPUUZI sanaUrusi isingetumia siku tatu. Tumeona vema hawakuwa na uwezo huu. Tena walijiandaa vibaya. hapo sababu kwenye siku za kwanza vifaru viliachwa barabarani maana dizeli ilikwisha, kuna filamu jinsi askari wanavyovunja maduka kutafuta chakula maana hawakupatiwa na kadhalika.
Uongozi uliota ndoto watu wa Ukraine -hasa Warusi Waukraine- wangewapokea kwa maua. Walishtuka walipokelewa kwa risasi. Tena askari wengi hawakuambiwa wanaenda wapi. Waliambiwa wanaenda mazoezini. Kube wanajikuta vitani ambao wengi hawakutaka.
Hayo yote ni sababu za kukwama sana kwenye siku za kwanza .
Understood, Jasmoni?
Yaani wewe ulioko kwa Mpalange Manzese kwa mfuga mbwa ulikua unajua Russia itaivamia Ukraine lakini eti wanajeshi wenyewe walikua hawajui?
Yaani unapeleka askari wako kwenye very serious military operation na huwaambii ukweli unawadanganya tunaenda mazoezini? Unapeleka wanajeshi vitani kama makondoo?
Hizi westen media zinawadanganya sana na mnadanganyika kitoto namna hii