Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The reason you hate Putin: Because your mind cannot see real issues involved in the conflict. Siamini kama kweli ^umejifunza mambo mengi,^ kama usemavyo!
Kama hutaki kuamini nimejifunza sawa,Sina namna ya kukuaminisha,Ila Kuna Sababu nyingi Sana za kutompenda Mr Zero
 
NATO hawakuingia wala Libya wala Palestina wala Iran wala Irak wala hawako Ukraine. Afghanistan waliingia kwa sababu nchi mwanachama (=USA) ilishambuliwa kutoka kundi Al Qaeda iliyokuwapo Afghanistan na serikali ya Afghanistan iliwaunga mkono, yaani ilikataa kuwakabidhi au kuwafukuza. - Na tuko pamoja kwamba yale yaliyofuata baada ya kuondoa Al Qaeda Afghanistan ilikuwa vibaya sana.

Menginevyo shughuli za peace keeping si kazi ya NATO (mbali ya wanachachama wake) lakini kazi ya Umoja wa Mataifa.
NATO haikufanya nini? Seriously? Do you recall, or better yet, read, your history?
 
Sasa Kama kesi Ni NATO angepambana na NATO, mwenyewe asiweke hizo military base hapo!kumrukia Ukraine Ni kutafuta chambo tu,hapo Ni Sawa na li Sangara kivamia kidagaa alijua atakimeza kiwe mfano wa vitisho vyake,kwa wababe wake NATO,matokeo kidagaa chenyewe kumbe kina miba ya sumu Sangara anahaha..

Hujajibu swali, unataka peace mbna huajawai ongelea wanayofanyiwa Palestine, Iran, syria ,libya nk? Leo ukraine ndo useme peace kipindi mwafrica mwenzetu libya anapigwa hukuona leo ukraine unajifanya peace huu ndo unafiki ambao west wanawaambukiza
 
Unataka sababu kwa nini marafiki wa Russia hawajaingia mzigoni? Kwa vile hii ni Special Operation. Hakuna vita hapo. Ni kama gwaride tu na a show of force. Hivi wale askari wenu 250,000 kutoka DRC wamefika salama? Because meli kadhaa zinazamishwa huko na Mrusi.
Wewe nimeziona hoja zako na nazisoma nyingi najua uelekeo wako. Ubishi unauweza.
 
Ya MotoMoto

Waziri wa uchumi wa Ujerumani, Robert Habeck, leo ametoa msimamo wa Ujerumani juu ya vikwazo vya nishati za Russia (mafuta, gesi na makaa ya mawe).

Waziri huyo amesema Ujerumani haitofuata nyayo za Marekani na Uingereza kususia nishati za Russia (Ujerumani haitosusia nishati hizo). Akaongezea kuwa kustopisha ghafla kunuunua mafuta, gesi na makaa ya mawe ya Russia kutaathiri vibaya zaidi uchumi na maisha ya wajerumani wote. Kutapelekea gharama za maisha kupanda zaidi, malaki ya wajerumani watapoteza kazi, watu watashindwa kuendesha magari yao kwenda kazini, wajerumani watashindwa kupasha joto majumba yao au kulipia bili za umeme.

Kwa wale waliofika Ulaya watakuwa wanaelewa sana umuhimu wa mfumo wa kupasha joto kwenye nchi za Ulaya. Ila kama hujafika huko wawezachukulia poa tu.

Chanzo ni 'The Wall Street Journal' (au hicho nacho ni cha Russia?!)

20220314_180402.jpg

Screenshot_20220314-180307_Chrome.jpg

Kwa kweli nampongeza kwa msimamo wake ni kidume hasa,ila uanaume ni ku evaluate things/adjust when neccessary saa nyingine...
Putin did not want to sit and talk. He wanted to show that he has an upper hand. Let him play the music. Sometimes when I read about Winston Churchill I just wonder how did he held on after the mainland Europe had fallen. In the beaches of northern France he lost everything except the men. At Dunkirk they lost all the tanks as they had to leave them behind. Evacuating the continental army was a miracle. Lord Chamberlain did not believe he could bring back all the men from France. In a matter of under a week the man saved British and the western democracy as we know it today. Zelenski courage is necessary just as Churchill's courage was necessary. Read the courageous words of Churchill

"We shall go on to the end. We shall fight in France, we shall fight on the seas and oceans, we shall fight with growing confidence and growing strength in the air. We shall defend our Island, whatever the cost may be. We shall fight on the beaches, we shall fight on the landing grounds, we shall fight in the fields and in the streets, we shall fight in the hills. We shall never surrender, and even if, which I do not for a moment believe, this Island or a large part of it were subjugated and starving, then our Empire beyond the seas, armed and guarded by the British Fleet, would carry on the struggle, until, in God's good time, the New World, with all its power and might, steps forth to the rescue and the liberation of the old" With this he enlisted the Britain to fight and after four long years he won the war.
UKRAINE WILL WIN THE WAR WHILE PUTIN WILL WIN THE BATTLE. THIS IS JUST THE BEGINNING.
 
Urusi isingetumia siku tatu. Tumeona vema hawakuwa na uwezo huu. Tena walijiandaa vibaya. hapo sababu kwenye siku za kwanza vifaru viliachwa barabarani maana dizeli ilikwisha, kuna filamu jinsi askari wanavyovunja maduka kutafuta chakula maana hawakupatiwa na kadhalika.
Uongozi uliota ndoto watu wa Ukraine -hasa Warusi Waukraine- wangewapokea kwa maua. Walishtuka walipokelewa kwa risasi. Tena askari wengi hawakuambiwa wanaenda wapi. Waliambiwa wanaenda mazoezini. Kube wanajikuta vitani ambao wengi hawakutaka.
Hayo yote ni sababu za kukwama sana kwenye siku za kwanza .
Understood, Jasmoni?
Propaganda! Weka mbali na Urusi!
 
Yule kamanda wa ^Chechens^ akisoma maneno haya, na kutazama hali halisi field huko Ukraine atacheka sana hatari!
 
It then not now.

On this one Zelenskyy is on his own.
 
Hujajibu swali, unataka peace mbna huajawai ongelea wanayofanyiwa Palestine, Iran, syria ,libya nk? Leo ukraine ndo useme peace kipindi mwafrica mwenzetu libya anapigwa hukuona leo ukraine unajifanya peace huu ndo unafiki ambao west wanawaambukiza
Huyo Joanah ni wazi dhahiri shahiri hakusoma methali praimari: ^Mkuki kwa nguruwe, ...^
 
Ya MotoMoto

Waziri wa uchumi wa Ujerumani, Robert Habeck, leo ametoa msimamo wa Ujerumani juu ya vikwazo vya nishati za Russia (mafuta, gesi na makaa ya mawe).

Waziri huyo amesema Ujerumani haitofuata nyayo za Marekani na Uingereza kususia nishati za Russia (Ujerumani haitosusia nishati hizo). Akaongezea kuwa kustopisha ghafla kunuunua mafuta, gesi na makaa ya mawe ya Russia kutaathiri vibaya zaidi uchumi na maisha ya wajerumani wote. Kutapelekea gharama za maisha kupanda zaidi, malaki ya wajerumani watapoteza kazi, watu watashindwa kuendesha magari yao kwenda kazini, wajerumani watashindwa kupasha joto majumba yao au kulipia bili za umeme.

Kwa wale waliofika Ulaya watakuwa wanaelewa sana umuhimu wa mfumo wa kupasha joto kwenye nchi za Ulaya. Ila kama hujafika huko wawezachukulia poa tu.

Chanzo ni 'The Wall Street Journal' (au hicho nacho ni cha Russia?!)

View attachment 2150295
View attachment 2150296
Kiuhalisia Ujeruman inamuhitaji Urusi sana, Germany na France lao moja ila Uingereza na USA ndiyo wapambe mno yani viherehere sana.
 
Hujajibu swali, unataka peace mbna huajawai ongelea wanayofanyiwa Palestine, Iran, syria ,libya nk? Leo ukraine ndo useme peace kipindi mwafrica mwenzetu libya anapigwa hukuona leo ukraine unajifanya peace huu ndo unafiki ambao west wanawaambukiza
Tena Unafiki wakitumwa
West Walisha Wateka na Nimitumwa Yao
 
Urusi isingetumia siku tatu. Tumeona vema hawakuwa na uwezo huu. Tena walijiandaa vibaya. hapo sababu kwenye siku za kwanza vifaru viliachwa barabarani maana dizeli ilikwisha, kuna filamu jinsi askari wanavyovunja maduka kutafuta chakula maana hawakupatiwa na kadhalika.
Uongozi uliota ndoto watu wa Ukraine -hasa Warusi Waukraine- wangewapokea kwa maua. Walishtuka walipokelewa kwa risasi. Tena askari wengi hawakuambiwa wanaenda wapi. Waliambiwa wanaenda mazoezini. Kube wanajikuta vitani ambao wengi hawakutaka.
Hayo yote ni sababu za kukwama sana kwenye siku za kwanza .
Understood, Jasmoni?
Eti anatetea Russia haijamaliza vita ni kwa vile civilians wanaonewa huruma na Russia, mbabe wa vita Russia alidhani atakuta ma robots sio binadamu huko Ukraine? kijeshi hawakua na strategy endapo watakuta kizingiti cha civilians ??? yaani uingie vitani na nchi halafu uwaonee huruma wananchi wake,it doesnt make sense.
 
It then not now.

On this one Zelenskyy is on his own.
Even Winston was on his own. French fell, Belgium, Netherland, Russia was on the side of Hitler. All other had surrendered. USA was not in a war as most people did not want their sons to die in a foreigner land. Conservatives did not want Churchill they viewed him with suspicious. They wanted Lord Halifax to take over. Chamberlin was thinking of surrendering. Just imagine alone in the cabinet full of people with the view if negotiating with Hitler. He stood alone but he won because he had courage. Bringing back those men from Dunkirk was a miracle. He did it with God and courage. Zelenski will get help along the way. Now he has to show courage and fight with all his mighty. Kiev is still standing with all the shelling.
 
Sasa Kama kesi Ni NATO angepambana na NATO, mwenyewe asiweke hizo military base hapo!kumrukia Ukraine Ni kutafuta chambo tu,hapo Ni Sawa na li Sangara kivamia kidagaa alijua atakimeza kiwe mfano wa vitisho vyake,kwa wababe wake NATO,matokeo kidagaa chenyewe kumbe kina miba ya sumu Sangara anahaha..
Huu ni muendelezo kama ule wa Russia walipotaka kuweka kambi yao ya kijeshi kwenye nchi inayopakana na USA
Palikua hapatoshi
 
Back
Top Bottom