The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Russia losses,habari ambazo pro Russia hawapendi kuzisikia👇
Qummamauyer zao😄😄😄😄😄😄😄Wakimbizi wa kizungu
View attachment 2151083
Wana uhakika gani imerushwa kwa kutumia ndege?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti ndugu msomaji [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Tutazijua huko mbeleni, bado ni mapema kuziconfirm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ni atari, mda mwalim mzuri mno... Ngoja twendelee na hii "series" mubashara mpk mwisho.China Imekutana na vikwazo vya mmarekani sana, Kiasi kwamba Imejiwekea mikakati ya kujiandaa na lolote lile
Tukikumbuka kashikashi za tiktok, kuzuiliwa marekani, Alafu wakasema wanaitaka waimiliki wao, Kupigwa ban kwa Huawei, China inawavumilia sana. Kuna siku yao.
China is a winner hilo halipingiki, kwanza China anaweza dictate price maana ndio mnunuaji mkuu aliyebaki. Ila Russia is a looser, kama China ni wa kujitosheleza kuuziwa kwanini Russia aliuza Ulaya si angeanza mwanzo kuiuzia China pekee. Russia ni looser kwenye sanctions, tutakubaliana muda ukifika. China hana uwezo wa kufanya replacement ya exports zote zilizozuiwa kwenda Ulaya, hawezi import vitu vinazidi mahitaji yake kisa Russia ana sanctions kwingine. Na hiyo BRICS haimsaidii kitu Russia kwenye sanctions. Kwamba Brazil, India na South Africa zihatarishe uhusiano wao na Western countries kisa Russia? Kuuunga mkono tu hii operation hawajafanya, hata China mwenyewe yuko neutralHuyo former ambassador anasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af apa JF wachambuzi mahiri kama akina flan wanakwambia BRICS ni utopolo tu [emoji706]
Hizo silaha watakimbia nazo kwenda Poland. Na njaa ikiwakaba watazitumia kwa ujambazi ndani ya Poland.The head of the Ministry of Internal Affairs of Ukraine said that the authorities issued tens of thousands of machine guns to the population to participate in hostilities against Russia.
“Every citizen of Ukraine can apply to the police department, prove that he really works for the defense of Ukraine, works or is in the ranks of the territorial defense, volunteer formations of territorial communities, and receive the appropriate weapons,” said Denis Monastyrsky.
He specified that the distribution of weapons would continue, including in areas bordering Belarus.
View attachment 2151217
Hiyo ilikuwa ikitumiwa na wa Ukraine lakini.....Orlan ni za Mrusi pia tena ni widely used. Yani Urusi anaongoza kwa drones zinazoporomoka kutoka angani. Israel zile drones zake na loitering munitions hazikuwa zinadondoka hovyo kwenye Nagorno Karabakh
hayo mapigano yalikuwa juzi na urusi ilishayateka hayo maeneo pichani ni kifaru cha urusi kiki irpliniMapigano makali kwenye hii vita yametokea Irpin, Hostomel na Bucha. Zote ni fronts karibia na Kyev. Ground kuna anti armour weapons basi Russia ingefanya kutumia airlifters kushusha paratroopers na silaha ndogo ila angani nako Ukraine wanaleta upinzani helicopterszinadondoshwa ni hatari kuleta airlifter. Russia imetumia special forces kuichukua Hostomel airport kwa mapigano makali ila kuitumia ni kitu kingine![]()
Baadhi ya askari wa Urusi wameasi na kujiunga na jeshi la Ukraine. Kumekucha.Endapo hivi vita havitaisha wiki hii (Kiev) kuanguka Kuna wasiwasi Askari wa Russia wataanza kurafakana na pengine majenerali kuwaza juu ya Silaha za Hatari zaidi