Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

They say no to sanctions. Who in the world refused to put pressure on Russia?​

Europe
Serbia, Bosnia and Herzegovina, Hungary

CIS Countries
Not a single country in the post-Soviet space has imposed sanctions against Russia.
Kyrgyz, Kazakhstan, Moldova and Georgia
Asia Countries
Of the Asian countries, sanctions against Russia were actually supported only by Japan and Singapore.

Latin America Countries

The Latin American countries already in the first days of the military operation tried to turn against Russia. The United States and Canada initiated a discussion of an anti-Russian resolution in the Organization of American States. However, Washington and Ottawa failed to achieve support for the text of the resolution by all countries. Now the Latin Americans refuse to join the sanctions.
 
Hawa zoom kunasiku walipost nchi kumi bora za wanawake wazuri Africa TZ haikuwepo [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uG,KE,NIgeria,Ghana zikiongoza
Kenya,Ghana na Nigeria kuna wanawake gani wa kuwazidi Tzn? Au kujipost mara nyingi kwenye social media ndio uzuri?

Bongo kuna pisi za kila aina.
 
Pentago yasema shambulio la Russia kwenye ngome ya kijeshi ya Yavoriv, mkoa wa Lviv, magharibi mwa Ukraine karibu na mpaka wa Poland, lilifanywa tokea anga la Urusi (sio kwenye anga la Ukraine).

Pentagon ikafafanua kuwa Russia ilitumia Madegevita yanayoweza kurusha mabomu kwa masafa marefu (long-range bombers) yaliyokuwa yakiruka kwenye anga la Russia. Kwa hivyo ile dhana ya kuzuia mashambulizi ya Russia nchini Ukraine kwa kuzuia ndege kuruka nchini humo (No-fly Zone) isingeweza kuleta matunda kusudiwa.

View attachment 2151161
Picha: Ramani ya Ukraine ikionesha Russia ilipo, na mkoa wa Lviv wenye kambi hiyo ya Ukraine iliyoshambuliwa (mkoa wa Lviv upo magharibi mwa Ukraine - nimekuwekea alama usipate shida ndugu msomaji)​

Mawazo yangu: Shikamoo Putin! kumbe wawezashambulia hadi Poland ukiwa huko huko kwako 🙊🙊🙉

Source: Washington Post

Nikajua Nguvu zake za kijeshi zimeisha kama watu wasemavyo, sasa hayo madege Mpaka Pentagon wameshtuka, Imekuwaje tena.
 
Serdar Berdimuhamedov won the presidential elections in Turkmenistan, he won 72.97% of the vote, the election commission said.
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
In Germany, an immediate boycott of Russian gas and oil could cause massive poverty and unemployment.

This was stated by the Minister of Economics and Energy of Germany, Robert Habeck, reports The Guardian. The country's government is working to phase out Russian energy supplies by the end of the year, he added.

Earlier it was reported that due to the jump in gas prices, some enterprises in France began to stop.
Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Umezichoka, au umeshindwa kujibu?

Nawashangaa sana wale wanaouliza kwa nini vita haikuisha ile dei wani. Kwa maneno mengine wanasema wangetamani kuona damu, vilema na vifo vya watu wengi wasio na hatia.

Because kitendo cha Urusi kudilei oparesheni yake kinaonesha nia njema ya kuwaruhusu rai wasio na hatia waondoke. Mrusi anashida na professional Comedian wenu.

But Zelensky, Marekani & NATO wanatumia mwanya huo kuwashambulia troops wa Urusi, kuingiza silaha na kupanga mashambulizi mapya, ikiwa ni pamoja na kuchochea propaganda na chuki dhidi ya Urusi. Bila kusahau kulialia, as usual.

Lengo la vibosire wachache wapenda vita wa Marekani na NATO ni kufaidika kadiri iwezavyo kwenye vita hivi.
Hakuna jipya hizi sababu waambieni watoto wa grade two
 
Mara nyingine ukiwa unan'qoute njoo na data zilizonyooka... Il tusipotezeane mda. Tatizo lako huwa ni moja tu "Ujuaji usio na tija" elezea kuhusu Drone na vifaa vya kivita tu uku kwenye uchumi achana nako... Narudia tena hakuna tuzo hum JF ya kujua kila kitu... Af ajab zaidi upo kubishana sio kujifunza so next time ntakupuuza...

View attachment 2151222

Hapo juu hizo ni data zinazoonesha Rank of the world Oil Gas Importers... Ukiangalia China Pekee anaingizia Oil and Gas by far kuliko Europe yoooote hyo...

Oil and Gas sio mapambo kijana... Yana matumizi... Na katika mfano wa matumizi ya Gas nakutolea kipengele kimoja chepesi kueleweka cha Manufacturing... China is the world largest Manufacturing Hub tena by Far kuliko USA na nchi zingine dunian...

Till 2021 Russia ana supply over 50% of natural Gas nchini China ka hujui nenda kasome apa CHINA DATA: Total natural gas imports rose 20% in 2021 on strong energy demand

So kwa fikra zako unategemea China atamtupa Russia amridhishe mmarekan? Amtupe Russia aharibu uchumi wake? Hivi unawaza kwa kutumia kiungo gani Mjomba...

Kisha jijibu swali lako uliloniuliza...

Af kisha nikuulize swali lingine... Kama kaweza ku-supply europe more than 40% eneo lenye population zaidi ya mil 700... na aka Supply China More than 50% kwenye population ya watu zaidi Bil 1.4 ukimtoa sokoni kwa mihemko unawaumiza Raia wangapi hapo af bado unashabikia upupu tu....

Af ulivo mzungumzaji wa vitu usivivielewa et BRICS si kitu mseeeew [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849].... BRICS sio kama NATO kuwaza vita kila wakati BRICS n strategic alliance kibiashara na inahtaji ukomae akili ndo ueze kuuelewa...
Nimesikia tarifa za Midege yakurusha makombora ya masafa, Nasikia hayajakanyaga hata Ukraine, Pentagon said!

Pia nilisikia tarifa za P kuishiwa vifaaa vya kivita na kuomba chochote hata kama unaupinde, Vipi hawajapata hii tarifa ya Pentagon

Pia hawajaona kama mamuzi ya USA wenzake wameanza kuona sio sahihi kwa sababu yatawaumiza sana katika kipindi hiki! Vipi bado hawajajifunza kitu.

😄
 
Hamjambishi kwa lolote.

Kuna video clips zipo zinarandama mitaa ya twitter kuhusu kambi ya mpakani mwa Ukraine na Poland iliyokuwa inapokea wapiganaji wa kigeni dhidi ya jeshi la Russia. Nenda kaiangalie ile kambi imefanywaje!

Au ikiwa kama unafahamu silaha na aina za matoleo yake utafahamu ni aina gani ya silaha alizotumia Mrusi kuipiga Ukraine ndani ya mitaa yake.
Comedian anamjambisha aseeh. Narudia tena licha ya yote Comedian anazidi KUMJAMBISHA
 
YouTube will be blocked in Russia if it does not follow the law - RIA Novosti with reference to Senator Andrey Klishas.
Galip SV Liwagu View attachment 2151022

Youtube inablock contents za Media za Russia na kuzuia mapato baaadhi ya channel za watu, huku yenyewe ikiendelea kuwepo Russian sasa warusi wanataka kuifunga kabisa.
hapa nani atakula hasara,waifunge ili warudi kwenye maisha ya ujima,wawe wanasubiri Putin ndiyo anawaangalizia kinachoendelea Duniani maana yeye atakuwa na access na Youtube kisha anawahubiria Wananchi wake
 
Mkuu, Turkey (memba wa NATO) alishachukua S-400 ya Mrusi ambayo ni mfumo bora zaidi wa ulinzi wa anga Ulimwenguni, unachukua nafasi ya kwanza (ukitoa S-500). Hawezi kununua tena Patriot missile system, ambayo pamoja na kubebwabebwa kote na media za kimagharibi, imewekwa nafasi ya 5 kwa Ubora Duniani.

View attachment 2151210
View attachment 2151211

Anayepanga iyo list ya ubora wa izo system duniani ni Nani labda tusaidiane kufahamishana hili
 
Lakin Deni huwa ni deni la Taifa so la kiongozi aliyepo madarakani.... So nahis litaongezewa kwenye deni lao la taifa sa hivi wanachuchumia kwenye 70+Billion Dollars ka si sikosei... Ukiongeza na hizi zinazoingia nchini apo ndani ya week tatu tangu mgogoro uanze ndo maana IMF wanasema Uchumi wa Ukraine unaeza poromoka kwa 35%.....
Kwenye kuporomoka Uchumi usimsahahu na Russia pia,yuko anapumulia machine ki uchumi.
 
Back
Top Bottom