Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huko Tanganyika kuna warusi wa mtandao wa JF wana uchungu kuliko wewe. Embu maliza hii kitu wasije kufa na presha.
images (84).jpeg
 
Kwa taarifa yako Marekani hazalishi mafuta, anayo ya reserve tu, Russia ni taifa kubwa ndio nchi ya Kwanza kutengeneza Roketi, ndio yenye Teknologia ya kwake, Russia ni ya 2 kwa uzalishaji wa mafuta, ya 1 kwa uzalishaji wa ngano.
 
Huyu uliyemjibu ataona kweli hili jibu? Maana hujareply kwake wala kumquote.
 
Mapigano makali kwenye hii vita yametokea Irpin, Hostomel na Bucha. Zote ni fronts karibia na Kyev. Ground kuna anti armour weapons basi Russia ingefanya kutumia airlifters kushusha paratroopers na silaha ndogo ila angani nako Ukraine wanaleta upinzani helicopters zinadondoshwa ni hatari kuleta airlifter. Russia imetumia special forces kuichukua Hostomel airport kwa mapigano makali ila kuitumia ni kitu kingine
Mkuu hii miji ndio kikwazo kikubwa cha Urusi kuiteka Kiev wakifanikisha kuipata hii miji itawapa urahisi wa kuipiga ila jana bbc walilipoti ya kwamba mpaka sasa warusi wamefanikiwa kuidhibiti kwa aslimia 60 Irpin,na Bucha.
Hiyo Hostomel imesha tekwa ila vikosi vya Urusi vimetulia havisongi mbele.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa yako Marekani hazalishi mafuta, anayo ya reserve tu, Russia ni taifa kubwa ndio nchi ya Kwanza kutengeneza Roketi, ndio yenye Teknologia ya kwake, Russia ni ya 2 kwa uzalishaji wa mafuta, ya 1 kwa uzalishaji wa ngano.
USA ndio mzalishaji mkubwa wa mafuta na gesi duniani. Zaidi Biden ametangaza majuzi zaidi ya vibali 9000 vya kuzalisha mafuta havijatumika.
 
Af waswahili wa ushirombo wanasema Russia anapigika kapoteza man-power mpk kaanza kuomba msaada...

Sasa unajiuliza apo are they more detailed than the whole Pentagon...???? [emoji848][emoji848][emoji848]
Mrusi wa Gamboshi unafurahisha sana,kila habari inayotoka western media unaitaga ni propaganda,nilitegeme na hii pia ungeiita hivyo hivyo,lakini kwakuwa hii inaufurahisha moyo wako umekenua meno yote 32 nnje.
 
Mkuu Kwani usiposhabikia hayo mauaji hayatokei,wewe ambaye hushabikii mbona hujafanya lolote ili hayo mauaji yasitokee?

Unaweza thibitisha hapa kuwa kuishabikia vita ya Ukraine kunaifanya vita ipambe Moto au isipambe Moto?

Poor!!!
Kwanza hakuna mahali nimezungumza kushabikia vita,nimesema kushabikia mauaji.

Mimi nalaani mauaji anayofanya Putin kwa raia wasio ha hatia,hio inatosha sana kwa upande wangu mimi kama mtu mwenye utu,wanaoshabika na kufurahia haya mauaji hao wape jina lolote linalowafaa.
 
Kenya,Ghana na Nigeria kuna wanawake gani wa kuwazidi Tzn? Au kujipost mara nyingi kwenye social media ndio uzuri?

Bongo kuna pisi za kila aina.

Nilicheka eti Kenya,Nigeria,Ug,Ghana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Atleast wanawake wa Rwanda na South Africa hao wengine wabovu tu
 
Kwanza hakuna mahali nimezungumza kushabikia vita,nimesema kushabikia mauaji.

Mimi nalaani mauaji anayofanya Putin kwa raia wasio ha hatia,hio inatosha sana kwa upande wangu mimi kama mtu mwenye utu,wanaoshabika na kufurahia haya mauaji hao wape jina lolote linalowafaa.
Mkuu Endelea kulaani ,Kuna kitu hukijui katika ulimwengu wa roho,Kuna Mambo hayana Budi kutokea ili kubalansi guvu za nasili katika huu ulimwengu
 
Back
Top Bottom