simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,792
- 9,724
Apartment nazo ni legitimate military targets?Majeshi ya Russia leo mapema yameendelea kufanya mashambulizi makali kwenye mji wa Kyiv
View attachment 2151336
Apartment nazo ni legitimate military targets?Majeshi ya Russia leo mapema yameendelea kufanya mashambulizi makali kwenye mji wa Kyiv
View attachment 2151336
👍Kwanza hakuna mahali nimezungumza kushabikia vita,nimesema kushabikia mauaji.
Mimi nalaani mauaji anayofanya Putin kwa raia wasio ha hatia,hio inatosha sana kwa upande wangu mimi kama mtu mwenye utu,wanaoshabika na kufurahia haya mauaji hao wape jina lolote linalowafaa.
Sawa mkuu mi naendelea kuwalaani hao wauajiMkuu Endelea kulaani ,Kuna kitu hukijui katika ulimwengu wa roho,Kuna Mambo hayana Budi kutokea ili kubalansi guvu za nasili katika huu ulimwengu
Tunazungumzia uchumi, hatuzungumzii nishati pekee. Russian economy itayumba sana hata kama anauza gesi. Kama unajua uchumi ni gesi tu na mafuta hiyo ni theory yako. EU hazijaiwekea Russia sanctions za gesi na yenyewe haijagoma kuwauzia gesi. China vilevile haachi kununua gesi kwa Russia.Mara nyingine ukiwa unan'qoute njoo na data zilizonyooka... Il tusipotezeane mda. Tatizo lako huwa ni moja tu "Ujuaji usio na tija" elezea kuhusu Drone na vifaa vya kivita tu uku kwenye uchumi achana nako... Narudia tena hakuna tuzo hum JF ya kujua kila kitu... Af ajab zaidi upo kubishana sio kujifunza so next time ntakupuuza...
View attachment 2151222
Hapo juu hizo ni data zinazoonesha Rank of the world Oil Gas Importers... Ukiangalia China Pekee anaingizia Oil and Gas by far kuliko Europe yoooote hyo...
Oil and Gas sio mapambo kijana... Yana matumizi... Na katika mfano wa matumizi ya Gas nakutolea kipengele kimoja chepesi kueleweka cha Manufacturing... China is the world largest Manufacturing Hub tena by Far kuliko USA na nchi zingine dunian...
Till 2021 Russia ana supply over 50% of natural Gas nchini China ka hujui nenda kasome apa CHINA DATA: Total natural gas imports rose 20% in 2021 on strong energy demand
So kwa fikra zako unategemea China atamtupa Russia amridhishe mmarekan? Amtupe Russia aharibu uchumi wake? Hivi unawaza kwa kutumia kiungo gani Mjomba...
Kisha jijibu swali lako uliloniuliza...
Af kisha nikuulize swali lingine... Kama kaweza ku-supply europe more than 40% eneo lenye population zaidi ya mil 700... na aka Supply China More than 50% kwenye population ya watu zaidi Bil 1.4 ukimtoa sokoni kwa mihemko unawaumiza Raia wangapi hapo af bado unashabikia upupu tu....
Af ulivo mzungumzaji wa vitu usivivielewa et BRICS si kitu mseeeew [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849].... BRICS sio kama NATO kuwaza vita kila wakati BRICS n strategic alliance kibiashara na inahtaji ukomae akili ndo ueze kuuelewa...
Kyev will fall na isitokee wakahamisha mji mkuu kwa muda ili kuendeleza mapigano. Hapo vita itachelewaMkuu hii miji ndio kikwazo kikubwa cha Urusi kuiteka Kiev wakifanikisha kuipata hii miji itawapa urahisi wa kuipiga ila jana bbc walilipoti ya kwamba mpaka sasa warusi wamefanikiwa kuidhibiti kwa aslimia 60 Irpin,na Bucha.
Hiyo Hostomel imesha tekwa ila vikosi vya Urusi vimetulia havisongi mbele.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Achana na western media mkuu, ukitaka habari reliable nenda aljazeeza na channel nyingine za asia.Hali ngumu Kwa Putin na Urusi:
Raisi Zelenskyy awaambia wanajeshi wa Urusi wajisalimisha kuokoa maisha Yao kabla ya kuuwawa[emoji848]View attachment 2151314
Interpretation: How can anyone in their right mind even afford to miss such a huge business opportunity with these two boys in a seemingly endless conflict?We have to maintain our friendship with Mr. Zelenski and Mr. Putin
Zele kamdharirisha Super power vibaya sana.Bora asingeenda vitani walau tungeendelea kuamini zile propaganda za Russia kuwa na jeshi lenye nguvu,lakini vile Zelenskyy amedeal nao,tumeona yale hatukutarajia kuyaona.Bwana Zele sio wa mchezo mchezo
Very corrupt and western puppet
Mpuuze!Mara nyingine ukiwa unan'qoute njoo na data zilizonyooka... Il tusipotezeane mda. Tatizo lako huwa ni moja tu "Ujuaji usio na tija" elezea kuhusu Drone na vifaa vya kivita tu uku kwenye uchumi achana nako... Narudia tena hakuna tuzo hum JF ya kujua kila kitu... Af ajab zaidi upo kubishana sio kujifunza so next time ntakupuuza...
View attachment 2151222
Hapo juu hizo ni data zinazoonesha Rank of the world Oil Gas Importers... Ukiangalia China Pekee anaingizia Oil and Gas by far kuliko Europe yoooote hyo...
Oil and Gas sio mapambo kijana... Yana matumizi... Na katika mfano wa matumizi ya Gas nakutolea kipengele kimoja chepesi kueleweka cha Manufacturing... China is the world largest Manufacturing Hub tena by Far kuliko USA na nchi zingine dunian...
Till 2021 Russia ana supply over 50% of natural Gas nchini China ka hujui nenda kasome apa CHINA DATA: Total natural gas imports rose 20% in 2021 on strong energy demand
So kwa fikra zako unategemea China atamtupa Russia amridhishe mmarekan? Amtupe Russia aharibu uchumi wake? Hivi unawaza kwa kutumia kiungo gani Mjomba...
Kisha jijibu swali lako uliloniuliza...
Af kisha nikuulize swali lingine... Kama kaweza ku-supply europe more than 40% eneo lenye population zaidi ya mil 700... na aka Supply China More than 50% kwenye population ya watu zaidi Bil 1.4 ukimtoa sokoni kwa mihemko unawaumiza Raia wangapi hapo af bado unashabikia upupu tu....
Af ulivo mzungumzaji wa vitu usivivielewa et BRICS si kitu mseeeew [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849].... BRICS sio kama NATO kuwaza vita kila wakati BRICS n strategic alliance kibiashara na inahtaji ukomae akili ndo ueze kuuelewa...
Pentagon yasema kuwa uchunguzi wake mpya wa hivi karibuni umeonesha kuwa pamoja na kuwa siku 19 zimepita toka Russia iende vitani na Ukraine, 90% ya vifaa vya kivita Russia ilivyoenda navyo vitani bado vipo salama, havijaharibiwa vitani.
View attachment 2151032
Tukutane the Hague na ushahidi kamili wa hili.