Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
🙂🙂Taarifa zinasema Yule sniper hatari kutoka kanada aliye enda ukraine ameshakufa
View attachment 2151292
🙂🙂Taarifa zinasema Yule sniper hatari kutoka kanada aliye enda ukraine ameshakufa
View attachment 2151292
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ongezeni vipaza sauti... Hatusikiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesikia tarifa za Midege yakurusha makombora ya masafa, Nasikia hayajakanyaga hata Ukraine, Pentagon said!
Pia nilisikia tarifa za P kuishiwa vifaaa vya kivita na kuomba chochote hata kama unaupinde, Vipi hawajapata hii tarifa ya Pentagon
Pia hawajaona kama mamuzi ya USA wenzake wameanza kuona sio sahihi kwa sababu yatawaumiza sana katika kipindi hiki! Vipi bado hawajajifunza kitu.
[emoji1]
Wenyewe wana style yao wanaipenda,utaanza kupangwa kwa kuambiwa Russia ana Balistic Missiles ambazo haziwi detected na Satelite zimefungwa kwa kifaa flan 😀Ha haa haaa unadhani ataniambia Nini kuhusu Russia zaidi ya kunipanga
kazi ipo
Source RT,basi sawa— They say that Ukrainian equipment stands right in residential areas.
- It's true.
Refugees from Mariupol talk about the situation in the city. This family managed to escape today and reach Berdyansk.
Galip SV Liwagu
View attachment 2151033
China walijua mapema hizi global media zitawasumbua wakajipanga. Russia wana developers wazuri ila hawapendi kuwaendelezaWaifungie tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apa napata kujua kwanini China Mainland hawa Tech Giants like Google na Meta hawaruhusiwi kbs...
Tangu lini umeanza kupangia watu jinsi ya ku comment? Huwezi soma wewe,wengine tunasoma.Hii ni forum huru,mbona unataka kuigeuza kuwa kama ni ya nyumbani kwako Mkuu 😕Punguza maelezo nani asome huo mzigo?.
Mkuu achana nae huyo,endelea kutuwekea kile unachokielewa kuhusu hii dhana ya Neo Nazism.Wengine tunasoma na kuongeza maarifaHii hoja kuhusu "neo-Nazism" si hoja ya maelezo mafupi. Inahitaji maelezo na uchambuzi wa kutosha ili msomaji apate kuelewa.
Vipi hii siyo propaganda ya Western media au hii unakubaliana nayo kwakuwa inakupa kile upendacho kukisikia 🙂Pentagon yasema kuwa uchunguzi wake mpya wa hivi karibuni umeonesha kuwa pamoja na kuwa siku 19 zimepita toka Russia iende vitani na Ukraine, 90% ya vifaa vya kivita Russia ilivyoenda navyo vitani bado vipo salama, havijaharibiwa vitani.
View attachment 2151032
Ha haaaa wako eti kifaa flan!wataongezea wale wa Syria wamejitolea Wenyewe kwa mapenzi Yao kwa Putni🙄🙄🙄Wenyewe wana style yao wanaipenda,utaanza kupangwa kwa kuambiwa Russia ana Balistic Missiles ambazo haziwi detected na Satelite zimefungwa kwa kifaa flan 😀
Wamebakia wanabwabwaja hapa tu,Comedian anafanya yake huko.Ni aibu kubwa kwa Li Nchi kuubwa kama Russia linadharirishwa na KI ukraine.Slava Zelenskky,Slava Ukraine✊Comedian anamjambisha aseeh. Narudia tena licha ya yote Comedian anazidi KUMJAMBISHA
Yah hakikaChina walijua mapema hizi global media zitawasumbua wakajipanga. Russia wana developers wazuri ila hawapendi kuwaendeleza