Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Because China ana njia nyingi za kupenya na kutumia katika kufanya mambo yake. Huwezi kupotezewa muda ilhali una Plans A, B, C++ Kama wasingekuwa na njia nyingine, lazima United Shame of America angechezea kichapo!sidhani kama China wanamuogopa