Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Magaidi ya kinazi yanajificha humo acha yaungue moto
Magaidi ya kinazi yanajificha humo acha yaungue moto
Ndo wanachoonyesha CNN na BBCMkuu Putin anapigika vibaya. Angalia ndani ya wiki 2 tu anaomba msaada wa vifaa china, wakati uo huo Belarus walianza kumpa support muda tu na Chechnya nao wamo wanamsaidia. Pale ni pus na mdomo kama sisi na Uganda au Kenya, Big super power kujimwambafai sana kumbe hamna kitu, bado siku 9 kumaliza mwezi lakini hata dalili za ushindi hakuna.
Anachowez putin ni kubomoa mji wote uwe flat yaan kuua watu, mbwa, nyau , lakini ikifika hatua ya mtaa mano to mano hamna kitu. Ndio kinachowashinda wangeiingia mitaani, wao wanataka wauzingite mji adui akose chakula maji, umeme aombe poo, sasa hilo halijatokea ndio mzee mzima putin anaadhirika sasa.hilo liko wazi halihitai Aljazeera Siku ya 21 ngoma bado.
🙂🙂Anha kumbe dada [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] bas ndo maana [emoji1739][emoji1739][emoji1739]
Zelenskyy ni mwanaume wa shoka haswa,kamvua nguo mtu mzima,zile mbwembwe za Russia ni Superpower kijeshi zimezimwa na bwana mdogo.Sitoshangaa Kiduku akawa bora kijeshi kuliko Russia.
Sawa [emoji847][emoji847][emoji847] vp una lingine labda umesahau [emoji848]Usijipe sasa ukiranja wa kuwaongoza wengine jinsi ya kuchangia.Endelea kutushushia nondo zako zilizoshiba kutoka kwa Mr Google🙂
Why Exemptions [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Wanatakiwa waban kila kitu.The European Union's ban on investment in Russia's energy sector will include exemptions for nuclear energy, the EC said. Galip SV Liwagu View attachment 2151504
wanakuambia putin anapambana na mashogaInasikitisha,halafu kuna mtu anashabikia huu uuaji wa Putin
Tuonyeshe na wewe Putin anachoonyesha!!Ndo wanachoonyesha CNN na BBC
Vita ni vitendo sio maonyeshoTuonyeshe na wewe Putin anachoonyesha!!