Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The trade turnover between Russia and Iran, despite external factors, is growing steadily, Lavrov said at a meeting with the head of the Iranian Foreign Ministry.
Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
ha ha ha Mzee wa Hot News halafu anajifanyanga hana upande lakini 95% anatuletea habari za Upande wa Russia
Huyo jamaa wa hot news binafsi ananikera sana na matakataka yake pia kuna watu wameclaim kwamba kila taarifa inayochapishwa na Western media ni propaganda bila kufanya analysis. Siwezi kuwalaumu matokeo ya elimu yetu tumayaona kwenye mijadala ya mambo mengi na baadhi ya matukio sensitive. Humu ndani kwenye huu uzi utakutana analysis chache Sana ambazo hata zenyewe zimepata upinzani wa mihemko na mahaba. Uzi umekosa utamu kabisa
 
Zele kamdharirisha Super power vibaya sana.Bora asingeenda vitani walau tungeendelea kuamini zile propaganda za Russia kuwa na jeshi lenye nguvu,lakini vile Zelenskyy amedeal nao,tumeona yale hatukutarajia kuyaona.
Ni vizuri kujipa moyo ili kuepuka magonjwa hatari ya moyo.

BTW: Zile biolabs kule Ukraine mlikuwa mnarutubisha magonjwa kwa kusudi gani? Usisahau pia kuzungumzia suala la kuibuka kwa UVIKO-19 na kisingizio chenu dhidi ya China.
 
Pentago yalalamika kuwa Russia anaiangamiza miji ya Ukraine kwa kutumia makombora ya masafa marefu. Hadi kufikia jana (siku ya 19 ya vita hii) zaidi ya makombora 900 ya aina na ukubwa tofautitofauti yamevurumishwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine

View attachment 2151080
Tunasafisha maghala ya Silaha za zamani tuweke mzigo mpya
 
Si tumekubaliana hapa sisi wafuasi watiifu wa putin kuwa habari yoyote inayotoka kwa Western media ni propaganda.Inakuwaje tena Mkuu unachekelea hizo propaganda🙂
Hivi kucheka unakujua wewe? Au mimi ndiye sajalielewa swali lako? Halafu, wapi nimesema ^habari yoyote kutoka Western Media ni propaganda^?

NB: Tumia akili yako vizuri. Usikariri tu kunakili mawazo harara kutoka kwa wengine. Poor you!
 
Mkuu sasa unadhan usahihi wao unawasaidaje kuwanusuru na madai ama msimamo wa Putin, unadhani watashinda vita hii kwa huruma ya wamagharibi ambao wameonesha unafiki wa kiwango cha chuma?
Mimi sitawaokoa Waukraine. Kama watashinda vita - sijui. Uwezekano mkubwa ni Urusi ushinde, ila hadi sasa Warusi walionyesha udhaifu wa ajabu. Hakika Ukraine itaona uharibifu mkuba na wahanga wengi! Urusi pia, wanajeshi wanaouawa katika vita ambayo hawataki , uharibifu wa maendeleo ambayo wamejanga tangu kutoka ukomunisti, na kukimbia kwa watu wengi wenye elimu nzuri ambao hawataki kuendelea chini ya utawala wa Putin unaoelekea kuwa kidikteta siku kwa siku.
Yote ni ha li ya kusikitisha sana. Siwezi kufurahia Mrusi yeyote anayekufa au kujeruhiw katia vita hii pumbavu.
picha yako ya "Wamagharibi" (acha "unafiki" kando - hapa siasa!) inahitaji kupanushwa kidogo.
Kwanza wale walio wakali dhidi ya Urusi ni "Wamashariki" katika NATO, nchi hizo zote zilizotawaliwa na Urusi hadi 1990, Wanaogopa kurudi kwao. Ni hao ambao wanakosoa sana Wajerumani na Waingereza kwa kutochukua hatua kali zaidi.

Kwa mataifa mengi ya Ulaya magharibi (Ujerumani hasa, Italia, Uingereza) Urusi ilikuwa soko njema sana. Hakuna anayefurahi kuona uharibifu kule, hasa wakiona kwamba yote waliyowekeza na kujenga inaweza kuharibika. Hawafurahi kwamba gesi nafuu kutoka Urusi itakwisha. Hakika si hao wanaoshawishi Ukraine kujitetea. Lakini wanasaidia kwa sababu kuvunja sheria ya kimataifa ni tishio kwa wote. Wote wanakumbuka jinsi mataifa ya Ulaya walimvumulia Hitler alipovamia Austria na Chekoslovakia 1938 bila kuchukua hatua - iliyofuata ilikuwa Vita Kuu II.
Wananchi wengi sana Ulaya wanasikitika na kuhofia Putin sasa wanadai wanasiasa wasimame na kusaidia Ukraine.
yote baya sana.
 
Russia losses,habari ambazo pro Russia hawapendi kuzisikia[emoji116]

View attachment 2151202
Mzee unajaza server wacha tukubali tu, Russia amepigwa na Ukraine, wanajeshi wa Ukraine wameua wanajeshi wa Russia, wamekamata tanks, ndege vita nk

Hakuna madhara ukraine, rais yupo Kyiv anendelea na shughuli. Ukraine hoyeeeee!!!
 
Huyo jamaa wa hot news binafsi ananikera sana na matakataka yake pia kuna watu wameclaim kwamba kila taarifa inayochapishwa na Western media ni propaganda bila kufanya analysis. Siwezi kuwalaumu matokeo ya elimu yetu tumayaona kwenye mijadala ya mambo mengi na baadhi ya matukio sensitive. Humu ndani kwenye huu uzi utakutana analysis chache Sana ambazo hata zenyewe zimepata upinzani wa mihemko na mahaba. Uzi umekosa utamu kabisa
Ni kweli kabisa uzi umeshapoteza mwelekeo siku nyingi sana.Uzi umegeuzwa kuletewa msululu wa vijitaarifa vidogo dogo,mpaka ukutane na comment iliyoshiba unaweza kumaliza hadi page 10 hakuna cha maana sana unachokutana nacho.
 
Nimepata tarifa kuwa habari zangu ni 95% Russia. Kwani hizi sanctions ni nzuri kwa Russian au watu hawasomi? Mbona Pro Russia hawalalamiki hizi habari ? Utanisaidia kufafanua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyamizi kamaliza kunyonyesha ananambia niache "ukiranja"... So tauchuna zangu nitunze charge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom