Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
sniper ndo basi tenawewe jamaa huwa unatufunga kamba halafu unapiga kimya,weka taarifa mpya ya Sniper 🙂
sniper ndo basi tenawewe jamaa huwa unatufunga kamba halafu unapiga kimya,weka taarifa mpya ya Sniper 🙂
Kukata tamaa 😀😀.Mumepewa offer huku 👇Mzee unajaza server wacha tukubali tu, Russia amepigwa na Ukraine, wanajeshi wa Ukraine wameua wanajeshi wa Russia, wamekamata tanks, ndege vita nk
Hakuna madhara ukraine, rais yupo Kyiv anendelea na shughuli. Ukraine hoyeeeee!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atari... Kwamba Certain Russian Products why not all [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af ajab VodkaBritain is imposing an additional 35 percent tariff on imports of certain Russian products, including vodka, the government has said.
Also, Britain stops financing all export operations to Russia and Belarus. Galip SV Liwagu View attachment 2151541
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dahMzee unajaza server wacha tukubali tu, Russia amepigwa na Ukraine, wanajeshi wa Ukraine wameua wanajeshi wa Russia, wamekamata tanks, ndege vita nk
Hakuna madhara ukraine, rais yupo Kyiv anendelea na shughuli. Ukraine hoyeeeee!!!
Yaleyale wanapiga bans maelfu, lakini bado wanapump pesa zao Russia ili kulipia mafuta, gesi, nk. Pure & poor hypocrisy!Why Exemptions [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Wanatakiwa waban kila kitu.
yaani siku zote leo ndio nimejua wewe ni girlUmeona masikio yake lakani?ndio maana hasikii la mwazini Wala mnadi swala!
UVIKO-19 ulianzia mji wa Wuhan China,hii ni fact na siyo porojo,hayo ya biolabs ni propaganda za Russia kutaka kujustfy upuuzi wake Ukraine.Una jingine?Ni vizuri kujipa moyo ili kuepuka magonjwa hatari ya moyo.
BTW: Zile biolabs kule Ukraine mlikuwa mnarutubisha magonjwa kwa kusudi gani? Usisahau pia kuzungumzia suala la kuibuka kwa UVIKO-19 na kisingizio chenu dhidi ya China.
Haha haha huyo ni Aliens yupo kwenye Umbo la binadamu ana akili nyingi kuliko uwezo wa binadamu wakawaida ndio maana umeshindwa kuelewa kwanini anailipua UkraineUmeona masikio yake lakani?ndio maana hasikii la mwazini Wala mnadi swala!
Mbona amekwenda Venezuela kuomba mafuta ? Tena nchi hii imewekewa vikwazo vya uchumi.USA ndio mzalishaji mkubwa wa mafuta na gesi duniani. Zaidi Biden ametangaza majuzi zaidi ya vibali 9000 vya kuzalisha mafuta havijatumika.
Siku ya 19 leo hata tu ule mji wa Kharkv 20KM toka mpakani hawajauteka!!Nawasifu kwa kuua raia na kubomoa majengo na miundombinu ya kiraia.Putin jeshi lake halina uzoefu vitani na wana mipango mibovu!! Unafanyaje msafara wa 26 KM wa vifaru,magari ya delaya na Fuel tanker?? Hii inadhibitisha ni jinsi gani walivyo na mipango mibovu na ndiyo maana Ukreine wanatumia fursa hiyo kuviangamiza vifaru na APC za Russia,Kingine hawana Infantrymen kwa maana ya askari wa Miguu kuweza kukamata maeneo Infantry walio nao wanakamatwa kama kuku tu na wengine kuuwawa kwa sababu hawana uzoefu.Kosa kubwa alilolifanya Russia ali Misculculate uwezo wa Ukreine na kutegemea silaha zake na Ndege vita tu kumbuka kivita silaha bora hazipigani wanaopigana ni wanajeshi hivyo Russia imejikuta inatumia sana ndege na vifaru hivyo kuwapa sifa za bure kabisa Ukreine kwa kuzidungua ndege na vifaru vya Russia bila wasiwasi wowote.Kwa ujumla Russia wameshinda kwa kuua raia,kubomoa makazi na kuharibu miundombinu ya kiraia Lakini Ukreine wameshinda kwenye medani na kwenye uwanja wa vita.Vita ni vitendo sio maonyesho
Okay.Siku ya 19 leo hata tu ule mji wa Kharkv 20KM toka mpakani hawajauteka!!Nawasifu kwa kuua raia na kubomoa majengo na miundombinu ya kiraia.Putin jeshi lake halina uzoefu vitani na wana mipango mibovu!! Unafanyaje msafara wa 26 KM wa vifaru,magari ya delaya na Fuel tanker?? Hii inadhibitisha ni jinsi gani walivyo na mipango mibovu na ndiyo maana Ukreine wanatumia fursa hiyo kuviangamiza vifaru na APC za Russia,Kingine hawana Infantrymen kwa maana ya askari wa Miguu kuweza kukamata maeneo Infantry walio nao wanakamatwa kama kuku tu na wengine kuuwawa kwa sababu hawana uzoefu.Kosa kubwa alilolifanya Russia ali Misculculate uwezo wa Ukreine na kutegemea silaha zake na Ndege vita tu kumbuka kivita silaha bora hazipigani wanaopigana ni wanajeshi hivyo Russia imejikuta inatumia sana ndege na vifaru hivyo kuwapa sifa za bure kabisa Ukreine kwa kuzidungua ndege na vifaru vya Russia bila wasiwasi wowote.Kwa ujumla Russia wameshinda kwa kuua raia,kubomoa makazi na kuharibu miundombinu ya kiraia Lakini Ukreine wameshinda kwenye medani na kwenye uwanja wa vita.
Wale wanaohisi kwamba maelezo yamekuwa marefu sana, waniwie radhi tu!Mkuu achana nae huyo,endelea kutuwekea kile unachokielewa kuhusu hii dhana ya Neo Nazism.Wengine tunasoma na kuongeza maarifa
Yes sifa ya mwanamke ni kunyonyesha,wewe pia ulinyonyeshwa na mama yako,dada zako wananyonyesha na kama una mke pia huwa ananyonyesha watoto wako,siyo dhambi kunyonyesha🙂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyamizi kamaliza kunyonyesha ananambia niache "ukiranja"... So tauchuna zangu nitunze charge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msikilize na huyu Dada pia [emoji847]Yaleyale wanapiga bans maelfu, lakini bado wanapump pesa zao Russia ili kulipia mafuta, gesi, nk. Pure & poor hypocrisy!
nenda jukwaa la chit chatHuyo jamaa wa hot news binafsi ananikera sana na matakataka yake pia kuna watu wameclaim kwamba kila taarifa inayochapishwa na Western media ni propaganda bila kufanya analysis. Siwezi kuwalaumu matokeo ya elimu yetu tumayaona kwenye mijadala ya mambo mengi na baadhi ya matukio sensitive. Humu ndani kwenye huu uzi utakutana analysis chache Sana ambazo hata zenyewe zimepata upinzani wa mihemko na mahaba. Uzi umekosa utamu kabisa