Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Punguza stress sijui ni kaka sijui ni Dada eishiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona wapi nimezungumza issue sa kivita mie, Umeona wapi nimezungumzia Issue za Drones au Vifaru apa???? Umeona wapi nimejikuta mwalim wa siasa apa...Wewe mbona unapenda usikilizwe tu,yani wewe kila kitu unajua,kuanzia maswala ya kivita,ki uchumi,kisiasa lakini wakati huo huo hutaki wenzio wajaribu kuchangia kile wanachokijua 🙄 mtu akikupinga utamjia na maneno ya kejeli wakati huo huo na wewe unatujaziaga hapa mi comment mingi na source zako zikiwa google.Wakati mwingine ni busara kukubaliana kutokubaliana.Mwache T14 Armata achangie kile akijuacho pia.
Eti we T14 Armata kuna sehem umeona nazungumza au ata tu kujarib kuelezea dhana za kivita au Vita yenyewe? Huyu w wapi huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza Ge* tu uje kistaarab... Hiyo mihemko yako hainipunguzii wala kuniongezea kitu mie...