Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

.
Screenshot_20220315-133807.jpg
Screenshot_20220315-133817.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa tuendelee kumpiga Mrusi ameshaishiwa uko... Jana tu katuma maombi kwa Mama Samia amuazime makomando wakamsaidie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af mama kamtosa aiiibike vzur mshenzi yule [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]

Vp nikizungumza ka hvo s ndo utafrah au sio [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
😆😆😆 Nimwendo wa NGIRI alafu wa MBUZI hatucheki na kima
 
Russia yadaiwa kutumia silaha za ajabu nchini Ukraine

Wanaintelijensia wa Marekani wamesema kuwa Russia inatumia silaha za ajabu nchini Ukraine. Wanainteligensia hao wanasema makombora ya balistiki (Iskandar-M short range ballistic missiles) yanayovurumishwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine yameongezewa vikorombwezo fulani vipya, ambavyo huzivuruga rada za mifumo ya ulinzi wa anga ya jeshi la Ukraine (air defense systems), na pia huyachanganya makombora yanayotumwa (na Ukraine) kudungua silaha hizo. Vikorombwezo hivyo vipya ndivyo vinavyopelekea mifumo ya ulinzi wa anga ya jeshi la Ukraine kushindwa kuyadungua makombora ya Russia.

Chanzo ni The New York Times, au ni ya mRusi?🙃🙃🙃😂😂😂

======


Screenshot_20220315-131327_Chrome.jpg


Screenshot_20220315-131702_Chrome.jpg
 
Sasa ngoja tuongelee uwezo wa hii silaha kutoka Russia. Kwanini USA anagwaya kujiweka kimbelembele

RS-28 Sarmat
Designer
: Makeyev Rocket Design Bureau
Operational Range: 18,000 kilometres
Max Speed: Mach 20.7; 25,560 km/h (15,880 mph); 7.1 km/s (4.4 mi/s)

Hii hapa distance from Moscow to Los Angeles
Screenshot_20220315-135057.png


Chukua 9763 ÷ 7.1 = 1375.070422535
1375 ÷ 60 = 22.91784037558

Maana yake mzigo ukiwa launched Moscow ndani ya Dakika 22 LA inakuwa majivu.
 
Siku ya 19 leo hata tu ule mji wa Kharkv 20KM toka mpakani hawajauteka!!Nawasifu kwa kuua raia na kubomoa majengo na miundombinu ya kiraia.Putin jeshi lake halina uzoefu vitani na wana mipango mibovu!! Unafanyaje msafara wa 26 KM wa vifaru,magari ya delaya na Fuel tanker?? Hii inadhibitisha ni jinsi gani walivyo na mipango mibovu na ndiyo maana Ukreine wanatumia fursa hiyo kuviangamiza vifaru na APC za Russia,Kingine hawana Infantrymen kwa maana ya askari wa Miguu kuweza kukamata maeneo Infantry walio nao wanakamatwa kama kuku tu na wengine kuuwawa kwa sababu hawana uzoefu.Kosa kubwa alilolifanya Russia ali Misculculate uwezo wa Ukreine na kutegemea silaha zake na Ndege vita tu kumbuka kivita silaha bora hazipigani wanaopigana ni wanajeshi hivyo Russia imejikuta inatumia sana ndege na vifaru hivyo kuwapa sifa za bure kabisa Ukreine kwa kuzidungua ndege na vifaru vya Russia bila wasiwasi wowote.Kwa ujumla Russia wameshinda kwa kuua raia,kubomoa makazi na kuharibu miundombinu ya kiraia Lakini Ukreine wameshinda kwenye medani na kwenye uwanja wa vita.
Kwamba raia waliokufa ni wengi kuliko wanajeshi wa ukraini

Kwamba rusia anachapika kisawa sawa Hadi anakaribia kuomba poo

Hahahahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa tuendelee kumpiga Mrusi ameshaishiwa uko... Jana tu katuma maombi kwa Mama Samia amuazime makomando wakamsaidie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af mama kamtosa aiiibike vzur mshenzi yule [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]

Vp nikizungumza ka hvo s ndo utafrah au sio [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
una utoto mwingi sana wewe,pia uwe unaandika kwa ufasaha haya maneno "af' "ka' "ndo' inabidi kwanza tuanze na darasa la kuandika maneno kwa ufasaha 🙂
 
Imefika sehemu nawaza ni kwanini wakubwa wa Dunia wasijiunge kumsimamisha Russia kwa lazima hata kwakupigana naye. Hii ya vikwazo itasaidia lakini watu wengi nchini Ukraine watakuwa wamekufa na nchi kuharibika zaidi.

Ninachoamini kama USA/NATO wakiamua kwa dhati kulianzisha itamlazimu Russia kurudi nyuma na kuona umuhimu wa Diplomasia ktk mgogoro huu. RUSSIA INAPIGIKA TU SEMA HAWA WAKUBWA HAWANA DHAMIRI YA DHATI NA HAWAGUSWI NA MAISHA YA UKRAINE KIHIIIIIVYO.

Watu wanakufa na nchi inakuwa Magofu sababu ya Kisirani cha Mtu mmoja tu Mr P.
 
Sasa ngoja tuongelee uwezo wa hii silaha kutoka Russia. Kwanini USA anagwaya kujiweka kimbelembele

RS-28 Sarmat
Designer
: Makeyev Rocket Design Bureau
Operational Range: 18,000 kilometres
Max Speed: Mach 20.7; 25,560 km/h (15,880 mph); 7.1 km/s (4.4 mi/s)

Hii hapa distance from Moscow to Los Angeles
View attachment 2151620

Chukua 9763 ÷ 7.1 = 1375.070422535
1375 ÷ 60 = 22.91784037558

Maana yake mzigo ukiwa launched Moscow ndani ya Dakika 22 LA inakuwa majivu.
Neno majivu mnampenda sana kulitumia. Sisi tukiwakumbusha mnatoa povu.
 
Ukraine hali ni mbaya ndugu zangu week hii nalala porini hofu muda wote. Nimekwenda mpakani nimerudishwa nimepewa bunduki. Askari wanakufa kama kuku mnayoona kwenye media sio kweli kiukweli tunachezea kichapo hatari.

Rais amekimbia nchi muda sana.
Mungu akupe salama, akuokoe kwenye balaa hilo na akurejeshe huku nyumbani salama salimina
 
Back
Top Bottom