Mara nyingine ukiwa unan'qoute njoo na data zilizonyooka... Il tusipotezeane mda. Tatizo lako huwa ni moja tu "Ujuaji usio na tija" elezea kuhusu Drone na vifaa vya kivita tu uku kwenye uchumi achana nako... Narudia tena hakuna tuzo hum JF ya kujua kila kitu... Af ajab zaidi upo kubishana sio kujifunza so next time ntakupuuza...
View attachment 2151222
Hapo juu hizo ni data zinazoonesha Rank of the world Oil Gas Importers... Ukiangalia China Pekee anaingizia Oil and Gas by far kuliko Europe yoooote hyo...
Oil and Gas sio mapambo kijana... Yana matumizi... Na katika mfano wa matumizi ya Gas nakutolea kipengele kimoja chepesi kueleweka cha Manufacturing... China is the world largest Manufacturing Hub tena by Far kuliko USA na nchi zingine dunian...
Till 2021 Russia ana supply over 50% of natural Gas nchini China ka hujui nenda kasome apa
CHINA DATA: Total natural gas imports rose 20% in 2021 on strong energy demand
So kwa fikra zako unategemea China atamtupa Russia amridhishe mmarekan? Amtupe Russia aharibu uchumi wake? Hivi unawaza kwa kutumia kiungo gani Mjomba...
Kisha jijibu swali lako uliloniuliza...
Af kisha nikuulize swali lingine... Kama kaweza ku-supply europe more than 40% eneo lenye population zaidi ya mil 700... na aka Supply China More than 50% kwenye population ya watu zaidi Bil 1.4 ukimtoa sokoni kwa mihemko unawaumiza Raia wangapi hapo af bado unashabikia upupu tu....
Af ulivo mzungumzaji wa vitu usivivielewa et BRICS si kitu mseeeew [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849].... BRICS sio kama NATO kuwaza vita kila wakati BRICS n strategic alliance kibiashara na inahtaji ukomae akili ndo ueze kuuelewa...