President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Sasa mzee mbona unataka kuninyima uhuru wangu wa kujieleza!?Silaha ni kitu kingine na ulinzi ni kitu kingine..Tumekua tukishabikia silaha mpaka kuna watu wanatamani zipigwe huko Ukrain nyuklia!! ni ajabu sana.. Mara nyingi hizo nchi kubwa mifumo yoa ya ulinzi ni SIRI kubwa, hayo yanayowekwa hadharani ni machache sana..
Mfano:
USA wakati wanatengeneza F117 na kuifanyia majaribio hakuna aliyejua mpaka vita vya Iraq ilipotumia..
Hivyohivyo kwa B2 Spirit.
Kudhani kwamba nchi moja itapiga kombora nchi nyingine kwa urahisi ni nchi za duinia ya tatu, hao super power ni habari ingine. USA wanaimulika dunia kutoka angani kila sekunde.
USA wana mitambo ya angani 125+
URUSi wana 70+
CHINA wana 68+
Maandalizi yoyote ya kijeshi au mifumo ya makombora makubwa (ICBM) Yanafatiliwa kila sekunde ipitayo kutoka angani.
Bahati mbaya sana tunasahau kwamba USA wana Submarine 24 zilizobeba vichwa 14-20 vya nyuklia vinavyoweza kupiga mahali popote duniani zikiwa zipo maeneo tofauti duniani. Kadhalika Urusi wana Sub za nyuklia pia.
Hebu nikuulize swali moja tu. Hiyo idadi ya slaha umeijulia wapi!?