Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We are fighting for our lives. We fight for our lives in missiles, air bombs, artillery, tanks and mortars. And everything else that Russian troops are using to destroy us. Everything else than Russia is destroying itself now. Because every shot at Ukraine, every blow at Ukraine are steps towards Russia's self-destruction.View attachment 2151987
Kijana mwenye utu na utulivu.
 
Kwa
Ficha ujinga wako mkuu...usikariri kuwa S-300 inaweza kulipua kila kombora.

Naam, Marekani anaelewa sasa uimara wa silaha za Russia. Wanaintelijensia wa Marekani wameduazwa na silaha ngeni za Russia ambazo zimewekewa vionjo vipya vinavyoziwezesha kujam radar za air defense systems na pia kuyachanganya makombora yatayotumwa na adui kuyadungua.

======

View attachment 2152147
Najua Pro Russia au Ukraine yeyote hapendezwi na taarifa inayoshusha credibility ya upande anaoupenda. Lakini Mwenye akili timamu tayari ameshabaini kinachokwenda kutokea. Yes, Ukraine inazidi kuharibika lakini ANGUKO LA RUSSIA NA HESHIMA YAKE IMEKARIBIA.
Najua haya maneno ni kero kwa wenzangu humu lakini tuupende Ukweli na tusilazimishe Mioyo kuukataa ukweli.
 
Bora zako wewe mMarekani wa Tandahimba mwenye taarifa zaidi juu ya udhaifu wa silaha za Russia kuliko hata wanaintelijensia wa Marekani (waMarekani O.G.), ambao wao ni wabobevu wa mambo hayo, na wameaminiwa kupewa dhamana ya kufatilia mambo hayo.

Maofisa wa Marekani (wanaintelijensia) wao wameduazwa na vionjo vipya vilivyomo kwenye silaha za Russia vinavyoyafanya makombora yake yawe na uwezo wa kukwepa air-defense systems na makombora ya adui yatumwayo kuyadungua. Na hayo wameyaona ktk vita hii inayoendelea.

========

View attachment 2151946
Haya Makombora ya Islander c Armenia alipewa na Urusi ili aipige Azerbaijan lkn yalitunguliwa na air defenses za Israel.

Hiyo NI habari toka chombo cha habari cha Urusi, The Moscow Times.
Screenshot_2022-03-15-22-36-17-327_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-03-15-22-36-39-405_com.android.chrome.jpg
 
Kwa
Najua Pro Russia au Ukraine yeyote hapendezwi na taarifa inayoshusha credibility ya upande anaoupenda. Lakini Mwenye akili timamu tayari ameshabaini kinachokwenda kutokea. Yes, Ukraine inazidi kuharibika lakini ANGUKO LA RUSSIA NA HESHIMA YAKE IMEKARIBIA.
Najua haya maneno ni kero kwa wenzangu humu lakini tuupende Ukweli na tusilazimishe Mioyo kuukataa ukweli.
Ficha ujinga wako mkuu...usikariri kuwa S-300 inaweza kulipua kila kombora.

Naam, Marekani anaelewa sasa uimara wa silaha za Russia. Wanaintelijensia wa Marekani wameduazwa na silaha ngeni za Russia ambazo zimewekewa vionjo vipya vinavyoziwezesha kujam radar za air defense systems na pia kuyachanganya makombora yatayotumwa na adui kuyadungua.

======

Screenshot_20220315-181949_Chrome.jpg
 
Kwa
Najua Pro Russia au Ukraine yeyote hapendezwi na taarifa inayoshusha credibility ya upande anaoupenda. Lakini Mwenye akili timamu tayari ameshabaini kinachokwenda kutokea. Yes, Ukraine inazidi kuharibika lakini ANGUKO LA RUSSIA NA HESHIMA YAKE IMEKARIBIA.
Najua haya maneno ni kero kwa wenzangu humu lakini tuupende Ukweli na tusilazimishe Mioyo kuukataa ukweli.
Right on the money
 
Haya Makombora ya Islander c Armenia alipewa na Urusi ili aipige Azerbaijan lkn yalitunguliwa na air defenses za Israel.

Hiyo NI habari toka chombo cha habari cha Urusi, The Moscow Times.View attachment 2152218View attachment 2152219

Acha kukariri Mkuu...

Ungeelewa hata kichwa cha habari ktk screenshot niliyoiweka (na nakuwekea tena), usingeleta huo utopolo wako.

Wataalamu wa silaha wa Marekani wao wenyewe wamestaajabu makombora haya yalivyo kwa sasa (kwa maana ni tofauti na walivyokuwa wakiyafahamu huko nyuma, na wamesema yana vionjo vipya na vigeni kwao vilivyoongezwa), halafu wewe waleta mambo ya kukariri kariri kuwa unayajua yalishawahi kutumika Armenia!

Armenia alipata makombora ya Iskandar toka Russia mwaka 2015, leo tupo 2022. Na umeambiwa na wataalamu wa Marekani kuwa makombora ya sasa ni mageni. Halafu wewe wakurupuka wataka kufananisha version ya sasa na hiyo ya miaka iliyopita!

Yaani S-300 leo ishindwe kuyatarget na kuyadungua makombora haya (version ya sasa), halafu eti utegemee Barak-8 (hiyo uliyoutaja) ndio iweze kuyadungua🤭🤭🤭🤭

Kama ulikuwa hujui S-300 kwa ubora duniani inashika nafasi ya 3, halafu hiyo Barak-8 inashika nafasi ya 9 (angalia hapo chini)

=======

Screenshot_20220315-181949_Chrome.jpg

Top-10-Best-Air-Defence-System-in-the-World-3.jpg
Top-10-Best-Air-Defence-System-in-the-World-2.jpg
 
Acha kukariri Mkuu...

Ungeelewa hata kichwa cha habari ktk screenshot niliyoiweka (na nakuwekea tena), usingeleta huo utopolo wako.

Wataalamu wa silaha wa Marekani wao wenyewe wamestaajabu makombora haya yalivyo kwa sasa (kwa maana ni tofauti na walivyokuwa wakiyafahamu huko nyuma, na wamesema yana vionjo vipya na vigeni kwao vilivyoongezwa), halafu wewe waleta mambo ya kukariri kariri kuwa unayajua yalishawahi kutumika!

Yaani S-300 leo ishindwe kuyatarget na kuyadungua makombora haya (version ya sasa), halafu eti utegemee Barak-8 (hiyo uliyoutaja) ndio iweze kuyadungua[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]

Kama ulikuwa hujui S-300 kwa ubora duniani inashika nafasi ya 3, halafu hiyo Barak-8 inashika nafasi ya 9 (angalia hapo chini)

=======

View attachment 2152222

View attachment 2152235View attachment 2152236
Kwa ubora inashika nafasi ya tatu ilipewa na Nani?! Hizo S300 si ndo zilikua zinapigwa kwenye Vita ya Armenia na Azerbaijan. Kila kukicha zilikua zinalipuliwa na drones za Israeli na Turkey ambazo Azerbaijan walinunua.
Screenshot_2022-03-15-23-11-21-594_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-03-15-23-11-39-777_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-03-15-23-11-58-746_com.android.chrome.jpg

View attachment 2152259
 
Acha kukariri Mkuu...

Ungeelewa hata kichwa cha habari ktk screenshot niliyoiweka (na nakuwekea tena), usingeleta huo utopolo wako.

Wataalamu wa silaha wa Marekani wao wenyewe wamestaajabu makombora haya yalivyo kwa sasa (kwa maana ni tofauti na walivyokuwa wakiyafahamu huko nyuma, na wamesema yana vionjo vipya na vigeni kwao vilivyoongezwa), halafu wewe waleta mambo ya kukariri kariri kuwa unayajua yalishawahi kutumika!

Armenia alipata makombora hayo toka Russia mwaka 2015, leo tupo 2022. Na umeambiwa na wataalamu wa Marekani kuwa makombora ya sasa ni mageni. Halafu wewe wakurupuka wataka kufananisha version ya sasa na hiyo ya miaka iliyopita!

Yaani S-300 leo ishindwe kuyatarget na kuyadungua makombora haya (version ya sasa), halafu eti utegemee Barak-8 (hiyo uliyoutaja) ndio iweze kuyadungua[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]

Kama ulikuwa hujui S-300 kwa ubora duniani inashika nafasi ya 3, halafu hiyo Barak-8 inashika nafasi ya 9 (angalia hapo chini)

=======

View attachment 2152222

View attachment 2152235View attachment 2152236
Ile Vita iliwashangaza wengi jinsi ambayo silaha za west zilivyokua superior dhidi ya za Urusi. Maana air defenses nying za Urusi ziliharibiwa ikiwemo hiyo S300 na pantsir.
Tena Russia ashukuru kwenye huu mgogoro Israel ameamua kua neutral hakutoa silaha Kwa Ukraine lakini angetoa zile drones zake sasa hv tungekua tunaongea habari nyingine sidhani Kama Urusi ingekamata hata mji mmoja huko Ukraine. Israel kwenye drone technology ni fundi aseee
Screenshot_2022-03-15-23-17-19-428_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-03-15-23-19-28-119_com.android.chrome.jpg
 
Back
Top Bottom