Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pro-Russians ukiwauliza eleza kuhusu uchumi wa Russia wanakwambia GESI na MAFUTA.
Ukiwaambia waeleze namna Russia itakavyoendeleza vizuri biashara na dunia na hivi vikwazo wanakwambia BRICS ambayo ina nchi nyingine nne.

Nawashangaa, mwaka 2019 Huawei kampuni ya China ilipowekewa vikwazo na Marekani pekee wala sio nchi nyingine hao BRICS na Russia akiwemo waliisaidia nini isishuke. Mbona ilikuwa ni #1 au #2 kwenye idadi ya mauzo ya simu duniani ila leo hata top 10 sijui kama ipo ila nachojua top 7 haipo. BRICS wako wapi?
Achana na BRICS wote, China yenyewe iko wapi si iiokoe kampuni yake. Mbona Apple ndio brand inayoongoza kwa mauzo China. Mbona Huawei ilitoka kuwa either #1 au #2 within Chinese market ila sasa hivi haiwezi kuzipiku Apple, Vivo, Oppo, Xiaomi na Honor (ambayo Huawei waliiuza ikawa independent kwa owner mwingine ili ikwepe vikwazo, leo hii nayo inawapita).

Marekani ilipoiwekea vikwazo ZTE ya China walienda wapi hao BRICS mbona ilipotea kabisa soko la dunia. Kama mnaamini China itafanya sacrifice ya uchumi wake kukiuka vikwazo vya Russia sawa kuota sio dhambi, mtuambie North Korea (third world country) ambayo inafanya biashara na China na Russia pekee kwa asilimia kubwa sana je ina uchumi gani kulinganisha na majirani zake Japan na South Korea
 
The EU banned the export of cars worth more than €50,000 and a number of luxury goods to Russia.
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Mpendwa, tunatoa maoni hapa kwa hatari mwingine atajibu. Hapo tuko pamoja 100% .
Halafu katika maisha hii tunaweza kuamua ni nini tunachotenda, ila ni vigumu kuepukana na yale tunayotendewa. 😉
Najaribu kukujibu kwa level yako hii ndogo ya uelewa. Tafadhali mimi siyo mpendwa wako. Hii ni mara ya mwisho kukujibu kwa lugha ya upole.
 
Imefika sehemu nawaza ni kwanini wakubwa wa Dunia wasijiunge kumsimamisha Russia kwa lazima hata kwakupigana naye. Hii ya vikwazo itasaidia lakini watu wengi nchini Ukraine watakuwa wamekufa na nchi kuharibika zaidi.

Ninachoamini kama USA/NATO wakiamua kwa dhati kulianzisha itamlazimu Russia kurudi nyuma na kuona umuhimu wa Diplomasia ktk mgogoro huu. RUSSIA INAPIGIKA TU SEMA HAWA WAKUBWA HAWANA DHAMIRI YA DHATI NA HAWAGUSWI NA MAISHA YA UKRAINE KIHIIIIIVYO.

Watu wanakufa na nchi inakuwa Magofu sababu ya Kisirani cha Mtu mmoja tu Mr P.
Toka usingizini Mkuu,kwani unadhani mwenyewe hawapendi kufanya hivyo.

By the way Silaa zinaundwa ili zifanye kazi sio kukaa stoop,na binadam wanazaliwa ili wafe-sasa sijui kwa nini watu wakiuwawa wewe unaumia huku ni uamuzi waliochukua wao-maana kama Raia hawataki basi wangelazimisha Rais wao aukubaliane na matakwa ya Russia.
 
Biden will attend an EU meeting as part of an upcoming visit to Brussels, the White House said.

Also, the American leader will discuss the "containment" of Russia at the NATO summit.
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Zelensky appointed Major General Eduard Moskalev as the new commander of Kyiv's military operation in Donbass.

In 2016, Moskalev, in an interview with the Ukrainian media, told how the residents of Donbass greeted the participants of the so-called ATO with hatred:

“Local residents then often handed us over ... It happened that when, for example, we went to Debaltseve, the people met us very badly. You know, in all my life I have never seen such hatred in the eyes. When they look at you - and you even pierce with hatred in your eyes.
IMG_20220315_210817_370.jpg
 
[emoji631] [emoji636][emoji1255] [emoji635] A British mercenary who joined the Georgian Territorial Defense Legion complains about the huge losses among the British and Americans as a result of the strike on their base, as well as the attitude of the Ukrainians towards them: they wanted to be sent to Kyiv with only 10 rounds of ammunition for machine guns . As a result, he and his comrades returned to Poland, although not without problems at the border.

Ningeongezea video sema ina Mb nyingi dadeki...
 
The head of the Armenian Foreign Ministry announced Yerevan's readiness to establish diplomatic relations with Turkey.

“I am glad to hear from my Turkish colleague that there is political will to lead the process towards this goal,” Ararat Mirzoyan said.
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Imefika sehemu nawaza ni kwanini wakubwa wa Dunia wasijiunge kumsimamisha Russia kwa lazima hata kwakupigana naye. Hii ya vikwazo itasaidia lakini watu wengi nchini Ukraine watakuwa wamekufa na nchi kuharibika zaidi.

Ninachoamini kama USA/NATO wakiamua kwa dhati kulianzisha itamlazimu Russia kurudi nyuma na kuona umuhimu wa Diplomasia ktk mgogoro huu. RUSSIA INAPIGIKA TU SEMA HAWA WAKUBWA HAWANA DHAMIRI YA DHATI NA HAWAGUSWI NA MAISHA YA UKRAINE KIHIIIIIVYO.

Watu wanakufa na nchi inakuwa Magofu sababu ya Kisirani cha Mtu mmoja tu Mr P.
Kupigana vita ni kitu kimoja, kupigana vita wote mkiwa na nuclear bombs ni kitu kingine
 
Chief of Communications, Deputy Chief of Staff #103rbr Major Alexander Sergeevich Fedorov, born in 1988 from Ulan-Ude contacted the wrong people and left the chat


 
Back
Top Bottom