Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Russian Foreign Ministry has published a list of US citizens who are included in the stop list. Among them are Biden, Blinken and Psaki.
View attachment 2151900
Ok, mkuu hebu kamaunajua maana ya hivivikwazo binafsi wanavyo weka Urusi kwa wa marekani hasa Biden nataka kujuzwa.
Kwamfano Biden kikwazochake kinakuwaje yani, wanazuiya malizake, ama wanamzuia asisafiri, kwamba akisafiri watamkamata amavipi, sijaelewa hapo.
 
Wewe ndiye una ujuaji na mpuuzi mkubwa.Kama wewe hebu jaribu kukosoa wapi nimekosea na uangalie uhalisia ulivyo.Tatizo lako unabwabwaja kwenye mambo ambayo huyajui!!
Kwanza tambua ya kwamba majeshi ya Urusi yana zaidi ya siku 4 haya jafanya shambulio kwenye mji wa khakyvu sijajua sababu ni nini.

Tatizo ww mkuu umetoa maelezo kana kwamba vita ni kitu rahisi sana.

Kuwa kilometer 20 sio hoja ya kushinda vita kirahisi kwa sababu wanajeshi wa Ukraine na wao wana mafunzo na silaha za kisasa sio kwamba wanatumia mishare kupambana.

Israel aliye pambana na kuzishinda nchi zaidi ya tatu mwaka 1967 , mwaka 2014 aliingia gaza kwa lengo la kuliangamiza kundi la Hamas ,vita ili dumu zaidi ya mwezi lakini hakuna alicho kiambulia zaidi kuondoka kwa aibu na alipo teza wanajeshi wake na hasara ya vifaa vyake na hamas mpaka sasa bado wapo.

Nimetumia mfano wa Hamas na Israel kukuonesha ugumu wa vita kwa sababu Israel ni kati ya mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi kuanzia silaha, mbinu wakati Hamas ni kikundi cha wapiganaji wasiozidi 30,000 ambacho hakina vifaru wala mizinga lakini alishindwa kukiangamiza na kuidhibiti gaza.


Kuzidiwa mbinu kwenye vita huwa ni jambo la kawaida sana.

Ukraine iilifanikiwa kudhibiti mbinu ya kwanza ya Russia ya kusonga mbele kwa haraka Ukraine ikawa inawaacha wanaingia kwenye mji alafu wana wavizia na kuwapiga ambush ya kushutukiza mbinu kama hii imeikimbiza Marekani na washirika wake nchini Afghanistan.

Na ndio maana Kwa sasa unaona Urusi imebadilisha mbinu sasa hivi hawa songi mbele kwa haraka maana wame gundua watapoteza wanajeshi wengi na vifaa sasa hivi ina tumia mbinu ya kuzingira mji alafu wanakuwa wana sogea polepole kuingia katikati ya mji kwa umakini mkubwa.



Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Srebnyansky district, Chernihiv region, captive head of technical intelligence, Major Viktor Gennadyevich Blyudin, sings a song about exercises that

 
Srebnyansky district, Chernigov region, and this one, in general, is beautiful


 
Srebnyansky district, Chernihiv region, villagers caught six Russian spies ,
 
i don't believe this.saud is ally of us for way long time
Bado tu [emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2152089

Na

Screenshot_20220315-204357.jpg
 
Sijui kama naweza kupata maneno sahihi. Lakini natumaini kwamba baada ya kuzungumza mbele ya Serikali na Bunge la Kanada katika nchi hii ya kindugu, hakuna mtu atakaye kuwa View attachment 2152050na shaka: Urusi inataka kuharibu kila kitu kinachofanya Ukrainians Ukrainians - maisha yetu ya baadaye, tabia yetu, mapenzi yetu. Lakini hakuna kitakachotokea. Zelensky said
We usiharibu ladha ya nyuzi,kunamaneno mengine hayana tafsiri nzuri kwa
kiswahili wewe lete habari kamailivyo.

kitaka kutafsiri kidogo weka tafsiri ya kiswahili chini kwa faida ya ziada.
 
Mzee upo hapa kujibu comments zangu!?
Mbona unajihangaisha sana. Tumia uhuru wako na mimi niache na uhuru wangu.
Mwisho kabisa mimi siyo mpendwa wako.

Naongea kwa lugha rahisi tu.
Mpendwa, tunatoa maoni hapa kwa hatari mwingine atajibu. Hapo tuko pamoja 100% .
Halafu katika maisha hii tunaweza kuamua ni nini tunachotenda, ila ni vigumu kuepukana na yale tunayotendewa. 😉
 
The EU has introduced a new package of personal and economic sanctions against Russia due to the situation around Ukraine.

In particular, businessman Abramovich, as well as the general director of Channel One, Ernst, fell under the restrictions.
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Ok, mkuu hebu kamaunajua maana ya hivivikwazo binafsi wanavyo weka Urusi kwa wa marekani hasa Biden nataka kujuzwa.
Kwamfano Biden kikwazochake kinakuwaje yani, wanazuiya malizake, ama wanamzuia asisafiri, kwamba akisafiri watamkamata amavipi, sijaelewa hapo.
You're right, But let's wait for them to give an explanation.
 
Back
Top Bottom