Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unataka kusema anayemiliki Janes ni nani? Mtaje hapa kama yupo. Sasa unataka kubishana na Janes wewe kwenye mambo ya ulinzi unafanya nini, kinachofuata sasa utabishana na Stockholm International Peace Research Institute (SIPRI).

Janes imeanza kutoa machapisho miaka ya 1800 mwishoni. Inaaminika zaidi duniani, ni wewe hapo individual unanipangana na taasisi. Baadae kwenye uchumi utabishana na Bloomberg au Forbes, bora hiyo Bloomberg utasingizia mmiliki yupo ni American politician
Sasa hapa mzee unataka kusema nini!?
Unajua hata miaka ya 1800 hakukuwa na websites!? Miaka ya 1800 machapisho yao walikuwa wanayatoa kwa njia gani!?
Be serious mzee. Uongo mwingine hauna hata haja ya kuuongea.

Propaganda ngapi zimeletwa na wazungu kuudanganya ulimwengu!? We are not stupid any more. Unatakiwa utueleze ni mjia ipi imetumika kuhesanu silaha za Urusi, USA, China nk. Propaganda hizi ni za kitoto. Ni machizi tu wanaweza kulishwa.

Asante kwa kuchangia. Kama upo na wazo zaidi nitakusaidia kukuelimisha.
KARIBU SANA
 
Zelensky asked Western countries to increase the supply of military equipment to Ukraine.
SmartSelect_20220315-152309_Gallery.png
 
King of all Bomb (Tsar Bomba)​

The mushroom cloud would rise to about 50 km, and would spread to 200 km in diameter. Though the Tsar Bomba is a fairly clean weapon as these things go, exploding it on the ground would draw a lot of material into the fireball, creating a lot of fallout, which would extend in a plume for hundreds of kilometres.
Huwezi kuacha habari za kitoto? Bomu hiyo ni habari ya miaka 60 iliyopita. Hakuna nakala ya pili. Ilikuwa jaribio walilolipua kwenye jangwa la barafu kaskazini mwa Siberia.
Unataka kuendelea kuleta hapa habari ambazo huelewi?
 
Huwezi kuacha habari za kitoto? Bomu hiyo ni habari ya miaka 60 iliyopita. Hakuna nakala ya pili. Ilikuwa jaribio walilolipua kwenye jangwa la barafu kaskazini mwa Siberia.
Unataka kuendelea kuleta hapa habari ambazo huelewi?
Nakala ya pili!!! Mzee unataka Urusi wakuwekee nakala ya pili, ya tatu nk...
Tulia ujifunze mengi.
 
Hivi tushangile mauaji haya ya Purtin eti kwa ushahidi kuwa America naye waliwahi kuivamia Iraq, nisawa kuwa na sisi watanzania aje Gaidi kama Purtin atuvamie then tukilia kuwa Taifa letu limevamiwa basi mataifa mengine waje washangiie kuwa iliwahi tokea na sehemu nyingine duniani
America waliwajibika kuvamia nchi za kiarabu kwa kujitetea baada ya magaidi kuishambulia marekekani na magaidi wakiwa wanahifadhiwa na hizo nchi

Purtin ni Gaidi muuaji na kibaya anataja hadharani kuwa atatumia nuclear, hivi hapa sasa binadamu anaemuunga mtu kama huyu anae ua watu mpaka anatishia Kuua watu na nuclear ni binadamu wa ajabu mwenye akili kama Purtin na hizi akili sio za mmarekani
Kila mtu humu amlaani huyu muuaji jangili Purtin
 
Back
Top Bottom