Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Natafakari pia kuwa hivi Ukraine ingekuwa ni hizi nchi zetu za Africa ingewezekana kuwa na Spirit na umoja na kuwa bega kwa bega na Rais kama inavyoonekana kwa wananchi wa Ukraine!!?
Ninahisi kungekuwa na Kusalitiana kwingi sana na hii ndio nature ya Mtu Mweusi. Refer kipindi cha Ukoloni na kipindi cha biashara ya Utumwa tulikuwa tunalengeshana sisi wenyewe.
Mmojawapo wa kusaliti ningekuwa Mimi, yaan watu tunaishi hatuna maji ya kunywa tokea Dunia iumbwe, hatuna umeme ila wao wanakula Pepo hapa duniani afu eti namimi nikawe front line kupigana wao wakijificha na kupaza sauti tu. Tuwe wamoja na kwenye huduma za kijamii sio kwenye shida tu
 
Biden amlaumu zaidi Putin kwa gharama za vitu kupanda zaidi Marekani. Asema uongozi wake (Biden) usibebeshwe lawama.

=======

View attachment 2151871

"We know that families are still struggling with higher prices," Biden said. "Let's be absolutely clear about why prices are high now or high for two reasons."

The first, Biden said, is due to "the way the global economy works."

And now, a second big reason for inflation is Vladimir Putin," Biden said.

"We've seen the price of gas go up over a dollar just since he put his troops on the border on the border of Ukraine β€” they went up a dollar and five cents," Biden said.
Hii nayo kali, Alipoweka troops zake Ukraine akasababisha mfumuko wa bei nchini kwake? Wala sio hivo vikwazo vya kukurupuka vinavomtafuna mwenyewe?

Hivi wanasiasa huwa wanatuchukiliaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ah au basi tu kumbe me mtanzania....
 
The Russian Foreign Ministry has published a list of US citizens who are included in the stop list. Among them are Biden, Blinken and Psaki.
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Rosselkhoznadzor prohibits the supply of eggs and poultry from four US states: Maryland, South Dakota, Iowa, Missouri.
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Habari na tarifa kutoka vyanzo tofauti tofauti juu ya kinachoendelea Ukraine na Russia.

View attachment 2151839

View attachment 2151840
Nchi zote Russia na Ukraine zina uhaba wa wanaume. Wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Kinachonishangaza Ukraine imefunga mipaka kwa watu wake, hakuna mwanaume zaidi ya miaka 18 kutoka nje ya mpambano na sio kundi maalum la jeshi. Mwisho wa Siku nchi itabaki bila wanaume kabisaaa.
 
Mmojawapo wa kusaliti ningekuwa Mimi, yaan watu tunaishi hatuna maji ya kunywa tokea Dunia iumbwe, hatuna umeme ila wao wanakula Pepo hapa duniani afu eti namimi nikawe front line kupigana wao wakijificha na kupaza sauti tu. Tuwe wamoja na kwenye huduma za kijamii sio kwenye shida tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unawaambia watangulie mbele wao wenyewe wasibaki nyuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nchi zote Russia na Ukraine zina uhaba wa wanaume. Wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Kinachonishangaza Ukraine imefunga mipaka kwa watu wake, hakuna mwanaume zaidi ya miaka 18 kutoka nje ya mpambano na sio kundi maalum la jeshi. Mwisho wa Siku nchi itabaki bila wanaume kabisaaa.
Zelensky Alitumia akili za vijiwe vya kahawa kufanya mamuzi juu ya Taifa la Ukraine.
 
Wanazo zile S 300 tulizokuwa tunazisifia kuwa hakuna kombora kukatiza. Tayari imeshajulikana uwezo wake. Tunasubiri siku kombara zitue Moscow tujue pia ukweli wa hizo S 400 zinazopambwa sana. NINA SHAKA UTURUKI ALIYENUNUA ATAOMBA CHENJI.
Vita hii hakika Marekani inapata faida sana kujua uhalisia wa silaha za Russia
Hii vita inaenda kuharibu soko la Silaha la Urusi, ilianzia mgogoro wa Armenia ambapo Silaha za Urusi zilionyesha ufanisi zero zidi ya Silaha za Marekani.
 
List of US citizens included in the "stop list" by the Ministry of Foreign Affairs of the Russian Federation:

1. Joseph Biden (Joseph Robinette Biden);

2. Anthony Blinken (Anthony John Blinken);

3. Lloyd Austin (Lloyd James Austin III);

4. Mark Milley (Mark Alexander Milley);

5. Jacob Sullivan (Jacob Jeremiah Sullivan) - Assistant to the President of the United States for National Security;

6. William Joseph Burns - director of the CIA;

7. Jennifer Psaki (Jennifer Rene Psaki) - Press Secretary of the White House;

8. Daleep Singh - Deputy Assistant to the President of the United States for National Security;

9. Samantha Jane Power - Director of the Agency for International Development;

10. Hunter Biden (Robert Hunter Biden) - son of the President of the United States;

11. Hillary Clinton (Hillary Diane Rodham Clinton) - former US presidential candidate;

12. Adewale Adeyemo - First Deputy Minister of Finance;

13. Reta Jo Lewis - President and Chairman of the Board of Directors of the Export-Import Bank.

The list is promised to be expanded to include new people who are hostile or who contribute to inciting hatred towards Russia.

SmartSelect_20220315-153921_Gallery.png
 
Back
Top Bottom