Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijui kama naweza kupata maneno sahihi. Lakini natumaini kwamba baada ya kuzungumza mbele ya Serikali na Bunge la Kanada katika nchi hii ya kindugu, hakuna mtu atakaye kuwa
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
na shaka: Urusi inataka kuharibu kila kitu kinachofanya Ukrainians Ukrainians - maisha yetu ya baadaye, tabia yetu, mapenzi yetu. Lakini hakuna kitakachotokea. Zelensky said
 
The majority of mankind (that are non-white) support Russia's stand in Ukraine.Putin is absolutely right! When the USSR parked nuclear armed missiles in Cuba in 1962 the West was ready to blow up the world over it. Now when NATO does the same they expect Russia to do differently?
Mpendwa kiwango cha habari zako kuhusu Dunia kinalingana na kiwango cha habari zako kuhusu bomu kubwa. Nato haiko Ukraine, haikujaribu kufika Ukraine ikakataa maombi ya Ukraine kujiunga mara kadhaa.
Ukraine kwa hiari yake iliachana na silaha zake za nyuklia- Urusi iliahidi kimkataba kutambua na kulinda mipaka ya Ukraine mwaka 1994.
Marekani haikukubali makombora nyuklia kutoka Urusi kufika Kuba. (hakuna mpango wa NATO kufanya vile Ukraine)
Baadaye Marekani ilivumilia Kuba ya kikomunisti mpakani mwake.
Urusi haiko tayri kutimiza ahadi yake ya kimkataba kwa Ukraine,
inavamia nchi ambayo haikuishambulia
inaua hovyo watu wake.
China haiungi mkono uvamizi wa Ukraine. Serikaliy ake inasema hai ya kila nchi iheshimiwe.
Unapata wapi sehemu kubwa ya binadamu?????
 
List of US citizens included in the "stop list" by the Ministry of Foreign Affairs of the Russian Federation:

1. Joseph Biden (Joseph Robinette Biden);

2. Anthony Blinken (Anthony John Blinken);

3. Lloyd Austin (Lloyd James Austin III);

4. Mark Milley (Mark Alexander Milley);

5. Jacob Sullivan (Jacob Jeremiah Sullivan) - Assistant to the President of the United States for National Security;

6. William Joseph Burns - director of the CIA;

7. Jennifer Psaki (Jennifer Rene Psaki) - Press Secretary of the White House;

8. Daleep Singh - Deputy Assistant to the President of the United States for National Security;

9. Samantha Jane Power - Director of the Agency for International Development;

10. Hunter Biden (Robert Hunter Biden) - son of the President of the United States;

11. Hillary Clinton (Hillary Diane Rodham Clinton) - former US presidential candidate;

12. Adewale Adeyemo - First Deputy Minister of Finance;

13. Reta Jo Lewis - President and Chairman of the Board of Directors of the Export-Import Bank.

The list is promised to be expanded to include new people who are hostile or who contribute to inciting hatred towards Russia.

View attachment 2151915
so how hii itakua na impact? sion kama wana shida ya kwend rusia
 
Mpendwa kiwango cha habari zako kuhusu Dunia kinalingana na kiwango cha habari zako kuhusu bomu kubwa. Nato haiko Ukraine, haikujaribu kufika Ukraine ikakataa maombi ya Ukraine kujiunga mara kadhaa.
Ukraine kwa hiari yake iliachana na silaha zake za nyuklia- Urusi iliahidi kimkataba kutambua na kulinda mipaka ya Ukraine mwaka 1994.
Marekani haikukubali makombora nyuklia kutoka Urusi kufika Kuba. (hakuna mpango wa NATO kufanya vile Ukraine)
Baadaye Marekani ilivumilia Kuba ya kikomunisti mpakani mwake.
Urusi haiko tayri kutimiza ahadi yake ya kimkataba kwa Ukraine,
inavamia nchi ambayo haikuishambulia
inaua hovyo watu wake.
China haiungi mkono uvamizi wa Ukraine. Serikaliy ake inasema hai ya kila nchi iheshimiwe.
Unapata wapi sehemu kubwa ya binadamu?????
Mzee upo hapa kujibu comments zangu!?
Mbona unajihangaisha sana. Tumia uhuru wako na mimi niache na uhuru wangu.
Mwisho kabisa mimi siyo mpendwa wako.

Naongea kwa lugha rahisi tu.
 
Yaani toka nimekuwa na akili sikuwahi kuona vita ambayo target kuu ni majengo ya raia na kuua raia ila hii.
Putin anaweza kuwa mtu katili namba moja ukimuondoa Hitler ambae tumesikia habari zake.
Naamini ni heri mbingu na nchi zipite kuliko Putin kutolipizwa kisasi kwa nafsi alikatili uhai.
Kama kweli ukuona basi kweli ni mtoto sana. Libya kule ilikuwa inalenga misitu, Iraq inalenga bahari na Afghanistan je??? [emoji848] Basi kweli wewe ni mtoto. Vita hii ya kistaarabu sana. Inaruhusu watu watoke free zone
 
Mkuu samahani kwani KYIV si kuna MTAMBO WA KUZUIA MAKOMBORA?? Mbona yanapia na kulipua nyumba shida nini??
S-300 ziko intact bado, zile ni long range na Russia walifeli kuziharibu. Hazihangaiki na helicopters au Su-25 ambazo ni low flying. Russia walikuwa eti wanatumia Su-34 wakati haiko reinforced ukipiga MANPAD hata iipate kidogo bado ndege unaipoteza. Ingebidi tuulizane S-300 za Ukraine ziko wapi kama tungeona Il-76 au Su-30 za Russia ziko medium au high altitude.

Meanwhile, Russia wanapoteza air defence systems kama Tor na Pantsir. Ndio mambo ya vita sishangai
20220315_202732.jpg
 
Back
Top Bottom