NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Kuna nyakati unalazimika kuchagua kati ya maamuzi sahihi au maamuzi rahisi.Hivi mna akili sawasawa kweli?? Yaan nchi imekuwa magofu ila huku mlioko bunyokwa mnaona Urusi anapigwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we unadhani vikao vya kila siku ni kwa ajili ya nini?? UKRAINE MIJI MINGI IMEBAKIA MAGOFU.
Wengi mna utoto sana, fuatilieni vita za URUSI anavyoifanya miji anayoishambulia, SYRIA, GEORGIA, CHECHEN nk.
Urusi akifika sehemu anatoa tahadhari ya Raia kisha anaharibu mji wote.
Tatizo hamjipi muda kufuatilia, hata BBC hao huwa wanaonesha namna gani URUSI wakiingia na namna wanaacha hiyo MIJI.
Mkuu umeshindwa kuonesha S-300 kwenye video yako uliyoleta mwenyewe kwa mikono yako?! Maajabu yaliyoje haya🤭🤭🤭🤭Haya bishana na hawa Armenia wamiliki WA hizo S300 ambao wenyewe wamekiri zimeharibiwa lkn ww mtanzania unabisha kwamba sio kweli
Armenia released photos of destroyed S-300 by TB2 dron
Shirika la habari la AFP liliishafanya utafiti kuhakiki madai ya Azerbaijan kuwa mwaka 2020 waliharibu S-300 ya Armenia kwa kutumia drones za Turkey. AFP wakathibitisha kuwa madai hayo sio ya kweli, ni ya uongo.Hizo S300 si ndo zilikua zinapigwa kwenye Vita ya Armenia na Azerbaijan. Kila kukicha zilikua zinalipuliwa na drones za Israeli na Turkey
Kwani hajaomba chakula China?au namsingizia?We jitoe ufahamu.
Vipi uko Warusi msha fika Ikulu au bado tuwavumilie na taarabu zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Propaganda bwana. ...inaelekea hata sajenti mmoja wa Ukraine hajauawa...wanaokufa kwa upande wa Ukraine ni raia tu na hasa watoto, wanawake na wazee...duh.Ukraine imekuwa ni kaburi la viongozi waandamizi wa jeshi la Urusi 🤔
Major General mwingine wa Urusi Oleg Mityaev ,ameuwawa Ukraine!View attachment 2152418
Russian attack on Kharkiv
Ukrainian forces have repelled an attack on Kharkiv by Russian troops, who tried to storm the city from their positions in Piatykhatky, a suburb 15 kilometers (9 miles) to the north, according to the head of the Kharkiv region.
Russia Imeanza kuishiwa vifaa...
Hii ya kukata tamaa imesemwa wapi kwenye hiyo post?. Kilichozungumzwa ni jambo dhahiri, wakishindwa kuafikiana vita inaendelea.Zelensky akata tamaa na muendelezo wa vita nchini Ukraine.
Mshauri wake asema vita vya Ukraine imefikia ktk point ambayo ima Ukrain ikubali matakwa ya Russia ktk mazungumzo ya sasa (vita iishe), au wakatae halafu Russia aendelee tena kuishambulia Ukraine kwa makombora mazito, kisha baadae wafanye tena mazungumzo!
View attachment 2152468
huyo jamaa afai hata kuwa baba wa familia ukitikiswa kidogo tu unakimbia familia yako kisa unaogopa kupigwa mbele ya mkeoKuna nyakati unalazimika kuchagua kati ya maamuzi sahihi au maamuzi rahisi.
Ilikuwa ni rahisi sana kwa Ukraine kuchagua kufuata matakwa ya Urusi na kupangiwa nn cha kufanya na raisi wa nchi nyingine ili majengo yao yasiharibike lakini wakaamua tofauti bila kujali majengo yataharibika au cardless atawaona wao ni loosers.
Vikao vipo si sababu ya kuokoa majengo yasiendelee kuwa magofu ila inatafutwa namna ya upatanishi bila kuaffect uhuru wa UKRAINE. Otherwise kama wangethamini majengo kuliko uhuru jeshi la Ukraine lingesalimu tu amri na kusujudu UISHI MILELE MFALME PUTTIN.