Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Biden plans to announce a new military aid package for Ukraine worth about $1 billion today.

Assistance is expected to include anti-tank and anti-aircraft systems, man-portable air defenses such as the Javelin and Stinger, the WSJ reports.

The day before, Biden signed a bill to finance the government until the end of the year, which includes $ 13.6 billion in military and humanitarian assistance to Ukraine and its neighboring countries. Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Kanuni kuu ya uhuru, ni kwamba uhuru wako usihatarishe uhuru wa mwenzako.
Sahihi.
Sasa uhuru wa Urusi kama nchi haupo salama unless Ukraine ni koloni lake au ni sehemu ya nchi yake. Baada ya hapo Urusi atakuwa amepanua mpaka wake, kisha jirani yake mpya atakuwa tishio kwake, itaenda hivi kila baada ya miaka kadhaa mpaka Urusi ya zamani irejee. Nafikiri hichi ndicho anachojaribu kukifanya tatizo ni kwamba si nchi zote zinazomzunguka Urusi zinataka kuwa chini ya Urusi, na hatari ya vita ya dunia inaweza kutokana na hili.
 
Without Russia, the Council of Europe will have nothing to do, there is only one way out for it - to dissolve itself, said State Duma Speaker Volodin. Galip SV Liwagu View attachment 2152570
Bila shaka Volodin ni mtu ambaye anapaswa kuulizwa!!
(Nyundo unaendelea kutuletea habari muhimu sana; tungefanyeje leo kama tusingesikia sauti ya bwana huyu??) 🤣
 
Ficha ujinga wako mkuu...usikariri kuwa S-300 inaweza kulipua kila kombora.

Naam, Marekani anaelewa sasa uimara wa silaha za Russia. Wanaintelijensia wa Marekani wameduazwa na silaha ngeni za Russia ambazo zimewekewa vionjo vipya vinavyoziwezesha kujam radar za air defense systems na pia kuyachanganya makombora yatayotumwa na adui kuyadungua.

======

View attachment 2152147
Duuh aisee ama kweli akili ni kiungo muhimu sana kwenye bichwa la mwanadamu
 
Mkuu unahisi URUSI ni ZIMBABWE sio?? Unahisi hakuwa na vikwazo hapo nyuma??
Russia hawajawahi experience vikwazo vyenye scale hii, na wenyewe wana-admit hilo. Wafungue Moscow stock of exchange kama haija collapse in a day 🤣 🤣 🤣 . Hivi vikwazo lengo lake ni kui-force Russia kuja kwenye negotiation table na yenyewe kuwa na some seriousness.
 
Sahihi.
Sasa uhuru wa Urusi kama nchi haupo salama unless Ukraine ni koloni lake au ni sehemu ya nchi yake. Baada ya hapo Urusi atakuwa amepanua mpaka wake, kisha jirani yake mpya atakuwa tishio kwake, itaenda hivi kila baada ya miaka kadhaa mpaka Urusi ya zamani irejee. Nafikiri hichi ndicho anachojaribu kukifanya tatizo ni kwamba si nchi zote zinazomzunguka Urusi zinataka kuwa chini ya Urusi, na hatari ya vita ya dunia inaweza kutokana na hili.
Hapana, Hapana, huelewi, mbona anachotaka Urusi ni UKRAINE awe Neutral tu basi.
 
Elon Musk changed his Twitter name to Elon Musk. It all happened because Kadyrov stood up for Putin and called the owner of the Tesla "tender Ilona." A little later, Elon replied to Kadyrov: “Thank you for the offer, but such excellent training would give me too much advantage. If he is afraid to fight, I will agree to use only the left hand, and I am not even left-handed.”

What is happening, we have lived to see the verbal battles between Kadyrov and Elon Musk.
Galip SV Liwagu
IMG_20220316_103310_000.jpg
 
Russia hawajawahi experience vikwazo vyenye scale hii, na wenyewe wana-admit hilo. Wafungue Moscow stock of exchange kama haija collapse in a day [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] .
Ngoja nikuulize, kwako wewe nchi Tajiri zaidi duniani ni ipi.? Ukute hata huo uchumi huna uelewa nao kabisa.
 
Ngoja nikuulize, kwako wewe nchi Tajiri zaidi duniani ni ipi.? Ukute hata huo uchumi huna uelewa nao kabisa.
Hivi mkuu unaishi karne ya 21 alafu bado unauliza maswali ya nchi tajiri zaid duniani ni ipi? you must be joking for sure
 
The contribution not transferred to the Council of Europe in the amount of about 4.2 billion rubles will be used to solve the problems of citizens and support the Russian economy under sanctions, said State Duma Speaker Vyacheslav Volodin. Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Hapana, Hapana, huelewi, mbona anachotaka Urusi ni UKRAINE awe Neutral tu basi.
Nchi yoyote lazima kuna wakati itakuwa na maamuzi ambayo nchi nyingine haitayataka haswa mnapokuwa majirani. Sasa nchi moja kutaka nchi nyingine iwe neutral maana yake ni nini?

Kenya leo ituambie tuwe neutral hataki tuwe member wa ushirika fulani au atatuvamia anakuwa amemaanisha nini? Unapata picha gani? Tutamjibu nini?

Mfano, Ukraine ana vinu vya nuclear, Urusi kaona hapana akamwambia achana na nuclear nitakulinda, Ukraine akaachana na nuclear. Hivyo ndio kuwa neutral au ni kufata matakwa ya Urusi?

Kama Ukraine ni nchi huru na si koloni la Urusi lazima kuna mambo itafanya kwa maslahi yake ambayo si maslahi ya Urusi na hapo Urusi itamuona huyu si neutral kwa tafsiri nyingine huyu hafuati ninachotaka.
 
Back
Top Bottom