MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Mwanzo alikuwa kabla ya operation, Zelensky alikuwa na upper hand kama angekubali kufanya makubaliano.Kuna nyakati unalazimika kuchagua kati ya maamuzi sahihi au maamuzi rahisi.
Ilikuwa ni rahisi sana kwa Ukraine kuchagua kufuata matakwa ya Urusi na kupangiwa nn cha kufanya na raisi wa nchi nyingine ili majengo yao yasiharibike lakini wakaamua tofauti bila kujali majengo yataharibika au cardless atawaona wao ni loosers.
Vikao vipo si sababu ya kuokoa majengo yasiendelee kuwa magofu ila inatafutwa namna ya upatanishi bila kuaffect uhuru wa UKRAINE. Otherwise kama wangethamini majengo kuliko uhuru jeshi la Ukraine lingesalimu tu amri na kusujudu UISHI MILELE MFALME PUTTIN.
Ambayo ilikuwa Ukraine isijiunge na NATO,
Kuyapa Autonomous luhansk na Donetsk region lakini Nchi ingebaki salama.
Ila kwa Sasa Urusi Wana upper hand,
Hivyo Zelensky atabidi akubali au aendelee kupigania.
Asipokuwa makini Novorussia itaundwa ambayo ni eneo lote la Mashariki.
Chaguo ni lake