Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kanuni kuu ya uhuru, ni kwamba uhuru wako usihatarishe uhuru wa mwenzako.
Self defeating argument, unasema uhuru wako usiwe hatari kwa uhuru wa mwenzako, hii iko sawa.Sasa turudi kwenye uhalisia wa vita, kwamba Urusi ameivamia Ukraine ili kuzuia Ukraine kuwa na silaha za maangamizi na zaidi Putin alisema anataka ku neutralise uwezo wa kivita wa Ukraine. Hapo hapo Urusi kajaza kwenye magala yake silaha ambazo anazosema zisiwekwe karibu naye. Kwa hoja Ukraine ndiye alipaswa kuishambulia Urusi kutokana na silaha za Urusi kuhatarisha usalama wake.
 
Kyiv, with outside help, could create a nuclear weapon, the target of which would be Russia-Putin. Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Kyiv's attack on the Donbass and Crimea was only a matter of time, Russia prevented this - Putin.

Strike from the Ukrainian troops "Point U" on Donetsk on March 14 was a bloody terrorist attack - Putin.

If Russian troops stopped at the borders of the Lugansk and Donetsk People's Republics, this would not be the final decision, would not remove the threat to Russia - Putin.
Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Asante ila nisahihishe kidogo: vita ya Putin imeleta hatari na kupanda kwa bei. Maana kumjibu kwa vikwazo - sanctions ni njia ya kirafiki ya kumjibu mhuni anayevunja amani na sheria ya kimataifa.
Zamani angeona tu jibu la kijeshi ambayo ingekuwa hatari zaidi.
Total Post 813,
Likes received 613....

Avarage Like per post 0.75...

This show how yo "nonsenses" being ignored kila mda unapojarib kujitutumua...
 
“It was a real threat. In the foreseeable future, with foreign technical assistance, the pro-Nazi regime in Kyiv could get its hands on weapons of mass destruction. And the target for him, of course, would be Russia.”

Putin - about the desire of Ukraine to obtain nuclear weapons and their means of delivery.
Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
⚡️Putin to the citizens of Western nations

The Russian leader addressed the populations of countries abroad, saying that leaders are trying to tell the people that it is Russia hitting them in the wallet.

"This is a lie... the truth of the current problems faced by millions in the West is the result of years of actions taken by the ruling elites of your states... Their mistakes, myopia and ambitions.
 
Sanctions against Russia are hitting the Europeans and Americans themselves, “do not shift from a sore head to a healthy one” - Putin.

He also addressed the inhabitants of Western states, calling the allegations of hostile actions of Russia a lie. Liwagu Galip SV View attachment 2153025
Hii nipatie source nikakae nayo kwa taarifa za ziada....
 
Back
Top Bottom