Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Rais wa ukraine amesema sasa ni wakati muafaka wakufanya mazungumzo siriasi ya kumaliza vita,angalia screen shorts hapo chini.Naona maji yamefika shingoni,vita havipiganwi kwa propaganda za BBC NA CNN.
IMG_20220319_164450.jpg
IMG_20220319_164518.jpg
 
Rais wa Urusi Vladmir Putin amelalamikia kitendo cha mashambulizi ya kijeshi kilichofanywa na Ukraine kwenye ardhi ya Urusi mashariki.

Putin ameyasema haya wiki hii kwenye mazungumzo kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na kumwambia kwamba makombora yaliyorushwa na Ukraine yametua kwenye makazi ya Watu kwenye miji miwili ya Urusi na kusababisha vifo vya Raia.
Screenshot_2022-03-19-16-51-02-18.jpg
 
"Syrian President Bashar al-Assad held talks in Dubai with Vice President and Prime Minister of the United Arab Emirates Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, Crown Prince of Abu Dhabi and Commander of the Armed Forces Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan. "Syria is the main pillar of the security of the Arab countries, and the UAE's position in support of its territorial unity and stability remains unchanged," Sheikh Al Nahyan said. He called for the withdrawal of all foreign troops that are illegally on Syrian territory."

The US State Department expressed "deep disappointment" with Syrian President Bashar al-Assad's visit to the UAE. This was reported by Reuters with reference to the head of the press service of the US Foreign Ministry, Ned Price.
 
Sergei Lavrov announced the failure of the anti-Russian project and the impasse for the West

The head of the Russian Foreign Ministry spoke with the participants of the "Leaders of Russia" contest. Key points from his speech:

▪️the idea to send NATO peacekeepers to Ukraine is demagogic;
▪️The behavior of the West confirms its unreliability neither as a part of the world where major currencies are generated, nor as partners in the economy, nor as countries where you can store gold and foreign exchange reserves - "they just steal";
▪️interaction between Russia and China will be strengthened;
▪️ no one is interested in destroying OPEC+;
▪️Expects that the special operation will end with a comprehensive agreement;
▪️ reminded that the vast majority of countries in the world have not announced sanctions against Russia;
▪️The West has driven itself into a dead end, Russia will not take the initiative in establishing relations with Western countries;
▪️The special operation managed to thwart the anti-Russian project;
▪️Vladimir Zelensky's policy is difficult to take seriously.
 
Ni jambo jema.

"Sihitaji kuzungumza na wewe. Nahitaji tu shake hands tu yaishe. Ukikubali masharti yangu hakuna matata bwana mdogo.
1. Utambue majimbo yaliyojitenga.
2. Ubadilishe katiba iseme hautajiunga NATO.
3. Usiegemee upande wowote.
4. Usiruhusu silaha za kibaolojia."

Putin huyo atasema
 
Back
Top Bottom