Huu sasa ubabe uliopotiliza. Ukiwa na jirani kama Russia unatakiwa kuwa mpole tu na kumsikiliza. Maana anaweza kukuchukulia mke halafu ukijaribu kumpigia ke wako akakuletea zengwe kuwa umambip mke wake.Mashambulizi yalifanyika katika moja ya yale majimbo 2 yaliyojitangazia Uhuru, pengine Putin ameshayahesabu ni ya kwake.
Kushambulia majimbo yale anaona kama vile imeshambuliwa Urusi.
Duuuh! nadhani ndiyomaana nyaraka nyingi,zilikua zinachanwachanwa,kuficha vingi.Beijing calls on US to explain biolabs in Ukraine
China’s UN rep has urged the US to address concerns over biolabs in Ukraine and any research that was carried out in them.
“Any information and leads on biological military activities should trigger heightened concern and attention of the international community to avoid irreparable harm,” Ambassador Zhang Jun said.
Earlier, Russia has presented evidence that Pentagon-funded military labs in Ukraine and Georgia were working on “biological weapons components,” and may have been connected to outbreaks of dirofilariasis, tuberculosis and avian flu over the past years.View attachment 2156909
Mzee hiyo news siyo mpya. Tulishaiweka hapa na imetolewa maelezoView attachment 2156910mumekwisha
Tuombe vita visitokee,kwa namna yoyote ile,tuendage Kongo na Mtwara tu,kwa hali hii,Mmmh...
Vita ni mbinu.
Russia yatuma ujumbe kwa Ukraine, NATO na Marekani.
View attachment 2156501
Rubani wa ndege ya kivita ya Russia akikagua kombora la Kinzhal wakati wa majaribio hivi karibuni katika eneo lisilojulikana. Picha na Reuters.
Hayo makombora hufyatuliwa kutoka kwenye meli za kivita au kutoka kwenye ndege za kivita MiG-31K ambazo pia hubeba makombora ya nyuklia.
Makombora hayo yalitengenezwa kwa ajili ya kuteketeza meli za kivita za NATO na na mifumo yake ya kujilinda yaani "Air defence systems."
Kitendo cha Russia kutumia makombora hayo jana ni kujibu kitendo cha Marekani kuagiza vifaa vipya vya kisasa vya kuzuia makombora ya Russia lakini si haya ya Kh-47M2 Kinzhal ambayo Russia imesema yana uwezo wa kuvunja mifumo hiyo mipya ya Marekani.

Russia ndiyo nchi ya kwanza kwenda mwezini. Technology ya Russia ipo mbele mno. Nadhani NATO na USA itawachukua miaka.Nilishasemaga humu ndani Russia anateknolojia ambayo anaweza tuma missile na lisionekane kwa rada kuna watu walibisha sana humu ndani.
Russia alituma kombora kule mpakan kwa majeshi ya NATO nikajiuliza hawa NATO wamepigwaje?inamaana hakukuwa na rada wala airdefense? Hapana zilikuwepo nyingi tu ila kombora lilipenya.
Tulishuhudia wenyew media za west walisema kombora halikuonekana kwenye rada zao coz NATO hawezi kupeleka jeshi lake bila kuwepo na security ya kutosha.
Kinzhal unaambiwa ilikua special kwa ajil ya NATO jiulize hawa jamaa nyuma wana silaha ngapi nzito na za maajabu hawajataka kushare na sisi??
Usifikir NATO ni wajinga kutoingia Ukraine ni wanajua Russia angewamaliza kweupe kabisa.
Kuna kitu kinampa kiburi Mrussi huenda huyu jamaa anateknolojia ya kuzuia nyuklia na lisilete madhara kanyamaza kimya anawasubiria[emoji28]
Kuna boya huko anakuja anakwambia Russia hamna kitu ni dhaifu aiseee. Russia anaupiga mwingi sana, heshima lazma irudi nawaambia
Alichofanya Russia anawaambia NATO nina missiles ambazo hamuwezi kuziona kwa rada zenu shenzi zenu mazafakaz hio ni msg tosha.
Ila nyie Russia ni mbabe kazinyamazisha nchi 30 sahv mpaka vikwazo wameishiwa wameanza story za kuomba jamaa apunguze moto fakenii[emoji28][emoji28]
Ni kweli mkuu hata Russia hakupenda itokee ila amelazishwa na maadui zakeT
Tuombe vita visitokee,kwa namna yoyote ile,tuendage Kongo na Mtwara tu,kwa hali hii,Mmmh...