Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama ni hivyo kwanini wanakataza nchi kutengeneza silaha za nyuklia wakati ni uhuru wake. Mfano Marekani waliivamia Iraq kwasababu ya shutuma za utengenezwaji wa silaha za nyuklia

Kuna baadhi ya raia mtaani wanamiliki bastola, ila haruhusiwi kwa kila mtu, maana ukionekana una ukichaa fulani inabidi udhibitiwe.
 
Ila mimi wakuuu sielewi kwamba Hammas Wana makombora huwa wanarusha yanapiga Israel,kwa Hawa Ukraine ni vipi kiasi kwamba hawawezi kurusha hata missile moja kupiga territory ya Russia?
Kwa sababu hawawezi.

Lkn pia hawana uthubutu huo. 'Labda' ni kwasababu kwa sasa russia wapo kwenye special military operation sasa kama Ukraine wakiishambulia Russia motherland itampa Putin all the justifications he need to retaliate with full force of the Russian military.

Katika hii dunia sasa hakuna nchi inaweza fikiria kuishambulia ardhi ya urusi.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajomba wahuni sana... Hyo taarifa haina ata nusu saa comments zishafika buku jero...

Ona na hii nyingine [emoji23][emoji23][emoji23]

The chief of police in Mariupol calls on Zelensky to provide Ukrainian military with real air defense systems and not “tiny little rockets which do not work against russian aircraft” referring to Stingers and other MANPADS provided by NATO. He says they are useless against the Russian Aerospace Forces whom he calls “monster” & begs him to not let them die there without real defences.

View attachment 2156453

Mkuu wa polisi huko Mariupol anatoa wito kwa Zelensky kuwapa wanajeshi wa Ukraine mifumo halisi ya ulinzi wa anga na sio "roketi ndogo ndogo ambazo hazifanyi kazi dhidi ya ndege za Urusi" akimaanisha Stingers na MANPADS zingine zinazotolewa na NATO. Anasema ni bure dhidi ya Vikosi vya Wanaanga vya Urusi ambao anawaita "kinyama" na anamsihi asiwaache wafe huko bila ulinzi wa kweli.

Kuna video yake ipo hapo sema siezi kui'upload uku...

Upande wa comments sasa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

View attachment 2156454

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2156455

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2156456

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2156457

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoj
Yuko sawa na sioni tatizo na matamshi yake, Stinger na Javelin zitumike kulipua vifaru vya mrussi. NATO itume s-300 ndo wajilinde na ndege.
 
Kwa sasa CGTN inakuja juu.
Naam na kingine nilichogundua ndani ya haya haya mataifa ya kimagharibi ukiachilia mbali hizi Media kubwa ambazo ndo "weapons" haswa za "wababe" zipo ambazo ni unbiased kwa kiwango flan...

Ingawa utakuta si maarufu kiivo na zinapata changamoto ka media zingine zinazong'ang'ania ukweli na kupinga upotoshaji.

Mfano unaikumbika France 24? Imefungiwa teari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyingine ni kama AP na WSJ nao si haba kuna ile nyingine ya kituruki TRT japo Turkey n nato ila wanajtahd kutolalia upande... Mbali zaidi kuna ile moja pia ipo Israel "Jerusalem Post" n.k
 
.
Screenshot_20220319-121108.jpg
Screenshot_20220319-121119.jpg
Screenshot_20220319-121126.jpg
 
Yuko sawa na sioni tatizo na matamshi yake, Stinger na Javelin zitumike kulipua vifaru vya mrussi. NATO itume s-300 ndo wajilinde na ndege.
Mzee unazijua s-300 anayezitengeneza ni nani!? Unaijua end user license!? Nyie wakenye always your stupid.

Manufacturer wa hizo weapons ni Kalinin Machine-Building Plant.

Hebu jielimishe kwanza kisha uje kwenye thread hii. Jipige kufua na useme wakenya ni wajinga.
 
Watu wanaichukulia poa sana Russia. NATO iliundwa kwaajili ya kujihami dhidi ya Russia. Russia anawacheki tu huko Norway.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani anachungulia tu anawaona wanavojitahidi kupaka poda na wanja
 
Yah ila kwa upande wa Al-Jazeera sio ya Muingereza hiyo Al-Jazeera English ni kama BBC Swahili tu inarusha taarifa kwa kiswahil ila haina maana inamilikiwa na Mswahili...

Al-Jazeera iko chini ya Al-Jazeera Media Network ambayo ni state owned na Serikali ya Qatar chini ya Qatar Media Corporation... Ambayo kwa Tanzania unaeza ifananisha na TBC FM, TBC 1 au TBC 2 zinazomilikiwa na Serikali chini ya TBC "as Company"

Sema tu Al-Jazeera ya sasa sio ile Al-Jazeera ya nyuma tuliyoishuhudia ikianika madudu ya Israel Palestina. Sasa vyombo vya habari vingi vinaogopa kua ka RT na Sputnik kuhofia kunyanganywa Leseni zao za utangazaji kwe mataifa ya Ulaya. So wanaunga kamba tu kufata matakwa ya "wakubwa"...
Huu ni hoja lako usisema hoja lako ni hali halisi. Hujaleta uthibitisho Al JAzeera wamebadilika, wapi badiliko wakiongea kuhusu ugomvi Palestina- Israeli?
Ila wakisema kitu ambacho wewe hupenda kumbe wasaliti!!?????
Kwa yale wanayotangaza kwa Kiswahili hakuna atakayeiangalia huko Ulaya, basi argument yako inakosa mantiki. Tena hujaonysha dalili yoyote kuhusu ukweli wake - isipokuwa: Huipendi.
 
Naam na kingine nilichogundua ndani ya haya haya mataifa ya kimagharibi ukiachilia mbali hizi Media kubwa ambazo ndo "weapons" haswa za "wababe" zipo ambazo ni unbiased kwa kiwango flan...

Ingawa utakuta si maarufu kiivo na zinapata changamoto ka media zingine zinazong'ang'ania ukweli na kupinga upotoshaji.

Mfano unaikumbika France 24? Imefungiwa teari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyingine ni kama AP na WSJ nao si haba kuna ile nyingine ya kituruki TRT japo Turkey n nato ila wanajtahd kutolalia upande... Mbali zaidi kuna ile moja pia ipo Israel "Jerusalem Post" n.k
Yes kuhusu France 24 Kwenye Azam decoder naona bado ipo. Nimejaribu kucheck naiona.
IMG_20220319_121503_890.jpg
IMG_20220319_121437_906.jpg
 
Mzee unazijua s-300 anayezitengeneza ni nani!? Unaijua end user license!? Nyie wakenye always your stupid.

Manufacturer wa hizo weapons ni Kalinin Machine-Building Plant.

Hebu jielimishe kwanza kisha uje kwenye thread hii. Jipige kufua na useme wakenya ni wajinga.
Kile hujui ni kwamba kuna Nchi nyingi za NATO ama EU ambazo wana battery za s-300 system. Hao ndo wameambiwa wadonate kwa Ukraine alafu baadae watapewa patriot Air-defense system ya USA. In short, Russia atapigika kwa silaha zake
 
Vita ni mbinu.

Russia yatuma ujumbe kwa Ukraine, NATO na Marekani.

1647682552529.png

Rubani wa ndege ya kivita ya Russia akikagua kombora la Kinzhal wakati wa majaribio hivi karibuni katika eneo lisilojulikana. Picha na Reuters.

Hayo makombora hufyatuliwa kutoka kwenye meli za kivita au kutoka kwenye ndege za kivita MiG-31K ambazo pia hubeba makombora ya nyuklia.

Makombora hayo yalitengenezwa kwa ajili ya kuteketeza meli za kivita za NATO na na mifumo yake ya kujilinda yaani "Air defence systems."

Kitendo cha Russia kutumia makombora hayo jana ni kujibu kitendo cha Marekani kuagiza vifaa vipya vya kisasa vya kuzuia makombora ya Russia lakini si haya ya Kh-47M2 Kinzhal ambayo Russia imesema yana uwezo wa kuvunja mifumo hiyo mipya ya Marekani.
 
Kile hujui ni kwamba kuna Nchi nyingi za NATO ama EU ambazo wana battery za s-300 system. Hao ndo wameambiwa wadonate kwa Ukraine alafu baadae watapewa patriot Air-defense system ya USA. In short, Russia atapigika kwa silaha zake
Nimekuambia ujipige kifua useme wakenya ni wajinga. Nakushauri hebu nenda tu kafanye kazi zako huko kibera. Unatuaibisha EA.

Wewe unafikiri kwanini USA haongelea machuma yake ya THAAD!?
 
Nakwambia tena jifunze geopolitics,USA haina military pact na Saudi Arabia kwa hio akivamiwa na Iran pamoja na Russia yeye hataingilia. USA inawasaidia kujenga jeshi ambalo linaweza jilinda vyema kutokana na adui zake pamoja nakupitisha intelligence.

Issue ya Saudi/UAE coalition kugoma kushika simu ni kwa sababu wanataka USA awasaidie katika vita vyao na houthi rebels pale yemen, so wanatumia hio issue kama bargaining power ili wapump mafuta mengi ndiposa bei ishuke.

Mwisho kabisa utakuwa unajitoa ufahamu kudhania Saudi Arabia itakubali alipwe pesa ya madafu kama Yuan ambayo haina matumizi dunian. Hio pesa haitapokewa na nchi yeyote duniani isipokua China na hapo atakuwa mtumwa wa Beijing.
Siasa ka Siasa huifaham kisha wajitia ujuaji kwenye siasa za kimataifa ambazo ziko influenced na geographical factors eenhe... We kweli "Ka bwana flan"...

You aren't worth my time kubishana utumbo tu apa... Zaidi nitakuingiza kwenye ignoring list.
 
Back
Top Bottom