Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marekani walishaivamia Cuba miaka ya 1950 kwa operation ya Bay of pigs na wakapata kichapo kitakatifu ambapo wengi walikufa na wengine waksahau boats zilizowaleta na wakawa wanaogelea Ili wafike Marekani..kilichowapata hao waogeleaji uchwara mpaka leo hakijjulikani...
 
Bwana mdogo raid Zelensky wa Ukraine keshaona maji yamezidi unga!! Alikuwa anavimbishwa kichwa na Marekani ambayo keshaona haina ubavu wa kuikabili Urusi kwa kuiwekea no fly zone. Sasa analilia mazungumzo ya haraka bila kuchelewa!!
Kwa nini mazungumzo ya haraka kama ni kweli ameielemea urusi kivita?
 
Warusi wa kwa mpalange wanapenda tu kusikia Ukraine imeshambuliwa, Sasa Russia kashambuliwa wamebaki kumbwelambwela tu.
 
Atulie dawa iingie,
Putina anabadili dozi tu kulingana na afya ya mgonjwa wake[emoji4]
IMG_20220319_015327.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Urusi Vladmir Putin amelalamikia kitendo cha mashambulizi ya kijeshi kilichofanywa na Ukraine kwenye ardhi ya Urusi mashariki.

Putin ameyasema haya wiki hii kwenye mazungumzo kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na kumwambia kwamba makombora yaliyorushwa na Ukraine yametua kwenye makazi ya Watu kwenye miji miwili ya Urusi na kusababisha vifo vya Raia.View attachment 2156876
Miji ya Ukraine iliyojitenga Acha upotoshaji hata Marekani hawezi kuthubutu kushambulia urusi yenyewe.
 
❗️In Germany, they are afraid of turning off heating in case of refusal of Russian gas

If the supply of natural gas from Russia is interrupted, and no new sources appear, this will lead to turning off the heating in the country next winter, the German economy minister said.

The German official is also concerned about the situation in the field of industry, which will also sag in the event of refusal from Russian gas.
 
Warusi wa kwa mpalange wanapenda tu kusikia Ukraine imeshambuliwa, Sasa Russia kashambuliwa wamebaki kumbwelambwela tu.
Urusi haijashambuliwa Acha utoposhaji.ukraine wameshambulia zile miji Yao iliyojitenga.
 
Tushike lipi Sasa

Huku ZELENSKY nasikia kaomba poo huku mkali wa hizi kazi putini analalamika KWELI vita n propaganda tofauti tunavyoaminishwa

Vita ya KWELI ilipiganwa na babu zetu huko kusini mwa tanzania

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu vita propaganda muhimu. Kwenye vita ya pili ya dunia marekani walikuwa na kikosi kinaitwa the ghost army.
Kilikuwa mission ya ni kutengeneza scenario za uongo ili kuwachanganya na kuwatisha maadui
 
Back
Top Bottom