Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanza USA haijapakana na Afghanistan lakini hawakupata logistical challenges kama mrusi anavyotaabika. Yani super anashindwa katika conventional warfare na jirani mdogo kama Ukraine. USA ikitaka kuvamia Cuba ndani ya wiki moja kutakuwa na dola mpya.
Na hivi vita havitaisha Mpaka mrusi aondoke Ukraine na hatapindua serikali ya zelensky
Kwa hiyo kisingizio ni mambo ya kupakana tena [emoji1787]

Unasema mrusi anataabika bila kuonesha anataabika vipi uweke na ushahidi.

USA sijui kuichukua cuba ndani ya wiki mara mrusi ataondoka ukraine mara vita havitaisha blah blah blah. Mara umekua mchambuzi ghafla umerukia utabiri. dude you are all over the place
JamiiForums1255703494.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa wameamua mpaka kutumia hypersonic missiles[emoji23][emoji23]halafu mashabiki zao humu ndani wanakwambia jamaa mpaka sasa anatumia silaha za zamani bado hajatoa mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kawaida mtengeneza silaha hua anatufata uwanja wakujaribu silaha yake kwenye uhalisia, hapo wapo kwenye utafiti kuona je kombora linaweza kuzuiwa, Uharibifu wake unatosha au uongezwe kukidhi viwango wanavyotaka na lengo hasa la silaha za Russia sio kuja kulipua Africa zimetengenezwa kwa ajili ya ku destroy West Europe na USA halikutengenezwa kwa ajili yako we msaka tonge wa Buseresere
 
Kwanza USA haijapakana na Afghanistan lakini hawakupata logistical challenges kama mrusi anavyotaabika. Yani super anashindwa katika conventional warfare na jirani mdogo kama Ukraine. USA ikitaka kuvamia Cuba ndani ya wiki moja kutakuwa na dola mpya.
Na hivi vita havitaisha Mpaka mrusi aondoke Ukraine na hatapindua serikali ya zelensky
Ni nini unajaribu kusema? Embu tuambie wewe ni nini ulitegemea russia kufanya tofauti na kile wanachokifanya kwa sasa.

Man, loser mpaka sasa ni Ukraine na Mpoki. Trust me. Nchi kubwa za viwango vya marekani na Russia huwa haziangalii gharama. Wqnaangalia Malengo. Wiki chache zijazo baada ya kingwendu kukimbilia kwa mabwana zake waliokataa kumpa msaada nchi itakaliwa kijeshi na russia. Utatafutwa uongozi ambao utakuwa unapokea maelekezo toka moscow. Itaanza operation nyingine ya kunyanganya watu silaha walizogawiwa na Mpoki kulinda nchi ambayo ameshindwa kuilinda kwa kukosa busara tu.
 
The West "fell off the chain" when it realized that the Russian operation in Ukraine had thwarted their "anti-Russia" project, Lavrov said at the opening of the final of the "International" track of the "Leaders of Russia" contest. He also stated that:

➖Russia will not put forward initiatives to improve relations with the West: let's see how they themselves will get out of the impasse into which they have driven themselves.

➖Zelensky's policy is difficult to take seriously: life proves what his word is worth.

➖It is felt that the United States "constantly holds the hand" of the Ukrainian delegation in negotiations with the Russian Federation.
 
Stop being fools man. Ushaambiwa hii si vita. This is special operation! Ingekuwa vita hali unayoiona kule ukraine ingekuwa mbaya sana. Operation itaisha tu pale mpoki atakapotoka mbio na kuiacha nchi bila uongozi. Na hili halina muda kutimia. Just a metter of tym.
Umebeba zero kichwani halafu unajifanya eti ni operation, kwanza unajua tofauti kati ya Vita na Operation?
 
🎦📷"We have gathered to say "no" to fascism!"

The participants of the action are now heading from Myasnikyan Square to the Russian Embassy in Armenia.

▪️The rally opened with the song "Sunny circle, the sky around", which was performed by Alla Hakobyan, head of the Women's Council of the "Strong Armenia with Russia - for a new union" movement. So she recalled how earlier melodies sounded from everywhere, on which the generation that won historical victories was brought up.

▪️Leader of the "Union of Constitutional Right" party Hayk Babukhanyan, speaking at the rally, said that Armenia must be a strong state, and this is possible only in alliance with Russia: We ourselves were victims of Nazism in our history. We must support our friends and allies in this fight."

▪️The head of the Alliance party, Tigran Urikhanyan, said that friendship with Russia should be honest and disinterested: "This is the foundation of relations between our countries. And it is these relations that will strengthen Armenia. Unfortunately, the fight against fascism is impossible without force."
 
Marekani lazima ubabe wake uishe naona nchi zimeamua sasa kumkazia.
Kuomba Meeting na Xi Jinping, Kusema kwamba Itaondoa vikwanzo mgogoro ukiisha, NATO kusitasita, USA kutaka kumtorosha Zelensky wakati operation Imeanza, Zelensky Kuisema vibaya USA na NATO Kwamba wanamuogopa Russia ni Pychologically Russia kawapiga.
 
Story za konyagi
 
Kwanza USA haijapakana na Afghanistan lakini hawakupata logistical challenges kama mrusi anavyotaabika. Yani super anashindwa katika conventional warfare na jirani mdogo kama Ukraine. USA ikitaka kuvamia Cuba ndani ya wiki moja kutakuwa na dola mpya.
Na hivi vita havitaisha Mpaka mrusi aondoke Ukraine na hatapindua serikali ya zelensky
Marekani walishaivamia Cuba miaka ya 1950 kwa operation ya Bay of pigs na wakapata kichapo kitakatifu ambapo wengi walikufa na wengine waksahau boats zilizowaleta na wakawa wanaogelea Ili wafike Marekani..kilichowapata hao waogeleaji uchwara mpaka leo hakijjulikani...
 
Kuomba Meeting na Xi Jinping, Kusema kwamba Itaondoa vikwanzo mgogoro ukiisha, NATO kusitasita, USA kutaka kumtorosha Zelensky wakati operation Imeanza, Zelensky Kuisema vibaya USA na NATO Kwamba wanamuogopa Russia ni Pychologically Russia kawapiga.
Vyombo vya habari vya kimagharibi bado vinatumia mbinu zile zile za zamani. Yaani bullying style. Yaani wanafanya mambo ya kizamani sana. Wanafungia media ili wao wasikilizwe.

Kwa kifupi huko ulaya zipo nchi hazipendi kabisa haya yaendelee, lakini kwakuwa walishawekwa mfukoni na USA wanafuata amri.
 
Russia has no selfish interest in interfering with the lifting of the oil embargo on Iran - Lavrov

“We never betray our friends in politics. Venezuela is our friend, Iran is a very close state to us. Secondly, we don’t cheat. Americans cheat. with the regime in Caracas - as they called it - God bless Iran, let's restore this program as soon as possible, if only we can punish the Russians now," Lavrov said at a meeting with participants in the "Leaders of Russia" contest.
 
There will be no collapse of the Russian economy due to sanctions - Medvedev.

▪️Russia, China, the CIS, Southeast Asia and Africa are a huge sales market.

"And the West without him is tiny islands in a boundless ocean, not a golden billion."

▪️Citizens of the US and the EU will "soon present" their leadership with a "bill" for the anti-Russian sanctions that hit their wallets.

▪️Companies from all over the world want to return to Russia, but are afraid of retaliatory measures.

▪️No one wants to lose the Russian sales market - there are "not only propagandists, but also pragmatists" in the West.

▪️"Who is isolating whom and now is a big question."
 
Back
Top Bottom