Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Fast-food chain with similar branding to 'replace McDonald's in Russia'

Picha na ofisi ya hakimiliki ya Russia - Russia Intellectual Property Office.

Russia imepata toleo jipya mbadala wa McDonalds.

Migahawa yote 847 ya MacDonalds nchini humo imechukuliwa na warusi na waendeleza biashara.

Alama hiyo mpya yatiwa Uncle Vanya na itamilikiwa na kampuni ya Russkoye Poyle Logistik.

New World Order yaendelea.
 
Wengine mkae tu kimya mbakie kushabikia upuuzi wenu wa simba na yanga......unge jua madhara ya kuharakisha kuteka mji wenye wakazi zaidi ya 3m maafa kiasi gani yangetokea? kwanza wanao jua vita akiwemo Joe Biden wemekubali mbinu zake urusi za encircling mji kwanza hilo jiji la Mariupo ni kubwa kuliko Dar es salam yetu kama ameweza kuuteka kwa vifo visio zidi 5000 ni Big up kubwa kwa Mrusi.
Hauna mamlaka ya kumpangia mtu cha kupost humu. Eti madhara,hayo mashara hamkuyajua mwanzoni mnaanza vita na mkajitamba kuwa ndani ya siku tatu mtakuwa mshaangusha utawala wa Kyiv? Leo mambo yamekuwa magumu mnaanza kuleta visingizio vya kindezi.
 
Russia wazee wa siege, navyoona mimi kuna vikosi nje ya kiev.
Kuzuia kiev isitoe msaada kwa miji mingine.
Wakati wakiizunguka hii miji mingine na kuichukua taratibu.
Wao hata Operation ikichukua miezi nadhani ni sawa kwao na ndio mpango wao.
Eti hata operation ikichukua miezi kadhaa hakuna shida,hizo gharama atawezaje kuzilipa na huku ana vikwazo.
 
Eti hata operation ikichukua miezi kadhaa hakuna shida,hizo gharama atawezaje kuzilipa na huku ana vikwazo.
Hapa tunaleta updates wewe umekuja kuchamba watu. Kwanini usiende kwenye thread husika!? Kama kichwa chako ni kidogo, zipo thread zinazokufaa. Thread hii ipo juu ya uwezo wako.
 
Hauna mamlaka ya kumpangia mtu cha kupost humu. Eti madhara,hayo mashara hamkuyajua mwanzoni mnaanza vita na mkajitamba kuwa ndani ya siku tatu mtakuwa mshaangusha utawala wa Kyiv? Leo mambo yamekuwa magumu mnaanza kuleta visingizio vya kindezi.
Stop being fools man. Ushaambiwa hii si vita. This is special operation! Ingekuwa vita hali unayoiona kule ukraine ingekuwa mbaya sana. Operation itaisha tu pale mpoki atakapotoka mbio na kuiacha nchi bila uongozi. Na hili halina muda kutimia. Just a metter of tym.
 
Sasa km USA alichukua miezi miwili kuvimaliza ajabu ni nini wakati Russia ndio kwanza ana mwezi

Au unataka kusema Russia ni super power kuzidi marekani? Eleweka

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwanza USA haijapakana na Afghanistan lakini hawakupata logistical challenges kama mrusi anavyotaabika. Yani super anashindwa katika conventional warfare na jirani mdogo kama Ukraine. USA ikitaka kuvamia Cuba ndani ya wiki moja kutakuwa na dola mpya.
Na hivi vita havitaisha Mpaka mrusi aondoke Ukraine na hatapindua serikali ya zelensky
 
Ulitaka waendelee kutumia nguvu ndogo huku Ukraine na nchi za NATO wakitumia nguvu kubwa? Desperate move?! How?! Hiyo ni lugha ya BBC, Aljezeera na Sky News na pia CNN...duh..
Hii ndio maana hasa ya unafiki


Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom