Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Washington and Kyiv want to drag Germany into World War III, says Jürgen Elsesser, editor-in-chief of the German magazine Compact.

The “arsonists” ruling Ukraine are ready to drag the whole world with them into the abyss in order to save their regime, he writes:

“It is in the interests of Germany to maintain peace with Moscow - after all, even in the most frosty years of the Cold War, Moscow remained a reliable supplier of cheap oil and gas!

And what did Ukraine supply us with? Nothing. They always wanted only money from us - and now they also want weapons and soldiers ... To die for Kyiv? No thanks".

The journalist is convinced that only neutrality will allow the Germans to survive, so he announced the free distribution of T-shirts with the inscription "Yankees, go home!" when buying any product in the online store of the publication.
Galip SV Liwagu
20220319_074806.png
 
Lukashenka in an interview to the Japanese TV channel TBS about Putin:

“He, as we often say, is more alive than all the living. He will catch a cold many times at all our funerals.

This is a completely sane, healthy person, physically healthy. He is a sportsman. All these talks in order to undermine confidence in the president himself inside Russia. Will not work".
Galip SV Liwagu
20220319_074806.png
 
“Ni muda wa kukutana na Russia, ni muda wa Kuzungumza, ni muda wa kumaliza Vita na kurejesha hali ilivyokuwa kama awali, hali ya amani” Volodymyr Zelenskyy, Rais wa Ukraine.
View attachment 2156544​
Yeye aendelee kuomba silaha, si mbishi? Rais kama huyu hapaswi kuchaguliwa tena, ujasiri wa kipumbavu haufai.
 
Huyu urusi mpuuzi sana kumbe Ana silaha za namna hii na amwambii NATO na washirika wake anataka zitumia tu ionekane marekani msaada alio peleka ni bure daaah sijapenda hii
Ni mbinu za kivita.

Haya makombora Russia iliyatengeneza kati ya 2015 na 2018 na yasemwa yalitumika kuivunja Aleppo kule Syiria mwaka 2016.

Magaidi wa ISIS walikuwa wakijificha chini kwa chini lakini haya makombora hupenya hadi huko chini ya handaki.

Silaha nyingi za Ukraine zimefichwa kwenye mahandaki au Bunkers na Russia ameamua kutumia silaha hizo kwanza kuteketeza silaha hizo na mabohari yote.

Makombora ya Kinzhal yakifyatuliwa huruka kwa kasi zaidi ya mara kumi ya sauti ya kawaida yaani March 10 speeds (10 times the speed of sound) na husafiri zaidi ya maili 1250.

Kombora hili hubeba silaha ya kawaida na pia kichwa chake (warhead) kina uwezo wa kubeba bomu ya nyuklia.

Hiyo ndo habari ya makombora haya mapya ya Kinzhal hypersonic cruise missile.
 
Urusi hamna kitu mwezi karibia mzima ka nchi kama Ukraine kanawasumbua hivo siku athubutu kumchokoza muisraeli aone!
 
Urusi hamna kitu mwezi karibia mzima ka nchi kama Ukraine kanawasumbua hivo siku athubutu kumchokoza muisraeli aone!
Wengine mkae tu kimya mbakie kushabikia upuuzi wenu wa simba na yanga......unge jua madhara ya kuharakisha kuteka mji wenye wakazi zaidi ya 3m maafa kiasi gani yangetokea? kwanza wanao jua vita akiwemo Joe Biden wemekubali mbinu zake urusi za encircling mji kwanza hilo jiji la Mariupo ni kubwa kuliko Dar es salam yetu kama ameweza kuuteka kwa vifo visio zidi 5000 ni Big up kubwa kwa Mrusi.
 
Nashangaa huko Afghanistan wa Taliban wanawakimbiza USA sasa hivi miaka zaidi ya 10.
Na juzi UN imepitisha azimio la kuitambua serikali ya Taliban na kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia.

Hii ni New World Order yajongea taratibu mpaka kitapoeleweka.

Kwa lugha ingine ya kidiplomasia twasema hii ni "shifting or movement of tectonic plates of continents in diplomatic relations".
 
[emoji1145][emoji3165]The authorities of Latvia decided to explain to the inhabitants of the country the advantages of life without sanctioned salt.

Andris Skride, head of the Saeima Labor Commission, said that consuming a lot of salt is actually harmful, and 3.2 million people die from it every year in the world.

Therefore, according to him, it is time for the inhabitants of Latvia to eat less salty, or completely switch to a salt-free diet.

[emoji419]Earlier, there was a shortage of salt in Latvian stores due to the cessation of supplies from Belarus and Russia.
Sizitaki mbichi hizi
 
Wengine mkae tu kimya mbakia kushabikia upuuzi wenu wa simba na yanga......unge jua madhara ya kuharakisha kiteka mji wenye wakazi zaidi ya 3m maafa kiasi gani yangetokea, kwanza wanao jua vita akiwemo Joe Biden wemekubali mbinu zake urusi za encircling mji, hilo jiji la Mariupo ni kubwa kuliko Dar es salam yetu kama ameweza kuutaka kwa vifo visio zidi 5000 ni Big up kubwa kwa Mrusi.
Russia aihitaji Mariupol ili aweze kuweka njia ya kutoka Bahari nyeusi kupitia Crimea hadi Kyiv kumaliza kazi.

Wataka kuhakikisha vikosi vya majini (amphibious) vitaendesha operesheni bila kuzuiwa na kuiteka kiukamilifu miji ya Mariupol na Odesa.

Mji wa Kherson tayari upo chini ya Russia.
 
Back
Top Bottom