Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unadhani NATO wanatoa silaha ilimradi wanazo. Silaha kama NLAW anti tank wanatoa kwa kuwa mwanajeshi anaweza fundishwa kwa lisaa pekee akajua kuitumia. Silaha nyingine ngumu kufundishika zinatolewa zile ambazo Ukraine wanajua kuzitumia. Ndio maana walitaka wapewe Mig-29 ambazo wanazijua na bado Russia inazo, Poland angetoa Mig-29 then akapewa F-16 ambazo nazo anazo.

S-300 kuna operators wengine Ulaya wanazo inaweza tokea wakazipeleka Ukraine kisha wakapewa systems nyingine kama MIM Patriot. Huwezi poteza muda kufanya training ya zaidi ya miezi na kufanya logistics support kwenye system mpya wakati vita inaendelea.
Almaz Antey ndio mabingwa wa air defence system kwa Russia
Slovakia anapewa Patriot anatoa S300
 
Jamaa wameamua mpaka kutumia hypersonic missiles[emoji23][emoji23]halafu mashabiki zao humu ndani wanakwambia jamaa mpaka sasa anatumia silaha za zamani bado hajatoa mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vita imekuwa ngumu sana kwa pande zote
 
IMG_20220319_161020_542.jpg
IMG_20220319_161020_387.jpg
The consequences of the night shelling of Melitopol.

The Armed Forces of Ukraine fired three Tochka-U missiles in the direction of the city, all three were intercepted in the air by the air defense of the Russian Armed Forces, but at least one carried cluster munitions.

The fragments of this rocket, as well as the surviving cassettes, fell on these two houses, which subsequently burned down.

Both houses were inhabited by families with children who, fortunately, managed to run out before the houses burned down.

And this is no longer Donbass, Kyiv is now firing ballistic missiles at its own cities
Galip SV Liwagu
IMG_20220319_161020_223.jpg
IMG_20220319_161020_283.jpg

 
Vyombo vya habari vya kimagharibi bado vinatumia mbinu zile zile za zamani. Yaani bullying style. Yaani wanafanya mambo ya kizamani sana. Wanafungia media ili wao wasikilizwe.

Kwa kifupi huko ulaya zipo nchi hazipendi kabisa haya yaendelee, lakini kwakuwa walishawekwa mfukoni na USA wanafuata amri.
kila mtu Ulya anaweza kusikiliza media zote za Urusi. Ila tu nchi au makampuni walifungia satelaiti zao wenyewe ili Warusi walipe kwa propaganda, wasilipiwe na wengine. Satelaiti za Kirusi ziko hakuna anayezuia satelaiti zao kurusha. Hakuna mwananchi anayetishiwa adhabu kuangalia, kusikiliza au kunukuu habari hizi.
r
 
NATO go home.

In Bulgaria, a rally is taking place near the building of the country's Ministry of Defense.

People came with Russian flags and posters "Yankee, come home!". They oppose military support for Ukraine.
Galip SV Liwagu
View attachment 2156578
NATO Sasa kuvunjwa,hivi karibuni.
Huenda maandamano haya yakasambaa ulaya nzima.
 

Canada says it has ‘exhausted’ its stock of weapons​

The country has sent thousands of rocket launchers, grenades, and kit to assist Ukraine amid its conflict with Russia

Ottawa had been among Western capitals that have provided Kiev with so-called “lethal aid.” It has so far sent or is in the process of sending 4,500 rocket launchers, 7,500 hand grenades, 100 anti-tank launchers with 2,000 rounds, two C-130J tactical aircraft, and various other pieces of kit from Canada.
 


Russian Inokhodets drones 'destroy Ukrainian military targets'​




Russian "Predator-Drone" destroy 4 Ukrainian military vehicles

A high-precision Drone missile strike 'eliminates a sabotage and reconnaissance unit of the Armed Forces of Ukraine that
has been carrying out search and reconnaissance on four US military cross-country vehicles.'
The Russian Defence Ministry said: "After the strike with precision missile weaponry, the group was destroyed."

Aisee,Kuna watu humu walisema Russia Hana drone,hajawahi kutengeneza drone na hivyo kaomba msaada wa drone kwa Uchina
Huyu mtu kama sukosei ni Frank wanjiru ama T 14 Amata
Simkumbuki vizuri.
Aisee Russia sio ya kitoto.
 

Canada says it has ‘exhausted’ its stock of weapons​

The country has sent thousands of rocket launchers, grenades, and kit to assist Ukraine amid its conflict with Russia

Ottawa had been among Western capitals that have provided Kiev with so-called “lethal aid.” It has so far sent or is in the process of sending 4,500 rocket launchers, 7,500 hand grenades, 100 anti-tank launchers with 2,000 rounds, two C-130J tactical aircraft, and various other pieces of kit from Canada.
Waendeleee tu kutuma, Wala sio kazi kutuma siraha, watume zote tu.
 
🇺🇸🇺🇦The modification of "Azov" * in the eyes of the journalists of "The New York Times".

▪️2015: "open neo-Nazis".

▪️2022: "far right".

We assume that soon they will be called simply "rightists", and then even "patriots".

* extremist organization, banned in the Russian Federation.

Source: @surf_noise

IMG_20220319_163952_420.jpg
 
Back
Top Bottom