Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji779]️United States considers disconnecting Russia from GPS - Rogozin

This would not impact Russia much, however, as the country has its own analog to GPS - the GLONASS system, the Roscosmos head said, adding that any smartphone in use in Russia is already connected to GLONASS.

Hii ndo raha ya nchi kama hzi zinazojiweza ndomana vikwazo kwao wanaona sio kitu unazima wao wanainstall yao kazi inaendelea ingekua africa tushanywea muda.
 
Russia yasema jana ijumaa ilitumia yale makomombora mapya ya haipasoniki (hypersonic kinzhal missiles) nchini Ukraine kushambulia na kuangamiza bohari kubwa ya kuhifadhia mizinga na silaha nyinginezo iliyojengwa chini ya ardhi ktk mkoa wa Ivano-Frankivsk.

Msemaji wa jeshi la anga wa Ukraine alithibitisha kuwa makombora ya Russia yalishambulia kwenye mkoa wa Ivano-Frankivsk jana Ijumaa pasi na kutoa ufafanuzi zaidi

SmartSelect_20220319-172201_Chrome.jpg
 
Shambulio la ndege za russia kwenye kituo cha kupokelea mamluki cha ukraine,karibu na mpaka wa poland,lilikuwa pigo baya sana kwa nchi za magharibi na limewachanganya sana.
Wanajaribu kuficha ukweli wa madhara yaliyotokea,lakini walionusurika ndo wanatoboa siri baada ya kufika kwao,soma screen shorts hapa chini.
IMG_20220319_173407.jpg
IMG_20220319_173526.jpg
IMG_20220319_173444.jpg
 
Waziri Mkuu wa Poland Mateus Morawiecki ameutaka Umoja wa Ulaya kuweka marufuku ya biashara na Urusi.

Morawiecki anasema anataka "kuzuia biashara" baharini na nchi kavu "haraka iwezekanavyo", shirika la habari la Reuters linaripoti.

"Kukatiza kikamilifu biashara ya Urusi kungeilazimisha zaidi Urusi kufikiria ikiwa itakuwa bora kusitisha vita hivi vya kikatili," anasema.

EU tayari imeweka vikwazo vya kibiashara kwa Urusi katika baadhi ya sekta muhimu, ikiwa ni pamoja na bidhaa za anasa, chuma na nishati.

Lakini Poland - ambayo inashiriki mpaka wa kilomita 535 na Ukraine - imekuwa miongoni mwa wale wanaoshinikiza kuwekewa vikwazo vikali zaidi dhidi ya Urusi.
20220319_074806.png
 
🤝 UN cooperates with Russian Defense Ministry to deliver humanitarian aid in Ukraine

The United Nations Office for the Coordination of Humanitarian Affairs (OCHA) is collaborating with the authorities in Russia and Ukraine to deliver humanitarian aid to people affected by the conflict, the UN information center in Moscow told Sputnik.

"Following close discussions between OCHA and the Ministries of defense and foreign affairs in Moscow in parallel to similar contacts in the Ukraine, the first humanitarian convoy was successfully launched today to [the northeastern Ukrainian city of] Sumy delivering over 100 metric tons of life-saving assistance for the affected population there," the center said.
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov, anasema mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine yanaingiliwa kati na Marekani.

"Ninahisi kuwa wajumbe wa Ukraine wanazuiwa, kuna uwezekano mkubwa Wamarekani wanawazuia kuruhusu kukubaliana na matakwa ambayo nadhani ni madogo kabisa," alisema,
20220319_074806.png
kulingana na shirika la habari la Urusi la Interfax.
Bw Lavrov hakutoa ushahidi wowote wa wazo hilo kwamba Marekani inaathiri msimamo wa Kyiv, na wala Marekani na Ukraine hazijapendekeza kuwa hivyo.

Katika hotuba yake ya hivi karibuni, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alitoa wito wa kuwa na mazungumzo ya maana kuhusu amani. "Ni wakati wa kukutana. Wakati wa kuzungumza," alisema, akitaka mazungumzo ya moja kwa moja na Vladimir Putin.​
 
Waziri Mkuu wa Poland Mateus Morawiecki ameutaka Umoja wa Ulaya kuweka marufuku ya biashara na Urusi.

Morawiecki anasema anataka "kuzuia biashara" baharini na nchi kavu "haraka iwezekanavyo", shirika la habari la Reuters linaripoti.

"Kukatiza kikamilifu biashara ya Urusi kungeilazimisha zaidi Urusi kufikiria ikiwa itakuwa bora kusitisha vita hivi vya kikatili," anasema.

EU tayari imeweka vikwazo vya kibiashara kwa Urusi katika baadhi ya sekta muhimu, ikiwa ni pamoja na bidhaa za anasa, chuma na nishati.

Lakini Poland - ambayo inashiriki mpaka wa kilomita 535 na Ukraine - imekuwa miongoni mwa wale wanaoshinikiza kuwekewa vikwazo vikali zaidi dhidi ya Urusi.View attachment 2156944

Wanajisumbua haha
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov, anasema mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine yanaingiliwa kati na Marekani.

"Ninahisi kuwa wajumbe wa Ukraine wanazuiwa, kuna uwezekano mkubwa Wamarekani wanawazuia kuruhusu kukubaliana na matakwa ambayo nadhani ni madogo kabisa," alisema,View attachment 2156947 kulingana na shirika la habari la Urusi la Interfax.
Bw Lavrov hakutoa ushahidi wowote wa wazo hilo kwamba Marekani inaathiri msimamo wa Kyiv, na wala Marekani na Ukraine hazijapendekeza kuwa hivyo.

Katika hotuba yake ya hivi karibuni, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alitoa wito wa kuwa na mazungumzo ya maana kuhusu amani. "Ni wakati wa kukutana. Wakati wa kuzungumza," alisema, akitaka mazungumzo ya moja kwa moja na Vladimir Putin.​
Ili iweje?
 
Ninakubaliana na Ali Farag

"KAMA UKRAINE INAZUNGUMZIKA, NA PALESTINA PIA INAWEZA KUZUNGUMZIKA"

19/03/2022

Binafsi kama mpenda amani na mwanaharakati wa kuenzi utu wa mwanadamu popote pale duniani, nimefarijika sana na kauli ya mwanamichezo wa Misri, Ali Farag mwenye asili ya Misri kuhusu kuzungumzia ukandimizaji unao wakumba kila kukicha wananchi wa Palestina,

Hoja ya marufuku ya siasa michezoni ilionekana kufanya kazi kila muda na uchwao pale suala la ukandamizaji wa wananchi wa Palestina lilipoibuka na kuzungumzwa katika michezo,

Mualgeria Judoka Fehi Nourin katika michezo ya Olimpiki iliyofanyika Tokyo(Japan) 2020, alikataa mchezo utakaomkutanisha na mwanamichezo kutoka Israel ambapo aliambulia adhabu ya kufungiwa miaka 10 kushiriki michezo ya olimpiki yeye na kocha wake,

Aliyekuwa kepten wa timu ya taifa ya Misri Mohammed Aboutrika alipewa onyo na shirikisho la Mpira Afrika (CAF) kwa kuvaa jenzi yenye maandishi yaliyosomeka "Sympathize with Gaza" ambayo yanatafsirika kama "Huruma kwa Gaza/Ihurumie Gaza"

Lakini kwanini leo hii hoja ya marufuku ya siasa michezoni iwe imewekwa kando kuzungumzia mambo ya Ukraine? Kama ni ruhusa kuzungumzia yanayoisibu Ukraine michezoni, basi na kuzungumzia ukandamizaji wanaofanyiwa watu wa Palestina pia inawezakana,

Kumekuwa na ukiritimba wa vyomba vya habari vya kimagharibi kama CNN na BBC kuonesha picha kwamba suala Ukraine ni la dunia nzima, kwamba kuna hitajika nguvu ya dunia nzima kuisaidia Ukraine, huku suala la Palestina likiwa ni la wa Palestina wenyewe. Kama suala la Ukraine ni la ulimwengu mzima, basi hata la Palestina nalo linahitaji nguvu ya ulimwengu mzima.

Huruma hii inayotengenezwa juu ya Ukraine hakika ni ya kushangaza! Dunia iko wapi wakati vikosi vya walowezi wa Ki Israel wakiwakandamiza watoto na kina mama wa Palestine kila siku, mawio na machweo?

Huruma inayotafutwa na kutengenezwa juu ya Ukraine haitaisaidia Ukraine kama masuala mama katika ulimwengu wa haki za binaadam kama suala la Palestina halitopewa kipaumbele inachostahiki.

@Syn_krest'yanina
Email: [email protected]
Simu: +255777158131

FB_IMG_16472562129989207.jpg
 
Back
Top Bottom