Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vyombo vya habari vya kimagharibi bado vinatumia mbinu zile zile za zamani. Yaani bullying style. Yaani wanafanya mambo ya kizamani sana. Wanafungia media ili wao wasikilizwe.

Kwa kifupi huko ulaya zipo nchi hazipendi kabisa haya yaendelee, lakini kwakuwa walishawekwa mfukoni na USA wanafuata amri.
20220319_181248.jpg
 
Warusi wa kwa mpalange wanapenda tu kusikia Ukraine imeshambuliwa, Sasa Russia kashambuliwa wamebaki kumbwelambwela tu.
Mkuu hiyo habari hujaielewa vizuri ,Eneo lililo shambuliwa ni Eneo lake mwenyewe Ukrein (donetsk and luhansk).
Sasa jamaa anadai ni Eneo lake na anasema alicho fanya Ukrein huyo ni ugalifu wa kivita.
 
Warusi wa kwa mpalange wanapenda tu kusikia Ukraine imeshambuliwa, Sasa Russia kashambuliwa wamebaki kumbwelambwela tu.
Acha upotishaji Ukraine haina uwezo wa kufanya mashambulizi ndani ya Urusi kwa sababu maeneo ambayo angeyatumia yote yame tekwa na Urusi.

Putin alicho kuwa ana lalamikia ni kwamba Ukraine imekuwa ikifanya mashambulizi kwenye miji ya Ukraine iliyo jitangazia uhuru na kuuwa raia lakini nchi za magharibi zina jifanya hazioni alafu wana isingizia Urusi.



Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
China urges U.S. to stop violating human rights of Venezuelan people

China on Friday urged the United States to stop human rights violations against the Venezuelan people, saying the U.S.'s unilateral coercive measures have caused great damage to innocent people.

Speaking at the 49th Session of the UN Human Rights Council in Geneva, Minister Jiang Duan of the Chinese Mission said China appreciates the Venezuelan government's efforts and achievements in promoting and protecting human rights, and respects the path of human rights development independently chosen by the Venezuelan people. He stressed that human rights should not be used as a political tool for interference in others' internal affairs or even regime change.
 
Nilishasemaga humu ndani Russia anateknolojia ambayo anaweza tuma missile na lisionekane kwa rada kuna watu walibisha sana humu ndani.

Russia alituma kombora kule mpakan kwa majeshi ya NATO nikajiuliza hawa NATO wamepigwaje?inamaana hakukuwa na rada wala airdefense? Hapana zilikuwepo nyingi tu ila kombora lilipenya.

Tulishuhudia wenyew media za west walisema kombora halikuonekana kwenye rada zao coz NATO hawezi kupeleka jeshi lake bila kuwepo na security ya kutosha.

Kinzhal unaambiwa ilikua special kwa ajil ya NATO jiulize hawa jamaa nyuma wana silaha ngapi nzito na za maajabu hawajataka kushare na sisi??

Usifikir NATO ni wajinga kutoingia Ukraine ni wanajua Russia angewamaliza kweupe kabisa.


Kuna kitu kinampa kiburi Mrussi huenda huyu jamaa anateknolojia ya kuzuia nyuklia na lisilete madhara kanyamaza kimya anawasubiria[emoji28]

Kuna boya huko anakuja anakwambia Russia hamna kitu ni dhaifu aiseee. Russia anaupiga mwingi sana, heshima lazma irudi nawaambia

Alichofanya Russia anawaambia NATO nina missiles ambazo hamuwezi kuziona kwa rada zenu shenzi zenu mazafakaz hio ni msg tosha.

Ila nyie Russia ni mbabe kazinyamazisha nchi 30 sahv mpaka vikwazo wameishiwa wameanza story za kuomba jamaa apunguze moto fakenii[emoji28][emoji28]
Hilo kombora alituma kwenye Nchi ipi ya NATO?
 
In case unajiuliza kwanini magari ya kijeshi mengine yana matairi, ukiyapiga risasi unayazuia kutembea kwenye field. Ni kwamba zile tracks kama za vifaru ni ngumu sana kuzibadilisha na inahitaji watu wengi na vifaa. Tairi linabadilishwa hata bila vifaa vizito wala halitumii muda mwingi na watu.

Tracks zina mobility kubwa hazikwami kirahisi ila hazitoi speed kubwa. Ndio maana magari ya patrol na supply yote yana matairi ila magari ya kupigana yana tracks
20220312_003450.jpg
20220318_234329.jpg
 
[emoji635][emoji1255] Footage of one of the clashes. Video from the Ukrainian side.



Huyu nae ni dume, ali'pretend ka mwanamke amekatwa mpakani akiwa anatoroka...Binafs naona bora huyu kuliko yule jamaa anashinda ofisini kujinsnap uku anawapa Raia silaha wanakufa ovyo...

View attachment 2157049

[emoji1255] A conscripted Ukrainian disguised as a woman was detained at a border crossing on the border with Romania.

View attachment 2157050

Kwingineko ni kuhusu huyu mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anazeeka vibaya.



Zaidi za chini chini inasemekana huyu jamaa katoroka hayupo nchin kwake na video zake za karibuni zikionekama ni za "Special Effects nyuma ya Green Screen"...

[emoji1255] Zelensky again performed infront of a green screen



Recall that the official authorities of Ukraine continue to assert that he is on the territory of the country. However, if he was still in the capital, then it would be pointless to resort to such an installation.
 
Back
Top Bottom