Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Urusi alipeleka lini binadamu mwezini?!Hujui kitu kumbe urusi ndo ya kwanza
Urusi alipeleka lini binadamu mwezini?!Hujui kitu kumbe urusi ndo ya kwanza
Mrusi kaenda mwezini, Mmarekani kaenda mwezini, Watanganyika wanabishana ni nani alitangulia, hata namna ya kuthibitisha usahihi hakuna maana tegemeo ni vyombo vyao hao hao walioenda mwezini😃. Tupo nyuma sana. Wakiungana hawa watu weupe wawe kitu kimoja kwa maslahi yao kwenye hii dunia sijui itakuaje kwa vijana wetu.Hapo ndio utajua vitu vingi duniani tunatengenezewa na kulishwa kulingana na matakwa yao.
Ndio maana tunatamani Urussi ashinde hii vita ili kubalance nguvu ya Dunia.
Coward Zelensky[emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]Atulie dawa iingie,
Putina anabadili dozi tu kulingana na afya ya mgonjwa wake[emoji4]View attachment 2156968
Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi ilifanya nini kwa wale watu walioandama kupinga Urusi kuivamia Ukraine ?
Kuishi upande wa Dunia ambao umekuwa influenced na West.
Hivi mbona hueleweki?? Una akili kweli huko kichwani??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Doh we jamaa
Unataka impact ya cruise missile ifikie impacts za tactical ballistic missiles,dumb bombs, artillery shells zinarushwa na Russia tena kwenye makazi ya watu?!Doh
Huyo Russia si ndo alikua anapiga mabomu na kuangusha majumba Kama anavyofanya Leo kule Ukraine kuwapiga haohao Isis lakn mpaka Leo wapo.
Daaah........USA ndo nchi ya Kwanza kupeleka binadamu mwezini.
Ina maana ulikua hujui Kama Russia na USA wote walikua wanaipiga ISIS huko Syria au unajitoa akili Mkuu?!Hivi mbona hueleweki?? Una akili kweli huko kichwani??
Hapo juu unasema US alikuwa na operation ya kuipiga ISS, sasahivi unasema Russia alikuwa anapambana na ISS. Kwahiyo Russia na US walishirikiana dhidi ya ISS au??
Hahahaha we jamaa mbona hueleweki??
Da safi sana marafiki zangu wa ChechenDuring a special operation, Chechen fighters recaptured another well-fortified Bandera base and freed a group of civilians.
The Nationalists kept the population without food and water. Ramzan
View attachment 2157136
Kadyrov published footage of how military personnel are taking people - mostly children and the elderly - on special equipment.
“It was nice to hear words of gratitude from civilians for the assistance provided, salvation and the warm attitude of our soldiers. And most importantly, people felt how worthy the Chechen liberators were brought up,” Kadyrov said.
Team Putin tunasema hatuhitaji mazungumzo na yeye[emoji4]HahahahahhhhhCoward Zelensky[emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]