Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duh kweli ndugu yangu we mweupe sana. NI lini Marekani alitangaza yupo vitani na Syria zaidi ya kufanya operations za kuangamiza ISIS?! Aliiadhibu Syria kwa Cruise missiles baada ya kutumia chemical weapons.
Hahahahaha aisee..

Kwahiyo kwa US ilikuwa operation ila Russia hamtaki iwe operation??

Kwahiyo ISS ni kina nani? Amewamaliza hao ISS? Impact ya zile Tomahawk zaidi ya 50 haifikii Impact ya missile moja tu iliyoshushwa jana Ukraine. Huoni ni aibu hiyo??

Jana Assad alikuwa kwa maswaiba zenu wa zamani UAE. Pole pole mnaanza poteza ushawishi. India nae ametangaza kununua mafuta ya Russia. India ana uchumi mkubwa kuliko nchi zote za Ulaya
 
Wanajeshi wa kujitoelea (volunteers), wakiwemo na wanajehshi wa kukodi (mercineries) wanao miminika kutoka kila pande za dunia kwenda Ukraine kumsaidia Zelensky wamejikuta katika wakati mgumu baada kufika nchini humo ambapo ndio wanapofanyiwa usajili wa mwisho, ikiwa ni pamoja na kusaini mikataba kabla hawajaingia vitani.

Wanajeshi hao wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu baada kutakiwa kusaini mkataba unaowafunga kwa sheria za kijeshi, na kuwalazimisha kupigana kwa muda usiojulikana, na kwa fidia ya dola za kimarekani 230 (sawa na shilingi laki tano na elfu thelathini hivi za kitanzania) tu kwa mwezi, na mafunzo ya siku tano.

Mbaya zaidi, mkataba huo unawataka pindi waingia vitani wakae mstari wa mbele (front line), yaani wawe chambo.

Mmoja wa wanajeshi hao kutoka nchini Uingereza (Priday) ambaye ni mwalimu by professional, anasema ukweli wa mambo waliyoyakuta ni tofauti kabisa na kile walichokuwa wakikikisikia na kuaminishwa.

Jambo ambalo lilipelekea jamaa huyo kuanza kuwashawishi wanajeshi wenzake wa kujitoelea ambao hawakuwa na uzoefu wowote wa kijeshi kusepa na kurudi walikotoka.

Inasemakana Priday hakumaliza hata masaa zaidi ya kumi nchini Ukraine, kwani muda wake wa huduma ulidumu kwa takribani masaa tisa tu!.



Source: RT news
images%20(6).jpeg
images%20(17).jpeg
 
Ona hiyo kura ya maoni ya 2021 KABLA YA UVAMIZI WA PILI WA UKRAINE. Inaoneysha jinsi gani ukosoaji wa Urusi ulipanuka baada ya uvamizi wa kwanza wa mwaka 2014 (Crimea na Luhansk/Donetsk)

Russian Leadership Disapproval in Eastern European NATO Countries, 2013 vs. 2021 **
Do you approve or disapprove of the job performance of the leadership of Russia?(kabla ya uvamizi wa 2014)Baada ya uvamizi wa 2014
Disapprove - 2013Disapprove - 2021Change
%%pct. pts.
Albania
20​
49​
29​
Poland
51​
79​
28​
Hungary
18​
39​
21​
Bulgaria
12​
33​
21​
Slovakia
34​
51​
17​
Croatia
31​
43​
12​
Latvia
38​
49​
11​
Estonia
46​
56​
10​
Romania
27​
37​
10​
Czech Republic
45​
53​
8​
Lithuania
42​
44​
2​
North Macedonia
29​
30​
1​
Slovenia
60​
56​
-4​
Montenegro
31​
*-
*Data not available **Among countries that joined NATO in 1997 or later
Gallup
Disapproval of Russia's leadership is highest in Poland, where 79% of adults disapproved in 2021. That level of disapproval is 28 points higher than it was in 2013 before the annexation of Crimea.


Current levels of disapproval are also particularly high in two of the three Baltic states, Estonia at 56% and Latvia at 49%. Disapproval in both countries is 10 and 11 points higher than in 2013, respectively. Estonia and Latvia -- and Lithuania -- have sent weapons to Ukraine to support the country against a potential Russian invasion.


In three of the largest Eastern European NATO member countries, disapproval of Russian leadership remains substantially below majority levels, with Hungary at 39%, Romania at 37% and Bulgaria at 33%.


Disapproval of Russia's leadership remains well above where it was before the annexation of Crimea. In both Hungary and Bulgaria, levels are 21 points higher in 2021 than in 2013, while in Romania, the level of disapproval is 10 points higher than where it previously stood.

(Gallup ni kampuni ya utafiti wa maoni kutoka Marekani. Kura za maoni zote zina matatizo, lakini kwa jumla matokeo hayo yanalingana na matokeo ya uchaguzi katika nchi hizi ambako vyama vilivyopinga NATO na kupigania uanahama vilishindana tangu miaka)
 
Mpaka leo hiyo man landing ya USA kuna controversial. Fuatilia ndio uje hapa. Hiyo ni movie ilitengenezwa mzee.
Ona sasa,ww ndo wa kuita watu stupid kweli?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kazi ipo[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pro Russia wa kwa Mpalange mahaba yamezidi mpaka unataka kurusha ngumi[emoji23][emoji23]DOH
Mzee hebu nipishe please. Huna point yoyote. Comment zako kama za wakenya. Ngoja nikufuatilie.
 
Fanya hivyo kwa sababu wewe ni mjinga.

A Moon landing is the arrival of a spacecraft on the surface of the Moon. This includes both crewed and robotic missions. The first human-made object to touch the Moon was the Soviet Union's Luna 2, on 13 September 1959.
umechanganya hapo mkuu.
Mwanadamu wakwanza kwenda anga za mbali alikuwa msoviet Yuri Gagarin.
Mwanadam wa kwanza kutua mwezini alikuwa mmarekan Neil Armstrong.
 
Huo mwezi labda uko kijijini kwenu. Nchi ya kwanza kwenda mwezini ni Marekani. Urusi ilikuwa ya kwanza kutuma satellite inaitwa Sputnik, leo hii hadi makampuni binafsi ya Marekani kina Maxar na PlanetLabs yana huduma nzuri za satellite kuliko shirika la anga za juu la Urusi.

Hapo ulipo unatumia GPS ambayo ni kazi ya jeshi la Marekani alafu unasema eti itawachukua miaka.
Kazi ya Mrusi unayotumia hapo sanasana ni Telegram ambayo umeipakua kutumia OS za Mmarekani
Google hiyo "GLONASS"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka leo hiyo man landing ya USA kuna controversial. Fuatilia ndio uje hapa. Hiyo ni movie ilitengenezwa mzee.
Sijawahi kuona movie ambayo haikutengenezwa. Kwa kawaida hutengenezwa kwa kutumia kamera. Hasa mwaka 1969 /70. Baadaye zilikuja filamu zilizotengenezwa kwenye kompyuta.
Hadi leo China na Urusi wanawekeza pesa waweza kufika pale NASA ya Marekani ilifika mwaka 1969. Umeona mfano mmoja ambako China au Urusi walipinga uhalisia wa NASA kufika mwezini???? Onyesha!
Wanaopinga ukweli ni watu huko Marekani wanaojua kwamba kukana mambo ambayo ni dhahiri inaleta pesa katika biashara ya kuuza vitabu na filamu.
na watu kama Q-Anon wanopenda nadharia za njama.
 
Hahahahaha aisee..

Kwahiyo kwa US ilikuwa operation ila Russia hamtaki iwe operation??

Kwahiyo ISS ni kina nani? Amewamaliza hao ISS? Impact ya zile Tomahawk zaidi ya 50 haifikii Impact ya missile moja tu iliyoshushwa jana Ukraine. Huoni ni aibu hiyo??

Jana Assad alikuwa kwa maswaiba zenu wa zamani UAE. Pole pole mnaanza poteza ushawishi. India nae ametangaza kununua mafuta ya Russia. India ana uchumi mkubwa kuliko nchi zote za Ulaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Doh we jamaa

Unataka impact ya cruise missile ifikie impacts za tactical ballistic missiles,dumb bombs, artillery shells zinarushwa na Russia tena kwenye makazi ya watu?!Doh

Huyo Russia si ndo alikua anapiga mabomu na kuangusha majumba Kama anavyofanya Leo kule Ukraine kuwapiga haohao Isis lakn mpaka Leo wapo.
 
umechanganya hapo mkuu.
Mwanadamu wakwanza kwenda anga za mbali alikuwa msoviet Yuri Gagarin.
Mwanadam wa kwanza kutua mwezini alikuwa mmarekan Neil Armstrong.
Mzee hebu fuatilia comment yangu nilikuwa naongelea nini mzee. Nilikuwa naongelea technology ya Russia ipo juu. Russia ndiyo ya kwanza kupeleka chombo mwezini.
 
Sijawahi kuona movie ambayo haikutengenezwa. Kwa kawaida hutengenezwa kwa kutumia kamera. Hasa mwaka 1969 /70. Baadaye zilikuja filamu zilizotengenezwa kwenye kompyuta.
Hadi leo China na Urusi wanawekeza pesa waweza kufika pale NASA ya Marekani ilifika mwaka 1969. Umeona mfano mmoja ambako China au Urusi walipinga uhalisia wa NASA kufika mwezini???? Onyesha!
Wanaopinga ukweli ni watu huko Marekani wanaojua kwamba kukana mambo ambayo ni dhahiri inaleta pesa katika biashara ya kuuza vitabu na filamu.
na watu kama Q-Anon wanopenda nadharia za njama.
Hapo atakwambia hizo ni propaganda za west. Halafu akileta habari zake anataka uzipokee Kama zilivyo
 
Back
Top Bottom