Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Germany is not yet sufficiently supplied with gas to refuse Russian supplies by next winter, German Economics Minister Robert Habeck said.

“If we don’t get more gas by next winter, and supplies from Russia are interrupted or disrupted, we won’t have enough gas to heat all the houses and support the entire industry,” he said.
Galip SV Liwagu
20220319_074806.png
 
🤯 A number of foreign mercenaries who joined the Ukrainian Army seem have found themselves in a difficult situation that they were apparently not prepared for.


So, one foreigner says that after he arrived in Ukraine to support the Ukrainian Army, he was literally sent to fight with his bare hands. Some of the fighters claim that those who changed their mind and tried to leave the country faced difficulties at the border.
 
Facts za kwamba Russia ndo nchi ya Kwanza kufika mwezini?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa kiazi Sana [emoji23]
Kuna mambo yaache yapite tu. Unasoma unapita kimya.
 
NATO Sasa kuvunjwa,hivi karibuni.
Huenda maandamano haya yakasambaa ulaya nzima.
Kaka kama ungeangalia idogo mambo yanayoendelea huko ungejua zaidi. Kati ya nchi zote za Ulaya Mashariki ndipo Bulgaria ambako watu wengi kidogo wanajisikia karibu na Urusi na idadi ndogo kuliko nchi nyingine inakosoa Urusi.
Kuna sababu katika historia. Nchi zote za Ulaya Mashariki kuna kumbukumbu jeshi la Urusi (Kisovyeti) lilileta ukombozi kutoka Ujerumani ya Hitler mwaka 1945. Hapa kuna sababu za shukrani. Nchi hizo zote zinakumbuka kwamba zilikandamizwa chini ya utawala wa Kirusi (=kisovyeti) baada ya 1945 na kuwa nusu koloni. Nchi 3 za Baltiki (Estonia, Lithuania na Latvia) zilikuwa koloni kabisa zilimezwa 1940 na kulazimishwa kuwa sehemu ya Umoja wa Kisovyeti.
Nchi kadhaa zina pia kumbukumbu jinsi gani zilivyovamiwa na kugeuzwa kuwa koloni za Urusi kabla ya ukomunisti, kama vile Poland, Ukraine, nchi za Baltiki, Moldova tangu karne ya 19 au hata 18.
Ni Bulgaria pekee inayoweza kukumbuka Urusi ilileta kipindi cha uhuru kwa kuiondoa kutoka ukoloni ya Waturuki; pia lugha, dini na utamaduni baina Bulgaria na Urusi ni karibu kidogo.

Nchi nyingine ya Ulaya ya MAshariki ni wananchi wanasukuma wanasiasa kushikamana karibu zaidi na NATO. Hii imepata nguvu sana tangu Urusi ilivamia Ukraine mara ya kwanza kwenye mwaka 2014 na kutwaa Ukraine pamoja na kuchochea na kutetea waasi katika sehemu za mashariki ya Ukraine. Watu wengi wanaona Urusi imevunja sheria ya kimataifa hawana imani nayo kabisa.
Uvamizi na mauaji ya sasa yanaimarisha NATO zaidi.
 
Kwamba USA alikua Yuko vitani na Syria?! Duh humu ndani kuna vichekesho[emoji23][emoji23][emoji23]

Embu uliza mpaka Leo huko Syria ni nani ndo anamiliki visima vya mafuta.
Kwahiyo US alienda kufanya nini Syria??

Hahaha kwahiyo visima vya mafuta anavyo US ambae leo tayari bei ya mafuta kwake ni mgogoro
 
Kwahiyo US alienda kufanya nini Syria??

Hahaha kwahiyo visima vya mafuta anavyo US ambae leo tayari bei ya mafuta kwake ni mgogoro
Duh kweli ndugu yangu we mweupe sana. NI lini Marekani alitangaza yupo vitani na Syria zaidi ya kufanya operations za kuangamiza ISIS?! Aliiadhibu Syria kwa Cruise missiles baada ya kutumia chemical weapons.
 
Fanya hivyo kwa sababu wewe ni mjinga.

A Moon landing is the arrival of a spacecraft on the surface of the Moon. This includes both crewed and robotic missions. The first human-made object to touch the Moon was the Soviet Union's Luna 2, on 13 September 1959.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]punguza jazba mbona mapema Sana.

In fact, the first nation to send man on the moon was United States and is the only country in the world to have successfully conducted manned missions to the moon.
 
Duh kweli ndugu yangu we mweupe sana. NI lini Marekani alitangaza yupo vitani na Syria zaidi ya kufanya operations za kuangamiza ISIS?! Aliiadhibu Syria kwa Cruise missiles baada ya kutumia chemical weapons.
Wewe uwezo wako wa akili bado ni mdogo sana. Nakushauri usijiaibishe mbele za watu kwa namna unavyo comment humu.

Elimu ni expensive. Tumia muda na fedha kupata elimu. Utaondokana na gonjwa lako hili la ujinga.
 
Wewe uwezo wako wa akili bado ni mdogo sana. Nakushauri usijiaibishe mbele za watu kwa namna unavyo comment humu.

Elimu ni expensive. Tumia muda na fedha kupata elimu. Utaondokana na gonjwa lako hili la ujinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pro Russia wa kwa Mpalange mahaba yamezidi mpaka unataka kurusha ngumi[emoji23][emoji23]DOH
 
During a special operation, Chechen fighters recaptured another well-fortified Bandera base and freed a group of civilians.

The Nationalists kept the population without food and water. Ramzan

Kadyrov published footage of how military personnel are taking people - mostly children and the elderly - on special equipment.

“It was nice to hear words of gratitude from civilians for the assistance provided, salvation and the warm attitude of our soldiers. And most importantly, people felt how worthy the Chechen liberators were brought up,” Kadyrov said.
 
[emoji635][emoji1128]Business Standard writes: India's state-owned refineries, India Petroleum Corporation, India Oil Company and private company Nayara Energy bought a total of 7 million barrels of Russian oil this week.

IMG_20220319_200006_597.jpg


[emoji635][emoji1128]Jarida la Business Standard laaandika kua: Viwanda vinavyomilikiwa na serikali ya India, India Petroleum Corporation, India Oil Company na kampuni ya kibinafsi ya Nayara Energy zimenunua jumla ya mapipa milioni 7 ya mafuta ya Urusi wiki hii.

Kwa hii idadi haraka haraka ni wastani wa mapipa Mil. 1 kwa siku. In comparison ya ile iliyokuwa imported USA ya mapipa laki 7 kwa siku kutoka Russia bado naeza kusema Biden na team yake wanazidi kupoteana na kinyumeche ni kuwaumiza Raia wao kwa inflation ya bei...
 
Kwani mrusi hana altenative ya GPS?
Mtu wa kwanza kwenda kwenye space ni Yuri ambaye ni mrusi, ambaye leo hii tu kavuliwa honors zote ( maajabu ya watu wa magharib, unamvua honors mtu aliyekufa. Inasaidia nn asa anahusika nini?).

Engines za Rocket wanazitoa wapi hao wamarekani? Kurusha vitu vyao kwenye space?
Hapo ndio utajua vitu vingi duniani tunatengenezewa na kulishwa kulingana na matakwa yao.

Ndio maana tunatamani Urussi ashinde hii vita ili kubalance nguvu ya Dunia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]punguza jazba mbona mapema Sana.

In fact, the first nation to send man on the moon was United States and is the only country in the world to have successfully conducted manned missions to the moon.
Mpaka leo hiyo man landing ya USA kuna controversial. Fuatilia ndio uje hapa. Hiyo ni movie ilitengenezwa mzee.
 
Back
Top Bottom