Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The sun ni gazeti la udaku huko ulaya. Ukraine wamechapika saaaana. Naomba huruma tuuu huku Putin akianza kuachia .makombora mapyaaaaa
Kumbe ilikua zuga, msafara ulisubiriwa hadi ufike eneo la kujianika vizuri, vifaru vimepigwa mapigo ya pamoja hadi huruma...

Hizi drones ni habari nyingine.

 
Hatimae mambo yamekuwa Hadharani, Majeshi ya Ukraine yachapisha nembo ya Z katika magari yao yaliyo ripuliwa na vikosi vya Russia ili kuongopea watu kwamba wamewapiga warusi. Hari imekuwa Tete mjini Kyvi. RUSSIA aendelea kutembeza kichapo mpaka wanajeshi wa Ukraine kudata. Hakika vita isikie hivo hivo kwa wenzako.



Ushahidi link iyo:



Screenshot_20220320-011557.png


Screenshot_20220320-011606.png
 
Utahitaji uwe mpuuzi kuamini kuwa Ukraine kuna Nazi.
propaganda za kitoto sana

Nationalist waliokuwepo toka 1938 hawajawi ondoka.
Wakati wa Progroms dhidi ya wayahudi na wapoland kuna wakati Walivaa mpaka sale za Majeshi ya Ujerumani.
Maofisa wake wa juu walifunzwa na Wa-nazi .

Kilichokuja kufanya warudi kwa wingi ni Kitendo cha serikali kuandaa program ya propanda ya kukandia "Soviet National heroes" na Kuwasifia nationalist ( hii ilikuwa ni 2004).

Kwahiyo kufufua Ideology hizi kumefanya kupata wafuasi wapya, ambao wanauzalendo wa kibaguzi.
 
Urusi pekee ndiyo iliibua madai ya kuwepo Nazi ndani ya UKRAINE, nchi inayoongozwa na Myahudi. Kichekesho iki🤣🤣bonyeza put-in#

Yaan Myahudi aunde nazi, ili iweje?.

wanachukua uniform za jeshi la Ukraine na kuvalisha watu wao kisha wanachora chora alama Z kwenye vifaru vyao then huo ndiyo unakuwa ushahidi wa kufeed unthinkable people.
 
Nationalist waliokuwepo toka 1938 hawajawi ondoka.
Wakati wa Progroms dhidi ya wayahudi na wapoland kuna wakati Walivaa mpaka sale za Majeshi ya Ujerumani.
Maofisa wake wa juu walifunzwa na Wa-nazi .

Kilichokuja kufanya warudi kwa wingi ni Kitendo cha serikali kuandaa program ya propanda ya kukandia "Soviet National heroes" na Kuwasifia nationalist ( hii ilikuwa ni 2004).

Kwahiyo kufufua Ideology hizi kumefanya kupata wafuasi wapya, ambao wanauzalendo wa kibaguzi.
Chief, madai ya kuwepo Nazi Ukraine ni sio tu ni uwongo bali ni upuuzi mtupu.
 
The sun ni gazeti la udaku huko ulaya. Ukraine wamechapika saaaana. Naomba huruma tuuu huku Putin akianza kuachia .makombora mapyaaaaa

Magazeti yote ya Ulaya mnasema yanajenga propaganda kila yakionyesha taarifa msizozitaka.
 
American -FOG- mercenary somewhere in Ukraine, it seems some of these guys are still alive. You can see the satanic baphomet skull-patch (based upon the blackbeard flag).

FOQD1EtWYAIweTG.jpeg
 
Back
Top Bottom