Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
šRais wa Ukraine ana akili ndogo sana, sijui nani kamdanganya kuwa anaweza kupambana na Russia. Angejiuliza swali moja tu angepata majibu. DHUMUNI KUBWA LA KUANZISHWA NATO NI NINI?
šRais wa Ukraine ana akili ndogo sana, sijui nani kamdanganya kuwa anaweza kupambana na Russia. Angejiuliza swali moja tu angepata majibu. DHUMUNI KUBWA LA KUANZISHWA NATO NI NINI?
Mnatengeneza movies za propaganda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nili kenya hilo ......pamoja na yule MK254 ...wote wanatoka kule nchi iliojaa njaa kali....na kujipendekeza kwa muzungu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aah kumbe majirani zetu MASHOGA??
Walileta dharau urusi aliwaambia wale wanaokuja kujitolea kupigana vitani wajitafakari mara saba kabla hawajaingia ulingoni ....matokeo yake ndo haya tunayaona wanakimbia wenyewe....dahhLazma wasepeView attachment 2157339
Comedian hawez kuwa rais
Ni wengi tu hao wanaojitolea wanakufaWalileta dharau urusi aliwaambia wale wanaokuja kujitolea kupigana vitani wajitafakari mara saba kabla hawajaingia ulingoni ....matokeo yake ndo haya tunayaona wanakimbia wenyewe....dahh
Kwenye vita hii Urusi ilishawahi kushambuliwa ..kama utabisha nitakuletea links zaidi ya moja !Urusi haijashambuliwa Acha utoposhaji.ukraine wameshambulia zile miji Yao iliyojitenga.
We unataka uone nini ili uamini?What if tukisema ni msafara wa Vifaru vya NATO na Ukraine?
Nani anaamini hizi footages [emoji851][emoji851][emoji851]
Hollywood bhana!!
mkuu hats Russia wanatoroka ..kama utbisha nikuletee links ujiridhishe .Ila usije kusema propaganda (reliable na neutral sources)Wanatoroka sana tu sasa hiviView attachment 2157323
Ndio tatizo lenu Pro ZeroBoy huwa sijadiliani na stupid. Ukija na facts tutajadiliana. Kwenye thread hii wapo watu wanajifunza, bado unaleta vitu vya kijinga how can I tolerate you!?
Ulitaka awagawie bure?Kwahiyo US alienda kufanya nini Syria??
Hahaha kwahiyo visima vya mafuta anavyo US ambae leo tayari bei ya mafuta kwake ni mgogoro
Russia ana mercenaries na wnakufa ..mkuu hio ndio vita kuuwa au kuuwawa. Kama uatahitaji uthibitisho Niko tayari.Ni wengi tu hao wanaojitolea wanakufaView attachment 2157349
Mbona unalazimisha ni Reliable source mzee?? Wewe weka hapa, yaan WANAJESHI WA URUSI watoroke kizembe huku waUKRAINE wawe wanawaangalia tu??M
mkuu hats Russia wanatoroka ..kama utbisha nikuletee links ujiridhishe .Ila usije kusema propaganda (reliable na neutral sources)
Kuna nyuzi za kutoshaWe unataka uone nini ili uamini?
Wewe unaamini nini?