Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The situation around Ukraine - what is known by Sunday morning:

▫️ 11 political parties were suspended in Ukraine, allegedly due to ties with Russia
▫️ US offers Turkey to transfer S-400s acquired in Russia to Ukrainian troops - Reuters source
▫️ Australia has prepared a new package of military assistance to Ukraine in the amount of $15.5 million
▫️ Switzerland is ready to play a mediating role in resolving the conflict and host the negotiations between Moscow and Kyiv
▫️ Central Bank of the Bahamas claims to have uncovered nearly $3 billion worth of Russia-related assets
▫️ The head of the German Ministry of Agriculture urged to eat less meat in order to fight Putin
 
Mkuu turudi vitani kidogo, vp UKRAINE anashida hii vita?
Hakuna mtu aliwahi sema hii vita Ukraine anashinda. Hatuwezi kuwa tunalalamika performance ya Russia kisha tukasema tulitarajia Ukraine ashinde. Hata EU wanaotoa silaha sidhani kama wanaota kuwa Ukraine atashinda, nadhani wao ni kumfanya Russia awe exhausted.

We expected hii operation itumie muda mfupi. Superpower nchi ya pili kwa nguvu za kijeshi duniani anavamia jirani yake ambaye hata kwenye nchi 20 za kijeshi duniani hayupo alafu anafanya hivi. Sasa akihitaji kufanya operation nchi kama Chile iliyoko katikati ya bara lingine si mtihani huo
 
Mzee Military operation siyo game ya football kwamba unatakiwa utumie dakika 90. Ukraine was among of countries in USSR.
2. Kuna raia lazima kuangalia usalama wao.
3. Lengo la Urusi ni Demilitarization of Ukraine and Denazify.
Sasa wewe hapa unalalamika

WHO ARE YOU BY THE WAY!?
 
Huyo myahudi kaingia madarakani mwaka gani unaambiwa Nazi wameanza kunolewa 2004 kwa dhumuli la kudhoofisha Russia

Sent from my CPH1931 using JamiiForums mobile app
Unachokiandika hapa ndicho walichokulisha na sasa unakitapika kila sehemu.
Yaan nazi iwepo Ukraine kwasababu tu Urusi kasema kuna Nazi Ukraine?.
FYI:, Ukraine haijawai kuwa threat kwa Urusi hata siku moja bali Urusi ndiye tishio kwa Ukraine.
 
Yaani mpaka uniform zao za jeshi ziwe na alama ya Nazi na mpaka Azov ni Kambi maalum ya Nazi lakini wewe Huku unayekula matobolwa sikonge huko ukatae ... Hii nchi inavijana wa hovyo sana
 
Hakuna mtu aliwahi sema hii vita Ukraine anashinda. Hatuwezi kuwa tunalalamika performance ya Russia kisha tukasema tulitarajia Ukraine ashinde. Hata EU wanaotoa silaha sidhani kama wanaota kuwa Ukraine atashinda, nadhani wao ni kumfanya Russia awe exhausted.

We expected hii operation itumie muda mfupi. Superpower nchi ya pili kwa nguvu za kijeshi duniani anavamia jirani yake ambaye hata kwenye nchi 20 za kijeshi duniani hayupo alafu anafanya hivi. Sasa akihitaji kufanya operation nchi kama Chile iliyoko katikati ya bara lingine si mtihani huo
ukitoa ufaransa na uwingereza hakuna taifa la magharibi linaloweza kupigana na ukraine uwichurie poa kabisa hawa mabwan ni umaskini tu .inekuwa american hii ops ingedumu kwa miaka 10 hawa walikuwa mpaka na aircraft carry yao
 
Ukitaka kujadiliana na mtu nakuomba uangalie hata comment zake za nyuma. Hebu check hapa:-
Screenshot_20220320-085435.png
 
[emoji635][emoji1255] Footage of one of the clashes. Video from the Ukrainian side.

View attachment 2157051

Huyu nae ni dume, ali'pretend ka mwanamke amekatwa mpakani akiwa anatoroka...Binafs naona bora huyu kuliko yule jamaa anashinda ofisini kujinsnap uku anawapa Raia silaha wanakufa ovyo...

View attachment 2157049

[emoji1255] A conscripted Ukrainian disguised as a woman was detained at a border crossing on the border with Romania.

View attachment 2157050

Kwingineko ni kuhusu huyu mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anazeeka vibaya.

View attachment 2157064

Zaidi za chini chini inasemekana huyu jamaa katoroka hayupo nchin kwake na video zake za karibuni zikionekama ni za "Special Effects nyuma ya Green Screen"...

[emoji1255] Zelensky again performed infront of a green screen

View attachment 2157066

Recall that the official authorities of Ukraine continue to assert that he is on the territory of the country. However, if he was still in the capital, then it would be pointless to resort to such an installation.
Ulitaka akimbie Ili umchambe vizuri?huyo ndo raisi
 
Yaani mpaka uniform zao za jeshi ziwe na alama ya Nazi na mpaka Azov ni Kambi maalum ya Nazi lakini wewe Huku unayekula matobolwa sikonge huko ukatae ... Hii nchi inavijana wa hovyo sana
Dogo, mimi sio wa bei rahisi kihivyo.

ikiwa hapa bongo tumeshuhudua wana Ccm wakivaa nguo za Chedema na kwenda kuvamia kiongozi n wa Chadema jukwaani, na magazeti yaakandika:, Wanachadema HAI wamvaa Mbowe , wasema hawamtaki jimboni humo kwasababu hajaleta maendeleo yoyote.

ila ukijipa muda kufuatilia unagundua BILA chembe ya shaka kuwa hao walio fanya hivyo ni vijana watiifu wa Uvccm na picha zao za nyuma zinaletwa kama ushahidi.

Sasa wewe unapoona habari kama hii unakimbilia kuangalia uniform na alama ulizoambiwa ila wengine wanakimbilia kuangalia ambavyo HAVIKUANDIKWA katika hiyo HABARI hapo ndipo zilipo tofauti zetu mimi na wewe.

Endelea kuwa manipulated media bila kuchanganya na zako.
 
Back
Top Bottom