Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi unaamini kweli Zelensky yupo Ukraine. Hizo ni sanaa tu kwaajili ya kujenga hamasa kwa Wanajeshi wake na raia kuwa hawapo peke yao NA KWA HILI AMEFANIKIWA SANA.

Zelensky atakuwa yupo Poland
Hujui kama yupo Poland na pia hujui kama yupo Ukraine. Anaweza kuwa popote.
 
Nimekwambia read between the lines acha kukariri jambo lingine unalotakiwa kujua kama unataka the real history of the world changanya maarifa na wachambuzi mbalimbali mwisho unachanganya na zako sasa kama ulisoma vitabu vya NATO pekee vilivyoandikwa USAID, UKAID etc nikuhakikishie umepotea lakini hakika nakwambia kama utaamua kuwa huru na kufanya upekuzi wa kina na wa kitafiti ( siyo kujibia mitihani wala kufundishia darasani) utafaidi sana kufahamu yanayojiri hata kupredict the aftermath of it.
Nimemuuliza swali dogo tu. Kwamba kwanini Kaliningrad ipo Russia!?
 
Germany raises concerns over gas suppliers


Germany’s vice chancellor has said that next winter’s gas supplies to his country have not so far been secured. Robert Habeck, who also serves as the economy and climate minister, hasn’t ruled out there being a so-called domino effect, with a setback in the gas supply chain causing a knock-on shortage in other facilities.


“If we don’t receive further gas supplies … and the deliveries from Russia are capped or stopped, we wouldn’t have enough to keep all our houses warm and to keep all our industry running,” Habeck said, in an interview with the German radio station Deutschlandfunk.
 
Hakuna mtu aliwahi sema hii vita Ukraine anashinda. Hatuwezi kuwa tunalalamika performance ya Russia kisha tukasema tulitarajia Ukraine ashinde. Hata EU wanaotoa silaha sidhani kama wanaota kuwa Ukraine atashinda, nadhani wao ni kumfanya Russia awe exhausted.

We expected hii operation itumie muda mfupi. Superpower nchi ya pili kwa nguvu za kijeshi duniani anavamia jirani yake ambaye hata kwenye nchi 20 za kijeshi duniani hayupo alafu anafanya hivi. Sasa akihitaji kufanya operation nchi kama Chile iliyoko katikati ya bara lingine si mtihani huo
Hizo nchi za ulaya na NATO ndizo zinazosababisha maumivu makubwa kwa Ukraine. Wanajua Ukraine hawezi shinda hii vita kwanini wanachochea kuni. Wangewashauli tu wa Ukraine waingie kwenye negotiations ili vita iishe mapema na kupunguza maumivu
 
🇨🇳China does not accept external pressure and is against unfounded accusations against itself on the Ukrainian issue.

This was stated by Chinese Foreign Minister Wang Yi.

According to him, Beijing is going to continue to adhere to an independent position on Ukraine.

The PRC considers the US role in this conflict to be destabilizing. And sanctions against Russia are an aggravating factor in world politics.
 
ukitoa ufaransa na uwingereza hakuna taifa la magharibi linaloweza kupigana na ukraine uwichurie poa kabisa hawa mabwan ni umaskini tu .inekuwa american hii ops ingedumu kwa miaka 10 hawa walikuwa mpaka na aircraft carry yao
Hii Ukraine inayopewa bure silaha na Sweden na Germany hapo Ulaya nchi kibao zinaiweza, tukianza na Poland na Finland tu hao majirani.
 
Greek communists poured red paint on a Canadian frigate that entered the port of Piraeus. So they expressed their protest to NATO. On March 24, they also want to meet the French aircraft carrier Charles de Gaulle
 
Ignore huioni

Screenshot_20220320-085435.png
 
Hizo nchi za ulaya na NATO ndizo zinazosababisha maumivu makubwa kwa Ukraine. Wanajua Ukraine hawezi shinda hii vita kwanini wanachochea kuni. Wangewashauli tu wa Ukraine waingie kwenye negotiations ili vita iishe mapema na kupunguza maumivu
Si ndiyo? Ni kitu kinachowezekana kabisa kukaa mezani na kujadili, wangemwita Zelensky na kuongea naye polepole na kumtafuta kwa majadiliano zaidi.

Putin mwenyewe anasema yeye hana shida, shida ni huyo Zelensky
 
Back
Top Bottom