Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Roho ya kibinadamu na huruma imeniingia, kwanini upigane vita ambavyo utashindwa? Iko wazi utapoteza.
Wanasiasa wanawaponza vijana kutoka familia za Chini.
Leo hii barracks kwenye mji wa Nikolaev.
View attachment 2155915View attachment 2155916View attachment 2155917wanaokota viungo tu, baada ya kombora kupigwa kwenye barracks.
Mfano kama huyo chini, kaganda kwenye jengo hapo hapo.
Inakadiriwa zaidi ya wanajeshi 120 walikuwemo kwenye barracks.
View attachment 2155919
Majengo kua kifusi
 
Mkuu umetazama picha lakini? Aloo ni unyama wa hali ya juu.
Yanini yote haya wakati ilikuwa inawezekana kumeet demand kirahisi.
Disband Azov battalion.
Usijiunge Nato.
Yatambue majimbo yaliyopo eneo la Donbass, basi ingekuwa imeisha.
Kutafuta sifa duniani kwa speech kila siku kuhutubia mataifa ya magharibi, Ona sasa.
Asa hata marekani akileta stingers anakuja kutumia nani? Zitakaa wapi zisionekane.....
Atatumia nani wanajeshi wamepoteza ari kabisa.
View attachment 2155929View attachment 2155930View attachment 2155932View attachment 2155933View attachment 2155934View attachment 2155935View attachment 2155936
Cheki kama hawa chini inaonekana walikuwa kwenye kitanda sijui. Aseeeee.....dah!View attachment 2155937View attachment 2155938
Safi sana maelekezo yamefuatwa
 
Watasema ukweli tu!

Wanajeshi watatu wa Uingereza ambao hapo kabla waliwahi kuhudumu ktk kikosi cha 'The United Kingdom Special Forces' wameuawa ktk shambulio la majeshi ya Russia lilolifanywa kwenye ngome ya kijeshi iliyomo Ukraine ambapo wapiganaji wa kigeni walikuwa wakikaa hapo. Ktk shambulio hilo Russia ilimimina makombora zaidi ya 30 kwa kutumia ndegevita zake zilizokuwa ktk anga lake la Russia.

Mamlaka za Uingereza zawataka raia wake wasiende vitani Ukraine.

View attachment 2154889
View attachment 2154887
Ina maana kelele zote za borris Johnson ndo uoga wote ule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa
Screenshot_20220319-011315_Twitter.jpg
 
Ndege ya Jeshi la Marekani imeanguka Norway ikiwa na wanajeshi wanne zitashushwa kwa electronic jamming system
Wenzenu wako huko Norway wanafanya mazoezi ya kijeshi na NATO we unasema imeshushwa na EW[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wenzenu wako huko Norway wanafanya mazoezi ya kijeshi na NATO we unasema imeshushwa na EW[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa anamzuka mpaka anajikuta anapitiliza ....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa anamzuka mpaka anajikuta anapitiliza ....
Juzujuz hapa ilianguka F-35 kule South China sea kwenye mazoezi ya kijeshi baada ya Rubani kukosea kutua kwenye aircraft carrier,kuanguka Kwa ndege kwenye mazoezi ya kijeshi ni Jambo la kawaida sana lkn jamaa anakwambia imeshushwa na Mrusi[emoji23]
 
Back
Top Bottom