NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Ndo Degree na diploma zetu za leo. GT maana yake si uvumbuzi, ni kushusha nondo za videsa, google na kujua misamiati ya jambo husika.JF ina vichekesho sana, yaani kuandika tu juu ya namna ya kubainisha thamani ya fedha tayari ni great ni great mind. Hivi wewe ukijiita great mind, akina Adam Smith, Recardo, Keynes, Newton, Tesla etc tutawaita na watu gani, au watakuwa " immortals"!!.
Ndiyo maana Russia wanachakaza kila jengo maana warusha hivi vi drone wapo kwenye mijengo ya raia. Hii vita ni ya kijinga sana na rais wa Ukraine ndilo pumbavu kabisa, linashabikia raia wake wafe
Kwahiyo waanze upyaPatajengwa tu
[emoji3544] Warning: Explicit Content[emoji779]️
[emoji635][emoji1255] This Is Another Level of Retardation!!
Take That Putin…
[emoji1109] Tbilisi Georgia
View attachment 2154898
"Viumbe waliostaarabika" wakihamasisha kua "Putin is War Criminal", "Putin Stop War" ajab zaidi nyuma yupo afande anawalinda...
Na hiyo ndio Western culture tunayoihtaji... Freedom with no responsibility [emoji847][emoji119]
ndio kauli za pro russia matusi mengi kuliko hojaMatusi si uugwana hata kama hukubaliani na mtu
MK254 kile kikundi cha Mombasa kilichotaka kutangaza dola huru kilifikia wapi? Je ni wangapi mliwaua ili kikinyamazisha hayo madai????? Ukishajibu hayo nenda ukakojoe, unye na kulala maana siasa za dunia huzijuiWarusi wamefuata nini kwenye nchi ya watu, rais wa Ukraine ni shujaa na huyo mtume wenu Putin raundi hii atatiwa mimba maana amesababisha maelfu ya wanajeshi Warusi wafe Kwa ujinga wake.