Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mtazungumza ukweli tu!

Marekani yapoteza raia wake katika vita ya Ukraine...

Miji ya Ukraine yaendelea kushambuliwa vikali na makombora ya Russia.

Chanzo: The Washington Post

SmartSelect_20220318-080217_Chrome.jpg
 
Zelensky released members of the Tornado battalion from prisons, who tortured civilians in the cells of the Lugansk region in a perverted form.

They kidnapped people under threat of being shot, brought them to makeshift cells and abused them, including forcing them to beat and rape each other.

“Several times a day, policemen came to the basement, tied me to a goat, beat me with their hands and feet, as well as with a plastic stick, doused me with water, and beat me with electric current,” Anatoly Matios, former deputy prosecutor general of Ukraine, testified.

In the spring of 2017, the Obolonsky District Court of Kyiv issued a guilty verdict against 12 battalion fighters. The defendants received from eight to 11 years.

However, in February, the Ukrainian authorities began releasing prisoners with a military background from prisons. So the Tornado militants were released and are now fighting in the ranks of the Ukrainian army.
Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
🇷🇺🇹🇭🇨🇳 The 2nd ASEAN Regional Forum (ARF) Workshop on Countering the Use of ICTs for Criminal Purposes, co-chaired by Russia, Thailand and China, took place virtually on 15-16 March 2022.
 
Hizi drones zimekua shida, kifaru kimeliwa shaba wanajeshi humo ndani wakaona isiwe tabu, wakachomoka nduki na kuingia kwenye mitaa ya wa-Ukraine.....humo ndani sijui watajfcha wapi. Putin ameitia Urusi aibu ya mwaka.....


Ndiyo maana Russia wanachakaza kila jengo maana warusha hivi vi drone wapo kwenye mijengo ya raia. Hii vita ni ya kijinga sana na rais wa Ukraine ndilo pumbavu kabisa, linashabikia raia wake wafe
 
💬 #Zakharova: According to Japanese media, @UKRinJPN is recruiting Japanese citizens to fight in Ukraine, while the Japanese authorities do nothing to stop it.

❗️ Be advised, #Japan will bear responsibility for the lives of its nationals.
 
Hizi drones zimekua shida, kifaru kimeliwa shaba wanajeshi humo ndani wakaona isiwe tabu, wakachomoka nduki na kuingia kwenye mitaa ya wa-Ukraine.....humo ndani sijui watajfcha wapi. Putin ameitia Urusi aibu ya mwaka.....


Hiki kinachompa mrusi kiliwahi kunipata mimi.
Wakati nasoma shule enzi hizo kuna jamaa alikuwa ananiogopa anahisi mimi baunsa. Na mimi nikahisi kweli ni baunsa nikaja kumzingua siku moja, katika kujitetea akarusha ngumi ikantandika nikapata wenge, aisee alinishambulia alinidunda mimi ndiye nikaanza piga kelele omba msaada. Nilishukuru alipotokea second master akaja kutuamulia kwenye bweni. Angeniua aisee.
 
Yes imesimama no Progress anafyatua tu Mizinga kubomoa majengo ya miji na kumbi za kitamaduni.....na muda wake ambao aliuweka kuwa Kyiv itakuwa chini yake umeisha

Kwamba unajua Russian elites wengi wanatoroka nchi Yao wanaenda hamia Tibiris kujaribu kukwepa ugumu wa maisha na vikwazo vya kiuchumi

Hail Putin na anguko la Urusi

Eti anguko la Urusi haha Upo Urusi mzee baba au unaleta story za vijiweni huko buza,,,,Putin kashasema zoezi lake limefanikiwa na ukiona anabomoa huko ujue kuna wajeda wamejificha hana lengo la kuua raia,,, hao wanajeshi waUkraine ndio wanaoua ndugu zao wanaotaka kuondoka.
 
Hiki kinachompa mrusi kiliwahi kunipata mimi.
Wakati nasoma shule enzi hizo kuna jamaa alikuwa ananiogopa anahisi mimi baunsa. Na mimi nikahisi kweli ni baunsa nikaja kumzingua siku moja, katika kujitetea akarusha ngumi ikantandika nikapata wenge, aisee alinishambulia alinidunda mimi ndiye nikaanza piga kelele omba msaada. Nilishukuru alipotokea second master akaja kutuamulia kwenye bweni. Angeniua aisee.
Yaani mpaka mwalimu ndio aje kuwaamulia?Hakuna wanafunzi waiiokuwa na busara ya kuwaamullia?Mbona ngumu kuamini hii habari yako?
 
Yaani mpaka mwalimu ndio aje kuwaamulia?Hakuna wanafunzi waiiokuwa na busara ya kuwaamullia?Mbona ngumu kuamini hii habari yako?
Wanafunzi wanashangilia hiyo ilikuwa usiku bwenini, tulikuwa tuna second master usiku anazunguka na bakora huyo mara paap akaingia. Kila mtu akakimbilia kitandani kwake.
We alitupiga bakora. Sema niliona afadhali ya bakora zake kuliko ngumi za yule jamaa alikuwa anaitwa ssenyondo, ngumi kama nyundo.
 
Hizi drones zimekua shida, kifaru kimeliwa shaba wanajeshi humo ndani wakaona isiwe tabu, wakachomoka nduki na kuingia kwenye mitaa ya wa-Ukraine.....humo ndani sijui watajfcha wapi. Putin ameitia Urusi aibu ya mwaka.....

Hii video imetokea juzi wakati vikosi vya Urusi vikipiga doria kwenye mji wa Mariupol.walipuaji walikuwa kwenye jengo la makazi ya watu.baadae warusi walituma helicopter kupiga jengo
 
paratroopers wako mpaka leo kiev vip na ndungu yangu mlituamisha nato wataingilia kati lakin sio kitu
NATO wana uhusiano gani na UKRAINE? . Waliokuaminisha walikudanganya. Si jambo la haraka kwa NATO kuingilia vita vya nchi asiye mwanachama. Hata misaada wanayotoa mpaka sasa wamejitahidi sana, haikupaswa kuwa hivi. Ukitaka kupima udhaifu wa NATO katika ukamilifu wake, vamia nchi mwanachama.
 
Hiki kinachompa mrusi kiliwahi kunipata mimi.
Wakati nasoma shule enzi hizo kuna jamaa alikuwa ananiogopa anahisi mimi baunsa. Na mimi nikahisi kweli ni baunsa nikaja kumzingua siku moja, katika kujitetea akarusha ngumi ikantandika nikapata wenge, aisee alinishambulia alinidunda mimi ndiye nikaanza piga kelele omba msaada. Nilishukuru alipotokea second master akaja kutuamulia kwenye bweni. Angeniua aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani
 
Naam nimekupata vyema hakika... Umeelezea vizuri...

Af ngoja kwanza nicheke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wakati nipo najipinda "mwandiko" na ww uko wajipinda "mwandiko" [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Ajabu maelezo kwa kiasi kikubwa yanafanana apo umekamilisha ule msemo wa "Great mind think alike" [emoji3577]

Kongole jomba [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]... Nimejifunza pia. Anyway wacha tuone kitakachotokea uko mbeleni.
JF ina vichekesho sana, yaani kuandika tu juu ya namna ya kubainisha thamani ya fedha tayari ni great ni great mind. Hivi wewe ukijiita great mind, akina Adam Smith, Recardo, Keynes, Newton, Tesla etc tutawaita na watu gani, au watakuwa " immortals"!!.
 
Kuna watu wangekuwa tu jirani na mkono wangu mnyookoo ninge wa WA-MAKE-IT CLAP WAAAAAA WAAAAAA KLEB ZA KUTOSHA ... ZAIDI YA PUTTIN... NINGEWAGONGESHA ..SHETANI ANGEOMBA TUITION... na yalivyo majinga yanabanguliwa kama dengu au karanga ... Hakuna kitu nachukia kama Pro west Ni maMakumaku.... Taburararasa.. Kuna jamaa alisema humu kama ya kujua Urusi .. Rudi Russia Empire, Na ufahamu Mongol sasa kabla ya hao wote msome Balhae kingdom... Tutawapiga na mtarudi barabarani vizuri tu... Vitukanski People's Republic Spokesman
Matusi si uugwana hata kama hukubaliani na mtu
 
[emoji289] "All we say is give the world a chance"

[emoji1222] A banner with this slogan was stretched by the fans of the Serbian Red Star at the Europa League match. They also listed the countries that the United States has invaded.

[emoji443] All we are saying is give peace a chance is a line from John Lennon's song of the same name.
Galip SV Liwagu View attachment 2154734

Dunia imeshawajua hao wanafiki
 
Back
Top Bottom