Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Haki nacheka mno vile ukipress the panic button ya Pro Russia,nawaona wanavyokutana kwa back tent kujiregroup kuja hapa kutoa povu 😅Teh teh hizo ni "propaganda za BBC"
Haki nacheka mno vile ukipress the panic button ya Pro Russia,nawaona wanavyokutana kwa back tent kujiregroup kuja hapa kutoa povu 😅Teh teh hizo ni "propaganda za BBC"
Wewe endelea kuleta propaganda zako huku huko grounds Chui wa Karatasi Mrusi anachapika.Wamarekani wakomaa na Biden, wasema yeye ndiye aliye waletea machungu ya kupanda bei ya mafuta, na sio Putin.
Wanasema Biden alipoingia Ikulu ya Marekani January 2021, mafuta yalikuwa yakiuzwa kwa USD 2.37 kwa galoni (lita 3.8), sasa hivi ni USD 4.39 kwa galoni na yanaendelea kupanda karibu kila siku.
Waambieni waMarekani waache kulilia. Mbona hata sie huku Tanzania twanunua kwa bei karibu sawa na hiyo? USD 4.15 kwa galoni? Tatizo walizoea kuuziwa bei ya dezo kutokana na mafuta ya Putin aliyokuwa akiwamiminia.
=====
View attachment 2154606
View attachment 2154607
View attachment 2154622
Amin nakwambia tutakula Pasaka hapa huku "Muhuni Zelensikky" akiendelea kumdharirisha Babu yake Putin😅Hahahaha mshachanganyikiwa,siku ya 23 leo mjachukua hata Mji mmioja.
Hahahaha ushapaniki Mrusi wa Kapalamsenga KataviWenye akili na maarifa wataacha kufuatilia uzi huu, haiwezekani watu wazima wenye akili timamu wachangie uzi huu wenye 'vilaza' kama ganga zumba nk.
Yaani mtu anaokota picha hovyo hovyo analeta kama facts, hizi vocha za kupewa na shemeji zinatuharibia JF, yaani kuna watu ni viazi sijapata kuona.
Mambo kwa ground ni different Mazee,hapana chezea Zelenskyy,mtu analeta usela wa kizamani wa KGB enzi za Ulimwengu wa sasa wa kidigital 😂Wewe endelea kuleta propaganda zako huku huko grounds Chui wa Karatasi Mrusi anachapika.
Huyu ni wa Mrussi wa Gamboshi kabisa 🙂Hahahaha ushapaniki Mrusi wa Kapalamsenga Katavi
Asipoelewa ajipige makonzi matano kichwani huku akisema Mimi ni BashiteNaomba nikujibu kiongozi kama ifuatavyo:
Thamani ya pesa inapatikanaje?
Baada ya mwaka 1770, real money iliyokuwa inasapotiwa na commodities kama kama dhahabu au madini fedha ilibadilishwa.
Hivyo Dunia tukaanza kutumia currency ambayo ni Fiat money.
Currency tuliitohoa kutoka neno current katika umeme (electric current).
Hivyo thamani ya pesa itaongezeka au kupungua kutoka na mzunguko wa pesa hiyo katika mifumo.
Kumbuka pesa ya Sasa ni karatasi tu, lisilo na thamani ila thamani yake hubebwa na rate itakavyo zunguka sokoni.
Pesa ya zamani ilikuwa halisi hivyo haikupungua thamani Wala kuongezeka kisa uhitaji wa soko.
Hivyo njia itumikayo kuipa thamani pesa yoyote duniani ziko njia mbili:
(1)fixed rate
Hii ni njia ambayo pesa inakuwa assigned to certain value na haibadiliki hovyo hovyo.
Inatumika sana kwenye controlled economy.
Mfano; Tanzania enzi za Nyerere ilikuwa 1usd=5Tsh na ilikuwa haibadiliki na sehemu pekee pa kubadilishia ilikuwa benki kuu.
(2) Floating rate
Kifupi tu, thamani ya hii pesa inategemea nguvu ya soko na kiwango chale kinavyozunguka sokoni.
Kama ulivyo umeme bila kuzunguka kwa zile charges hakuna umeme na ndivyo Haina hii inavyofanya kazi.
Mfano pesa ya Marekani Ina thamani kubwa, kwa sababu pesa yake Ina mzunguko mkubwa duniani, na ya Tanzania Ina mzunguko mdogo duniani na hata thamani yake ni ndogo.
Kumbuka mifumo yote miwili inatumika na nchi mbalimbali duniani, hivyo usishangae pesa yetu ya Tanzania Ina thamani ndogo kuliko nchi nyingi dhaifu hapa Afrika.
Umeghusia pia popular currency, nadhani ni pesa maarufu mfano USD, Yuan, Yen, Sterling pound, Rand ya afrika kusini hata rupia ya India.
Kumbuka umeghusia ni maarufu, na umaarufu unategemea na sehemu gani upo duniani.
Stable currency
Ni aina ya pesa ambayo thamani yake haibadiliki badiliki ndani ya muda mfupi.
Na aina hii ya fedha hupendelewa na wawekezaji.
Kutokubadilika badiliki pia huonyesha uimara wa pesa.
Mfano:swiss franc
Most valued currency
Pesa yenye thamani kubwa, kumbuka aina hii ya pesa haimaanishi ndio pesa itumikayo zaidi.
Mfano: Kuwait dinar ni pesa yenye thamani kubwa.
Nafikiri nimejibu vema.
Unafikiri kwa nini nimesema sidhani kama pesa ya Marekani katika kipindi Cha miaka 30 ijayo itaendelea kutamba?
Kwa sababu ndio global reserve currency ambayo Bado nchi nyingi uhifadhi pesa Yao.
Lakini pia ndio hutumika kama base kwenye international foreign exchange market.
Naomba kuwasilisha.
Pale Kyiv pana tamu ya sukari inawasubiri,wanabaki kumbwela mbwela huko njeAcha kulialia,sogezeni majeshi kyiv mpate dawa yenu.
Leo nimemuona yupo Hospital za Kyiv kaenda kuwajulia hali majeruhi,hana habari.Amin nakwambia tutakula Pasaka hapa huku "Muhuni Zelensikky" akiendelea kumdharirisha Babu yake Putin[emoji28]
Hapo ukrain kabakiwa na nini sasa maana asilimia kubwa kashazungukwa hapoUnajua kwamba vita imesimama? Kashindwa izunguka Kyiv kashindwa ichukua pwani ya bahari nyeusi kuanzia Odesa mpaka Moldova
Hana upungufu wa Manpower Ammunition na mafuta na Logistics mbovu kuwafikia askari wake mstari wa mbele....kabaki anapiga mizinga kubomoa miji ya Ukraine
Kafuatilie basi kama unadhani Mimi Muongo Maafisa wa Ukraine waliuingilia mfumo wa Mawasiliano ya Mageneral wa Urusi wakafahamu maeneo walipo wakawafuata na wakawaua wao na Maafisa wajuu
Kiasi sa hivi hawatumii mfumo huo tena wanatumia simu za kawaida tunazotumia kuchat na kuwasiliana
Wapo kwenye mazungumzo probably final Zelensky na Putin kuna uwezekano wakakutana ana kwa ana kwa final talks uwe unasikiliza na kufatilia vizuri taarifaTaarifa zilizopo ni kwamba: Russia imesimamisha mapigo dhidi ya Ukraine. Haijawekwa wazi sababu lakini inaonekana ni upinzani mkubwa kutoka kwa Jeshi la Ukraine.
Huenda Russia imefanya tathimini na kuona IMEKUWA NGUMU kwao Ila wanaona watajitoaje kwenye AIBU HIYO YA KUSHINDWA VITA
Mbona video inaonesha huyu mmoja yupo mahututi anajivuta tu.
Sijui sasa hivi unaumia ukiwa wapi ndugu yangu maana ukraine anafumuliwa mbele ya NATOWakuu, Baada ya Russia kupeleka jeshi kubwa mno kwenye mpaka wake na Ukraine, mataifa makubwa Duniani yalihamaki yakiongozwa na Marekani.
NATO ilisema wazi kwamba haitaiacha Ukraine ikiwa yatima,na tayari muungano huo wa kujihami wa Ulaya magharibi na Marekani umeimarisha vikosi vyake Poland na Estonia.
Russia imepeleka zaidi ya wanajeshi 130,000 kwenye mpaka wake na Ukraine na wakati wowote wanasubiria amri ya Rais Putin Kuivamia Ukraine.
Baada ya Russia kuimega Crimea na Dunia kukaa kimya,Putin alidhani itakuwa rahisi pia Kuivamia Ukraine na kufanya lolote sasa mambo yamekuwa Tofauti.
Uingereza imepeleka shehena kubwa mno ya silaha mbalimbali Ukraine na makomandoo wa kikosi maalumu cha SAS.
Canada nayo imesema haitaiacha pekee yake Ukraine itaipa misaada yote ya kijeshi dhidi ya uvamizi wa Russia. Kwa hiyo Russia inafikia hatua wanaogopa wakijua wazi kwamba kushinda vita kwao itakuwa ngumu mno.
Na hakika Russia ikijaribu kuivamia Ukraine haitashinda hii vita zaidi ya kuharibikiwa kiuchumi. Russia ni nani hasa hata ashinde vita dhidi ya Marekani, Uingereza, Canada na mataifa mengine mengi ambayo yanaisaidia Ukraine bila kuitangazia Dunia.
Mengine yabakie ushabiki tu, lakini Russia haitashinda hii vita na wao wameshaliona hilo.
View attachment 2119949
Kuna watu wangekuwa tu jirani na mkono wangu mnyookoo ninge wa WA-MAKE-IT CLAP WAAAAAA WAAAAAA KLEB ZA KUTOSHA ... ZAIDI YA PUTTIN... NINGEWAGONGESHA ..SHETANI ANGEOMBA TUITION... na yalivyo majinga yanabanguliwa kama dengu au karanga ... Hakuna kitu nachukia kama Pro west Ni maMakumaku.... Taburararasa.. Kuna jamaa alisema humu kama ya kujua Urusi .. Rudi Russia Empire, Na ufahamu Mongol sasa kabla ya hao wote msome Balhae kingdom... Tutawapiga na mtarudi barabarani vizuri tu... Vitukanski People's Republic SpokesmanUK to deploy air defense missiles to Poland
London says the move will protect Warsaw against “Russian aggression”
“We are going to deploy the Sky Sabre medium-range, anti-air missile system to Poland with about 100 personnel,” Wallace said on Thursday, during a news conference with his Polish counterpart, Mariusz Blaszczak, in Warsaw.
View attachment 2154194
Hivi matatizo ya L R ni makusudi au?Hayo ni Maneno ya kisiasa na Wala sio Maneno ya Kijeshi. Labda pia itakuwa anafanya makusudi ili kuficha Aibu ya jeshi la Urusi nchini Ukraine.
Hivi ni Operation gani ya Kijeshi ambayo inahusisha zaidi ya Wanajeshi 150,000 ambao Wengine hawana hata ujuzi (Conscripts) Tena kwa zaidi ya siku 20 Sasa harafu Operation hiyo iitwe Maalumu ya Kijeshi? Huu ni uongo mkubwa kwa Putin.
Mkumbusheni maana ya Operation Maalumu ya Kijeshi labda ataelewa. Mpeni hata mfano wa OPERATION ENTEBE/OPERATION THUNDERSTORM au Maalufu Kama OPERATION YONATHAN ambayo Ilifanywa na Makomandoo wa Israel kuwakomboa Mateka zaidi ya 200 kwenye nchi iliyoko mbali kabisa na Israel-Uganda (4,500Km) na ilichukua mda wa Dakika 53 TU na Komandoo mmoja TU wa Israel (YONATHAN) Ndiye aliyekufa.
Sasa Nchi ya Pili kijeshi Duniani imeshindwa kabisa kuidhibiti nchi ndogo kabisa Kijeshi Duniani ukilinganisha na hiyo nchi ya Pili kijeshi Duniani. Harafu Cha kushangaza Hiyo nchi ipo Sebuleni kabisa lakini Jeshi lake linatungua tu Vindege vya Super Power namba 2 Duniani.
Mimi najifikilia,hivi ingelikuwa Ukraine ipo Umbali hata wa 4,000Km kutoka Urusi angeliweza hata kupeleka mwanajeshi hata mmoja au angeliishia TU Kurusha Nyuklia?
Hizi Rank za Millitary Power Duniani naomba ziangaliwe upya,Kuna nchi naona imepewa nafasi ya juu ambayo siyo ya kwake. Ipelekwe hata Namba 15 huko ili kuweka Record Sawa.